serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kauli ya serikali kuhusiana na Ongezeko la mshahara

  2. JamiiForums Tanzania Tucta na Serikali lao Moja, wafanyakazi msitegemee jipya

    Hatimaye baada ya lile jambo kugeuka 'kijambo' Raisi wa TUCTA , Ndg Tumaini, alijirekodi kwenye video fupi akisema hata yeye amepigwa na butwaa na hajui kitu Gani kimetokea! Kumbuka baada ya Mei Mosi huyu Rais wa TUCTA akihojiwa na Gazeti la mwananchi alisema 'wao' wanajua kiasi kilichoongezeka...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Serikali yetu isiyumbishwe na kelele za watumishi

    Tunamuomba Mhe. Rais asiyumbishwe na kelele za baadhi ya wanao jiita watumishi wa umma juu ya nyongeza ya mshahara wanayo sema ni ndogo. 1. Uchunguzi unabaini kuwa baadhi ya watumishi wanatumiwa na baadhi ya wanasiasa kudhihaki na kukejeli nyongeza iliyo tolewa. 2. Wanasiasa wenye uchu...
  4. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali imeondoa Posho za Safari Mpya kimyakimya?

    Barua ya Tanroad wakikataa Posho za Safari hii hapa. Mambo yanazidi kugeuka? Yamekuwa Makumu?
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri: Badala ya Nyongeza ya Mshahara, Serikali ijikite katika ajira mpya na mfumuko wa bei

    Nawasalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa muda sasa kumekuwa na kelele nyingi na malalamiko ya wafanyakazi kuhusu nyongeza ya mshahara. Hapo mwezi Mei serikali ya Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassani ikaamua kuwa mshahara uongezwe kwa 23.3 kwa kima cha chini hasa ukizingatia, katika...
  6. JamiiForums Tanzania Ajira za Maofisa wa Sensa ni kwa Koneksheni. UVCCM kupewa kipaumbele

    Hatutaongeza neno ili kuepusha migongano , Jisomee mwenyewe Majina yenyewe ni haya hapa
  7. JamiiForums Tanzania Serikali: Rushwa ya ngono vyuoni inazalisha wataalam wasio na vigezo

    Ongezeko la vitendo vya ukatili wa jinsia na rushwa ya ngono kwenye vyuo vikuu inatajwa kuathiri tasnia ya elimu Nchini na matokeo yake ni kupatikana kwa wahitimu wasio na uwezo kutokana na baadhi yao kupata shahada zao pasi na kuzitolea jasho. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii...
  8. JamiiForums Tanzania Ni vigumu sana serikali kupandisha mishahara wakati uchumi wetu haujulikani umesimama vipi na serikali haina mapato ya kutosha

    Mshahara ulopendkezwa na TUCTA ni 1, 010,000 kwa mwezi na huo watosha kukabiliana na gharama za maisha. Kuna masuala kama mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na pia gharama zingine za maisha kama malipo ya pango, matibabu hospitalini na malipo ya huduma zingine kama umeme na maji. Lakini serikali...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara, yaomba wafanyakazi watulie

    Hamjamboni nyote? Baada ya malalmiko ya watumishi kuwa mengi kuhusu ongezeko la mshahara. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa amesema serikali italitolea ufafanunuzi suala hilo hivi karibuni. Ameandika hayo katika ukurasa wa twitter japo hajasema ni lini ufafanuzi utatolewa
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara iliyoonekana July 2022

    Tusubiri kusikia huo ufafanuzi ingawa watu wanataka pesa tu na sio ufafanuzi!
  11. JamiiForums Tanzania Serikali kutumia Shilingi Milioni 500 kufanya kampeni ya kuhamasisha matumizi ya nishati bora ya kupikia

    Kupitia Hotuba ya Waziri wa Nishati kwa Mwaka 2022/ 2023 Serikali imetenga Milioni 500 kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupigia ambayo ni Gesi. Mheshimiwa Spika, katika mwaka 2022/23, Serikali itatekeleza miradi, mipango na mikakati ya matumizi ya nishati safi na salama ya kupikia hasa...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali iiangalie TEMESA-kuna uzembe utakaokuja kugharimu maisha kwa watumiaji wa vivuko

    Nikiri wazi kuwa mimi ni mmoja wa watuamiaji wa vivuko vinavyosimamiwa na TEMESA katika eneo la Ferry Kigamboni. Niwapongeze kwa kuingia makubaliano na Azam kama mdau wa usafiri wa majini kwa kuja na SEATAX ingawa nijuavyo yapo mazingira ya kunufainishana kwa wakubwa in either ways and levels...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Serikali idhibiti chakula kutoka nje ya nchi

    Waziri wa Kilimo aliangalie sana hili huko mipakani tudhibiti uuazaji wa vyakula kiholela. Juzi nilikuwa Serengeti mahindi debe ni Tzs 20000 from bei ya zamani ilikuwa 12000 kwa hiyo tunakoelekea Wakenya watakuja kutuuzia tena vyakula kama mvua zitachelewa. Sisemi watu wasiuze lakini kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia Benki

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba ametangaza kwenye gazeti la serikali kuanza kwa kodi mpya kwenye miamala ya fedha kupitia bank pale unapotoa au kuweka fedha utakatwa kodi ya viwango tofauti kama inavyoonekana kwenye jedwari hili hapa chini. The Government of Tanzania has imposed levy on all...
  15. JamiiForums Tanzania Matangazo ya Safari Automotive na ‘mkakati unaotia shaka’: Serikali chukueni hatua

    Wengi mtakuwa mmekutana na matangazo ya Kampuni hii inayomtumia mwanamke/binti akichezea ‘rungu’ la gari lakini matangazo haya yanayosambaa katika mitandao ya kijamii yakiendelea kushika kasi. Si matangazo hayo tu, matangazo yao mengi yamekuwa na mwelekeo flani kwa kutumia mabinti (ambao huenda...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali boresheni huduma ya M-KILIMO

    Habari za wakati huu wanajukwaa wenzangu. Kwanza napenda kuipongeza serikali kupitia wizara ya kilimo hasa kwa kuanzisha huduma ya M-kilimo ambayo kwa kiasi kikubwa ni mkombozi kwa wakulima hasa vijijini ambako ni vigumu mabwana na mabibi shamba kufika huko. Tatizo kubwa la huduma hii ni...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali inakusanyaje kodi katika zile mashine za Kichina za kamali?

    Wadau kuna hizi machine za kamali za wachina zimetapakaa kila Kona ya mijinI hadi vijijini na wenyewe utawakuta na harrier na Krueger wanakusanya hela. Je, hizi mashine Serikali wanapataje mapato yao na zinaingizwaje nchini na zina usimamizi gani wa Serikali maana hawa jamaa wanapata hela...
  18. JamiiForums Tanzania Naingiaje payroll mpya ya Serikali?

    Wakuu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaosifia sana Serikali mitandaoni wanatoka wapi?

    Habari wana JF, Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita. Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila sehemu malalamiko ikiwa ina Maana hii serikali bado inahitajika kufanya kitu cha ziada kwa Wananchi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kama mwananchi wa kawaida naiomba Serikali inieleze kiasi cha madeni nchi inayodaiwa

    Kama mwananchi wa kawaida ninatakiwa kujua madeni yote tunayodaiwa kama nchi. Tangu awamu ya Sita iingie madarakani haipiti hata mwezi mmoja utasikia nchi ya Tanzania imekopa matrillioni kadhaa Hii tabia hatukuiona Awamu ya Tano na miradi ilikuwa inajengwa kama kawaida. Leo sikuamini macho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…