serikali

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shule 10 bora matokeo ya Kidato cha Sita: Zimo shule 7 za serikali. Wakongwe Marian Girls, Feza Boys, Kibaha Sekondari, Ilboru Sekondari watupwa mbali

    Kuna mabadiliko makubwa sana katika ushindani wa matokeo ya kidato cha sita. Wakongwe waliotesa kwa miaka mingi wamepigwa mweleka mkali wakiwemo Marian Girls, Feza boys, Marian boys, Feza boys, Kibaha sekondari, Uwata sekondari nk. Je tatizo ni nini? Mkeka huu hapa: Kemebos Sekondari, Kagera -...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Twitter yafungua Mashtaka dhidi ya Serikali ya India

    Kampuni ya Twitter imeishtaki Serikali ya India kupinga baadhi ya maagizo ya kuzuia 'Tweets' na Akaunti mbalimbali zikiwemo za Vyama vya Siasa, ikisema kuzizuia ni ukiukwaji wa Uhuru wa Kujieleza. Mashtaka hayo yanakuja baada ya mwaka mmoja na nusu uliotajwa kuwa mgumu kwa Twitter Nchini humo...
  3. Richard

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  4. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili linatekelezwa na...
  5. Fukua

    JamiiForums Tanzania Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

    Habari, Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa. Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka...
  6. kyagata

    JamiiForums Tanzania Inakuaje shule ya serikali inapata matokeo mazuri kama haya?

    Yani shule ya serikali haina division 4 wala zero? https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/results/s0129.htm
  7. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imrudishe Mhandisi Kakoko kama suluhisho la matatizo ya Bandari

    Kumekuwa na matatizo mengi sana yanayohusu Bandari zetu na hasa ya Dar es Salaam. Awamu ya Tano ilimteua Injinia Kakoko kuongoza Bandari na matokeo yake kila mmoja wetu aliona. Injinia Kakoko aliongeza mapato ya Bandari zaidi ya mara kumi. Ni vema Injinia Kakoko akarudishwa tena pale na kwa...
  9. beth

    JamiiForums Tanzania Sudan: Jeshi laridhia mchakato wa Serikali ya Kiraia

    Kiongozi wa Mapinduzi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jeshi litajiondoa katika mazungumzo ya Siasa yanayoendelea, na kuruhusu makundi ya Kisiasa na Kimapinduzi kuunda Serikali ya Mpito Tangu Mapinduzi ya Oktoba 2021, kumekuwa na maandamano ya kupinga Utawala wa Kijeshi takriban kila...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutoa tuzo kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha 2022/23

    Serikali imeunda kamati maalum inayoongonzwa na Prof. Penina Mlama kwa ajili ya kuweka utaratibu wa kutambua na utoaji tuzo kwa waandishi mahiri wa riwaya nchini kuanzia mwaka huu wa fedha 2022/23. Hayo yamesemwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) wakati wa...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kukodishia visiwa 52 wawekezaji

    Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametema nyongo kuhusu mambo saba aliyosema yamekuwa yakipotoshwa kwa makusudi ili kumkatisha tamaa, lakini akasisitiza kuwa hatarudi nyuma hata hatua moja. Dk Mwinyi alitoa kauli hiyo jana, wakati akizungumza na waandishi wa habari katika utaratibu wake wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa CDF Jenerali Mkunda na Serikali kuhusu uendeshaji wa Shule za Jeshi

    Awali ya yote nampongeza sana Mhe. Rais wetu, mpendwa wetu Mama SAMIA SULUHU HASSANI kwa kazi nzuri anayoifanya na wasaidizi wake. Pia nampongeza sana aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya ulinzi mstaafu kwa kazi kubwa aliyoifanya na nampongeza sana Mkuu mpya mteule wa majeshi ya ulinzi kwa uteuzi wake...
  13. bahati93

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku viwatilifu vyenye "Atrazine"

    Wanajamii mambo sio mambo, leo nitawapasha habari juu ya sumu ya kuulia magugu Atrazine. Hii sumu inatumiwa sana na wakulima katika kuua magugu katika mashamba makubwa ya mazao mbalimbali: miwa, mahindi. Sasa kwa nini hii sumu ni Nongwa? Mwaka 2010, Dr. Tyrone Hayes alifanya utafiti kwa Vyura...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha matumizi ya Fomu ya 2C inayotumika kuchukua dawa maduka ya nje

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametangaza kuanzia leo Julai 1, 2022 Serikali imesitisha rasmi matumizi ya fomu ya 2C katika Hospitali zote za umma zinazotumia Bima ya Afya mara baada ya kuonekana kuna udanganyifu mkubwa unafanyika. Fomu ya 2C ni karatasi inayoandikwa dawa nakupatiwa mgonjwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alisisitiza kuwa Kazi ni Uhai, waajiri na Serikali Mtuthamini waajiriwa wenu

    Habari wana JF, Kwa ujumla ukimuajiri mtu mmoja ujue mtu huyo ana mke na watoto, ana ndugu na marafiki wanao mtegemea. Lakini pia, umlipa mshahara huyo mtu ataenda nunua unga au mchele kwa mtu mwingine ambae amejiajiri ambae inawezekana bila kazi hiyo angeweza kuwa Jambazi mtaani huko mtaani...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa ruzuku ya mbolea shilingi Bilioni 150

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati akitoa hoja ya kuahirisha mkutano wa saba wa Bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika mengi aliyoyazungumzia mimi nimefurashishwa na kitendo cha...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yabariki kusamehe kodi

    . Serikali imebariki hoja yake ya kuwatambua na kuwasamehe walipakodi mahiri, huku mbunge mwenye hoja kinzani akiendeleza msisitizo wake kwamba anaona ishara ya kasoro na kashfa. === Akizungumza bungeni jijini hapa jana, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, alisema serikali...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Loliondo, Ngorongoro, Hayaruhusiwi kuendelezwa | Serikali na wananchi walikubaliana - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  19. W

    JamiiForums Tanzania Wakili Mkuu Gabriel Malata wa Serikali amjibu Prof. Issa Shivji - Ardhi ya Umma

    Rais Ndiye Mkuu wa nchi, Nchi ni Ardhi na vitu vyote vilivyomo, Hakuna nchi ambayo haina Ardhi. Ibara ya 1 inazungumzia Tanzania ni nchi ya Jamhuri ya muungano, Ibara ya Pili inaelezea Eneo la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rasilimali na Mali asili zote zimewekwa chini ya Mkuu wa Nchi. Ardhi...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Ufilipino: Serikali yaamuru Tovuti ya Rappler kufungwa

    Mamlaka zimeamuru Tovuti huyo ya Habari za Kiuchunguzi kufungwa kwa madai ya kukiuka Sheria za Umiliki wa Vyombo vya Habari Rappler ni miongoni mwa Vyombo vichache vya Habari vilivyokosoa mwenendo wa Serikali ya Rodrigo Duterte ambaye ataachia Madaraka siku chache zijazo baada ya Ferdinand...
Back
Top Bottom