serikali

  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza kodi kwa vikundi vya scheme za umwagiliaji ni kukosa Hekima kwa Wanasiasa wetu

    Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu. Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Kwani Wakulima waliikosea nini Serikali ya CCM?

    Nilimsikia waziri wa fedha akisema, kwa ajili ya kukuza kilimo cha umwagiliaji vikundi vya skimu za umwagiliaji, vitatozwa ada ya kuendeleza miradi ya umwagiliaji. Hivi ni kweli kwamba serikali imeshindwa kubuni mbinu za kuwatafutia ruzuku wakulima wetu hata kwa kukopa toka mabenki mbalimbali...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke wazi orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo mwaka 2021

    Kwa kumbukumbu zangu, katika barua yake kwa wizara, idara na taasisi za serikali, Katibu Mkuu Utumishi aliwagiza wahusika kuwa ifikapo June 10 mwaka huu, wawe wamewassilisha serikalini orodha ya watumishi wanaostahili kupanda vyeo katika mwaka huu wa 2021. Hivyo, ili kuwapa watumishi fursa ya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali ikishasomwa inaweza kubadilishwa?

    Hivi bajeti aliyosoma Mheshimiwa Mwigulu Nchemba ni final au ipo subject to changes kulingana na Bunge litakavoijadili na je, kuna chance kuwa inaweza kubadilishwa?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Serikali itoe tamko kubatilisha mabango ya matusi Mwanza, la sivyo ni ruksa kwa tamko halali la Mkuu wa Mkoa

    Chalamila alitoa ruksa kwamba tunaweza kubeba mabango kumkaribisha Raisi na kuandika chochote, hata tusi. Chalamila kaondolewa, lakini sijasikia serikali ikibatilisha tamko hili la ruksa. Nadhani busara zitumike, na batilisho litolewe. La sivyo mkiona bango langu lina matusi ya nguoni tusilaumiane.
  6. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Akija Rais Samia mje na mabango hata ya matusi. Wananchi Washangilia kufukuzwa kwake

    TUliwaambia huko nyuma, huyu Chalamila ni hafai
  7. S

    JamiiForums Tanzania Sielewi kwanini mtu aliyechakachua msaada wa serikali na kujimilikisha enzi za Kikwete, akaondolewa leo anateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa

    Hivi sisi waswahili tuna tatizo gani lakini? kwa nini tunaona kwamba kuna watu fulani wanastahili kupewa fursa za uongozi hata wafanye madhambi ya ajabu kiasi gani? Ina maana hapa nchini suala la uongozi kuna watu wanaostahili na wengine wasiostahili? Mtu anafanya makosa makubwa katika nafasi...
  8. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Punguzo la faini kwa bodaboda na bajaji: Serikali imejiridhisha kuwa halitaongeza vurugu na ajali barabarani?

    Mwanzo mwanzoni nikiri kuwa nimefuatilia na bado naendelea kuchambua Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Kuna jambo, lakini, nimeliona kwa haraka. Ni kuhusu pendekezo la kupunguzwa kwa adhabu kwa makosa ya barabarani kwa waendesha pikipiki almaarufu kama bodaboda na bajaji...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yawaonya wanaozusha vifo vya viongozi

    Serikali haijakaa kimya juu ya wahalifu wanaokashifu, kuzusha uongo na kuleta taharuki katika jamii ikiwemo uzushi wa taarifa za vifo vya viongozi. Wahusika watapatikana na hatua za kisheria zitachukuliwa. Watanzania tulieni na endeleeni kuchapa kazi. Gerson Msigwa MMS
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

    Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
  11. falcon mombasa

    JamiiForums Tanzania Serikali iliwaza nini kuondoa Hiace na kuruhusu Bajaji?

    Wakuu habari, Najaribu kufikiria haswa sababu iliyopelekea serikali kupiga marufuku hiace na kuruhusu bajaji. Kwa tathimini ya haraka haraka bajaji ndio chanzo kikuu cha foleni. Mfano: bajaji moja inabeba watu watatu kwenye kituo cha bus zikikaa bajaji nne ambapo ratio yake jumla ni watu 12...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mikopo ya masharti nafuu kwanini nchi ichukue yenye masharti magumu?

    Naomba wenye uelewa wa mambo ya uchumi wa nchi wanipanue ufahamu kidogo kuhusu mambo ya mikopo. Nimekua nikisikia kwamba serikali imekopa au itakopa mikopo yenye masharti nafuu, na mara nyingi hatuambiwi inapokua imekopa yenye masharti magumu. Ndipo nikahitaji ufafanuzi toka kwa wataalam wetu...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona trafiki akimpiga faini bodaboda, Serikali ifute kabisa hii faini

    Ndugu zangu, Nimekuwa nikipita barabarani ukweli ni kwamba ni ngumu sana trafiki kukamata bodaboda. Mara nyingi nimeona wanaokamatwa na trafiki ni waendesha magari sio waendesha bodaboda. Hata kwa hii faini ya elfu kumi sioni trafiki wakikusanya wala bodaboda wakilipa. Hesabu ya bodaboda kwa...
  14. White party

    JamiiForums Tanzania Serikali ajirini Walimu wa masomo yote, walimu wa Arts wanaelemewa

    Nawasalimu kwa kina la Jamhuri ya Muungano, Kumekuwa na utaratibu wa serikali tangu mwaka 2017 kuajiri walimu wa sayansi na hesabu tu,ikitokea arts imeguswa basi ni Kiingereza pekee hali hii imefanya idadi ya walimu wa masomo mengine ya arts kuzidi kupungua mashuleni na hata kama hawapungui...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe Education Cost Sharing kupitia simu za mkononi kugharamia elimu ya msingi na elimu ya juu kwa Watanzania wote

    Kwanza naomba ieleweke hii sio kodi bali ni kuchangia elimu au tunaweza kuita kuchangia Mfuko wa Elimu kwa watanzania kugharamia elimu ya shule ya msingi na elimu ya juu. Napendekeza kila mtanzania mwenye kumiliki simu ya mkononi achangie shilingi 10,000 kwa mwaka mzima na fedha...
  16. MenukaJr

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Corona, Serikali isiturudishe nyuma

    Taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali iliyotolewa tarehe 05 June, 2021 imebainisha kwamba Rais wa JMT amepokea tayari taarifa mbili kutoka katika Kamati aliyoiunda kwa ajili ya kufuatilia na kuishauri Serikali namna ya kupambana na gonjwa la corona. Taarifa ya kwanza ilikua ni yenye maoni ya namna...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wanaoitumia Serikali Kuhujumu Wafurushwe

    Mabibi na mabwana hivi watu kama hawa wanaonyanyasa na kudhulumu watu kwa kutumia mgongo wa serikali katika awamu ya hii wanasubiri nini maofisini? Ni wazi kuwa watu hawa ni wanufaika mno wa hali hizi za wizi wizi walizozowea. Kama walivyo, katu hawawezi kujiondoa wenyewe! Mama Samia tambua...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2021/22

    Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Uchumi wa Tanzania umekua licha ya mlipuko wa COVID-19. Deni la Serikali ni himilivu

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema licha ya mlipuko wa COVID19, Tanzania ni miongoni mwa Nchi chache zilizokuwa na ukuaji wa Uchumi chanya kwa mwaka 2020. Amesema Pato la Taifa la Tanzania lilikua kwa 4.8% na sekta zilizochangia kwa kiasi kikubwa katika ukuaji ni Ujenzi, Habari na...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

    Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
Back
Top Bottom