Wana bodi,
Nina mshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunipa nafasi ku wasiliana na wote tena siku ya leo. Katika kipindi hiki ni vyema kwa wote kufahamu kwamba Rais Magufuli ku wasiliana na wananchi kupitia vyombo vya habari ni kitu ambacho hakipo ndani ya uwezo wetu.
Ratiba ya Rais, kwasababu...
Gazeti la Nation.Africa Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME US sanctions Tanzanian linked to terrorism in Mozambique la nchini Kenya linaripoti habari hii ya mtanzania kuwekwa ktk listi ya mtu hatari, kiongozi wa magaidi na anayefadhili ugaidi katika jimbo...
Sawa tumekubali tatizo la ajira ni kubwa lakini so kwa kiwango Cha kushindwa kuajiri wafanyakazi wapya. Miaka yote kuanzia enzi za mkapa watu wamekuwa wakiajiriwa kwanini Sasa hivi imekuwa ngumu mno. Isije kuwa kukosa ajira kunawapa watu stress wakiwaza na hatimaye kubali kulia kimya kimya nani...
WAPI ALIPO RAIS WETU?
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani.
Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli.
Mara ya mwisho...
Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini?
Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango.
Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la...
Mtoto Charles Mathias Mbena(6) mkazi wa Kibungo Juu, Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro ameonesha kipaji cha hesabu ambapo anaweza kujumlisha na kutoa hesabu za makumi na malaki bila kutumia karatasi.
Mtoto huyo anayesoma darasa la awali katika Shule ya Msingi Nyigwa ametakiwa kufanyiwa...
Mh. Rais, kwenye ualimu kuna program tunaita STAFF DEVELOPMENT. Kwamba kila mwaka kuwepo na utaratibu endelevu wa walimu kwenda kuendeleza taaluma zao ili kukuza ufanisi.
Huko nyuma walimu walikuwa wanaenda masomoni na bado madaraja yao yanapanda kama kawaida, lakini serikali yako imekuja na...
Siku chache zilizpita Kampuni za Simu za Tanzania; Vodacom, Tigo na Airtel n.k ziliongeza bei za vifurushi na kusabisha taharuki kwa watu wengi kwa bei hizo zilipanda maradufu.
Serikali na Taasisi zake zilisubiriwa sana kuja kuzungumzia suala hilo, badala yake TCRA ikaja na chapisho la kuonesha...
Wajuzi watuambie hili la mchanga lina maana gani😥😥😥😥😥
Aendelee kulala salama Maalim Seif Sharif Hamad
===
Katika hali ya kustaajabisha inadaiwa kumeibuka watu ambao wanachukua mchanga katika kaburi la Hayati Maalim Seif. Baadhi ya wakazi wameeleza kuwa mchanga huo unachukuliwa kwa imani...
Habari wanabodi..!
Nilikuwa nashauri hii mikopo inayotolewa na halmashauri ifutiliwe mbali badala yake mikopo itolewe kwa wanavyuo wanaohitimu na waliohitimu pamoja na watu wenye ulemavu.
Huu ni ukweli usiopindika mikopo ya halmashauri imekuwa haiinufaishi serikali wala kuwanufaisha wahusika...
Maabara ya kisasa ya upasuaji wa ubongo (Ango-Suite) katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Maabara hii itaiwezesha taasisi kufanya upasuaji wa matatizo ya mishipa ya damu kichwani pasipo kulazimika kufungua fuvu la kichwa.
Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali...
Kuna Mtu Mmoja mpo nae sana huko Serikalini na katika ile Ofisi yako nyingine ya UNOKO UMBEA pale Oysterbay mkabala na St. Peter's Church aliwahi kuniambia kuwa una Dharau na Kujisikia sana nikamkatalia, ila kwa ulichofanya Leo nimemuamini kwa 100%.
Leo ukiwa Dodoma umefanya Press Conference...
Hivi karibuni kumetolewa madai na kenya kuhusu mahindi yetu kuwa na sumu kuvu. Swala la milipuko ya watu kuugua na kufa kwa kula mahindi yenye viwango vya juu vya aflatoxin limekuwepo nchini kenya tangu mwaka 1981. Mfano, mwaka 2004 wakenya 317 waliugua na 125 walifariki kutokana na kutumia...
Naam wakuu,
Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada. Mara nyingine hata akipewa nafasi kutoa neno kanisani.
Yupo Dar bado? Leo Machi 7, 2021 amesali...
Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma.
Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha na kuposti wakiwa kwenye mashamba yao.
Picha hizi unanifanya nijiulize hivi akienda mtu akaondoa...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ametanza rasmi kuanzia July 01 2021, kuanza kwa zoezi la Kitaifa la uhakiki wa umiliki wote wa ardhi kwa kutumia kitambulisho cha NIDA kwa Nchi nzima.
“Tunataka Wamiliki wote hewa waliomilikishwa kimakosa, kiwizi, kiutapeli na...
Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi.
====
Dar es Salaam. Wamiliki wa...
Mabibi na mabwana na hasa mlio waungwana. Ufuatao ni upotoshaji wa wazi. Tuukatae upotoshaji huu tunapoendelea kuchukua tahadhari:
1. Taarifa sahihi kuhusiana na ugonjwa huu zinaleta taharuki.
Ukweli ni kuwa taarifa sahihi zinatuweka katika hali muafaka ya kukabiliana na tatizo lililopo.
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.