serikali

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Kiongozi anaepeleka mtoto wake Shule ya Milioni 10 atatoa Mawazo Gani ya Maana ya kuendeleza shule za Serikali?

    Katika pitapita zangu nimekutana na video ya Anthon Mtaka akizungumza kuhusu Elimu, hii hapa chini Nikaona kaongea ukweli fulani ,Hivi wana JF ,mtu ambae hajawahi somesha mtoto shule ya serikali hasa ya kata anawezaje akawa na mipango ya maana kuhusu hizi shule?
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali mbona mna huruma wakati biashara za utapeli zinafanyika kwenye majengo yenu hapa Kahama

    Narudia tena kueleza haya yaliyopo Kahama japo nilishakuwa mwizi nikakoswa koswa ila huu wizi kama Serikali mnatoa baraka mkisubiri vilio ndio mjifanye kutoa pole. Hapa Kahama kuna hii kampuni sijui Alliance tena imekodi jengo la NSSF na humo ndani kuna TRA na NSSF na pia ikitazamana na...
  3. Tsh

    JamiiForums Tanzania Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Serikali Awamu ya Sita kuifungua Mtwara?

    Katika sera ya utawala bora ni pamoja na kuhakikisha maendeleo sawia katika kanda zote za nchi husika. Ni ukweli usiopingika kuwa katika miongo kadhaa iliyopita tangu nchi ya Tanganyika ijipatie uhuru na baadae Tanzania, Moja ya maeneo yaliyokuwa nyuma sana hata baada ya uhuru ni maeneo ya...
  5. mshale21

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kupima DNA, gharama ya kipimo ni Tsh.100,000/=

    Mkemia Mkuu wa Serikali, Dk Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA). Akizungumza na waandishi wa habari katika...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

    Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija. Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Makubaliano kati ya Serikali na kampuni ya madini ya Barrick, yametekelezwa kwa kiwango gani mpaka sasa?

    Naomba kujua hawa wanaume wa kampuni ya Madini ya Barrick wametekeleza makubaliano gani mpaka sasa maana tuliahidiwa mengi na makubwa ila kwa sasa ukimya umetawala tofauti na kilichokuwa kinahubiriwa majukwaani. Kwa mfano, ujenzi wa smelter umeshaanza? Na kama umeanza, umefika asilimia ngapi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Serikali na Waziri Nape tupeni ufafanuzi kuhusu kuchangia Anwani za Makazi

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Swali kwa faida ya watanzania 🙏 Mh Nape Moses Nnauye/ Serikali kuna jambo linanitatiza hapa nadhani utanisaidia . Kuna hili zoezi la kuweka anuani za makazi Sasa na Wananchi wanachangishwa kwa viwango tofauti ili tuweze kupata anuani za makazi. Tena tumeambiwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Serikali kufunga mipaka kwa upungufu wa chakula ni kuwaua wakulima

    Ni kweli ina nia ya kusaidia janga la njaa. Lakini kwa nini kila wakati wa kuuza bei ya chini ni wakulima tuu. Kwanini bidhaa nyigne hatua kama hizi hazichukuliwi. Sisi tunaotoa muda wetu kulima na kudharaulika tunalazimishwa kulisha watu wavivu na wengine wanaotukashifu tunapoingia shambani...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Maajabu Jimbo la Igalula kata ya Loya, Taasisi za umma na Serikali kutounganishwa kwa umeme

    Wananchi Poleni Sana nimepata malalamiko yenu Kuwa taasisi za umma kama msikiti,makanisa,shule ya msingi Loya Bondeni,shule ya sekondari Loya na cha ajabu kabisa hata kituo cha polisi cha Loya eti hakuna umeme! Nilipo jaribu kuwahoji wahusika wanaotokea kata Hiyo tatizo hasa ni nini...
  11. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Serikali haileti vichwa vya Treni unavyovifikiria wewe

    TUTAPOTEZA TUKISUBIRI VICHWA VIPYA VYA TRENI 2023. Tarehe 04/07/2022 Ikulu Jijini Dar Es Salaam wakati wa Hafla ya Utiaji Saini Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) sehemu ya Tabora hadi Isaka, Km 165 njia Kuu na Km 35 njia za kupishana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alieleza nia...
  12. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Serikali ilivyoimarisha huduza za afya

    Miongoni mwa sababu za kuongezeka umri wa kuishi kwa Mtanzania kutoka miaka 67 na miezi mitatu mwaka huu hadi miaka 74 ifikapo mwaka 2035 ni uboreshwaji wa huduma za afya. Serikali inahakikisha vituo vya afya vinajengwa karibu na makazi ya watu, miundombinu ya kufika hospitali ipo vizuri kama...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tutaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili

    Serikali imesema itaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili ili viendelee kuandaa wataalamu zaidi watakaotumika duniani kote. Akizungumza kwa njia ya simu katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yanayofanyika Jijini Dar es Salaam, Mhe...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Shule 10 bora matokeo ya Kidato cha Sita: Zimo shule 7 za serikali. Wakongwe Marian Girls, Feza Boys, Kibaha Sekondari, Ilboru Sekondari watupwa mbali

    Kuna mabadiliko makubwa sana katika ushindani wa matokeo ya kidato cha sita. Wakongwe waliotesa kwa miaka mingi wamepigwa mweleka mkali wakiwemo Marian Girls, Feza boys, Marian boys, Feza boys, Kibaha sekondari, Uwata sekondari nk. Je tatizo ni nini? Mkeka huu hapa: Kemebos Sekondari, Kagera -...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Twitter yafungua Mashtaka dhidi ya Serikali ya India

    Kampuni ya Twitter imeishtaki Serikali ya India kupinga baadhi ya maagizo ya kuzuia 'Tweets' na Akaunti mbalimbali zikiwemo za Vyama vya Siasa, ikisema kuzizuia ni ukiukwaji wa Uhuru wa Kujieleza. Mashtaka hayo yanakuja baada ya mwaka mmoja na nusu uliotajwa kuwa mgumu kwa Twitter Nchini humo...
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  17. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili linatekelezwa na...
  18. Fukua

    JamiiForums Tanzania Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

    Habari, Niende kwenye mada, kama kichwa cha habari hapo juu, Ninaweza kusema kwamba waliotunga sheria mbalimbali za utumishi wa umma watakuwa wajinga na walikuwa na njia njema kabisa. Miongoni mwa Vitu muhimu kabisa ni nyongeza ya mishahara, increments na kupanda madaraja kila baada ya miaka...
  19. kyagata

    JamiiForums Tanzania Inakuaje shule ya serikali inapata matokeo mazuri kama haya?

    Yani shule ya serikali haina division 4 wala zero? https://matokeo.necta.go.tz/acsee2022/results/s0129.htm
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Matrillioni ya pesa yanayokusanywa na makampuni ya Bima kupitia mawakala wao ni za serikali au ni za nani?

    Nimepiga hesabu za haraka haraka, na kugundua kwamba makampuni ya Bima hukusanya wastani wa Trilioni 3.5 kila mwaka kama malipo ya bima za aina mbali mbali, na pia malipo kwa ajili ya bima (hasa hasa kwa wahindi wanaochoma moto viwanda vyao kwa makusudi) kwa mwaka huwa hayazidi bilioni 100, na...
Back
Top Bottom