serikali

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Bashe anaogopa Tume kuchunguza kashfa ya mbolea?

    Wana JF Wakulima tunataka kuona bei ya mbolea inashuka nchini, pia tunataka kuona mikakati ya Serikali ya kushusha bei ya mbolea lakini maelezo aliyoyatoa Waziri Bashe hayaleti unafuu wowote kwa wakulima. Tatizo la Bei ya mbolea kupanda haliwezi kumalizwa na ruzuku kwani ruzuku inayotolewa...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya uwingi wa majeshi huko Loliondo kwanini Serikali isitangaze hali ya hatari?!

    Hiyo picha ni Loliondo Waziri Mkuu akisikiliza wimbo wa hamasa ukiimbwa na vijana wa JKT. Hoja hapa ni huo umati wa vijana wa Vyombo vya Dola ambao wamepelekwa huko eti kwa kisingizio cha uwekaji wa beacon za mpaka wa eneo la hifadhi ya Pori tengefu.Inafikirisha sana! Kwa nini becoan zile...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Nchemba: Nchi inayoendelea lazima ikope

    NCHI INAYOENDELEA LAZIMA IKOPE "Duniani kote nchi zinazotekelea miradi mikubwa ya maendeleo na zenye uchumi mkubwa, zina madeni makubwa, ipo hivyo nendeni mkaangalie Huwezi linganisha uchumi wa Tanzania na Marekani,” - Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Kuna nchi masikini hazina madeni na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Serikali itolee ufafanuzi iliposema elimu bila ada kwa kidato cha tano, Mbona bado walimu hawajapelekewa fedha wala barua kuhusu jambo hili?

    Hivi majuzi wakati waziri wa fedha akiwasilisha bajeti kuu ya serikali bungeni alisema elimu ya kidato Cha tano na sita nayo itakuwa bila ada. Jambo hili ni jema na la kupongezwa lakini kuna kitu hakipo sawa. Wakati serikali ikitangaza hili jambo wanafunzi wanaokwenda kuanza form five mwaka huu...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Serikali wekeni sheria mtu asiingie airport bila VISA na Tiketi ya kusafiria

    Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi. Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama. Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo. 1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na...
  6. Mrengwa wa kulia

    JamiiForums Tanzania Israel: Waziri Mkuu avunja Serikali ya Muungano

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett imetangaza kwamba Serikali ya Muungano ya nchi hiyo itavunjwa, na hivyo uchaguzi mwingine kuandaliwa. Bennett na mshirika wake mkuu, Yair Lapid, watalivunja Bunge katika siku zijazo, ofisi ya Bennett imesema. Lapid atahudumu kama Waziri Mkuu wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia punguza kuitetea serikali, waache wabunge watetee wananchi

    Ndugu Spika Ninakuelewa vizuri, pengine huna uchungu sana na wananchi, kwa sababu mazingira yako ya kuingia bungeni tangu mwanzo, na baada ya uchaguzi 'feki' wa mwaka 2020 ni kwa mbeleko ya dola. Kwa hivyo labda unadhani una cha kuilipa fadhila serikali. Lakini nataka nikukumbushe tu kuwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kigamboni ni mji unaojengeka kuliko yote Dar, Serikali iweke miundombinu vizuri

    Kigamboni ndio wilaya inayokua kwa Kasi katika mkoa wa DSM. Inahitaji miundombinu kabla hatujachelewa. Pia tozo za kuvuka maji kwa gari zishuke zaidi na zaidi mji ujengeke na utanuke. Nawasilisha
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbunge: Serikali iwekeze katika elimu badala ya mabweni ili kukwepa mimba za utotoni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Hawa Mwaifunga ameitaka Serikali kuongeza nguvu ya kutoa elimu kwa jamii ili kupunguza tatizo la mimba za utotoni huku akieleza moja ya sababu ni wanafunzi kufuata shule mbali na makazi yao. Ametoa kauli hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Tarimba: Serikali iangalie njia bora ya kupanua wigo wa Walipakodi

    Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas ameishauri Serikali kuangalia utaratibu mzuri wa kupanua wigo wa Walipakodi badala ya kuongeza Kima cha Kodi Akichangia Mjadala wa Bajeti Kuu amesema, "Tatizo lililopo hasa upande wa Serikali, wanamlenga Mlipakodi wanayemuona. Leo iwe 10% kesho iwe 12%...
  11. Mag3

    JamiiForums Tanzania Wabunge walipe kodi, wabunge kutolipa kodi ni rushwa inayotolewa na Serikali

    Wabunge walipe kodi. Katika nchi nyingi ulipaji wa kodi ni majawapo katika sifa kuu kwa wagombeaji wa ubunge kuwa nayo ili wakidhi kuchaguliwa. Ni wazi kuwa kwa Wabunge wetu hawa kwa kutolipa kutolipa kodi wanakosa uhalali wa kuikosoa serikali pamoja na jukumu la kuhimiza ulipaji wa kodi. Sasa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za usafirishaji serikali haiwezi kukwepa lawama

    Serikali ya awamu ya sita imetuacha wengi midomo wazi. Labda Mama anadhani kwa ujezi ujenzi ikiwamo vyoo kwa pesa za UVIKO anaweza kuwa yu rais bora zaidi hapa nchini kuliko hata walivyokuwa kina Nyerere! Mwigulu kasikika akitangaza kodi zaidi kwa mabasi na malori. Pia kodi zaidi kwa diesel na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaikosoa bajeti ya Serikali 2022/23

    Leo nimemsikiliza sana Ndugu J.Mnyika akitoa ushauri juu ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2022/23. Nimemsililiza na mengi nimekubaliana naye hasa ugumu wa maisha kwa wananchi. Anaendelea kushauri kuwa punguzo la bei ya mafuta kwa sasa bado haijamsaidia mwananchi na hivyo Serikali ione...
  14. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania TRA Yagawa bidhaa kwa taasisi za serikali

    Mamlaka ya mapato tra mkoani tabora imegawa mali mbalimbali ilizokamata kati ya mwaka 2019-2022 kutoka kwa wafanyabiashara waliokiuka utaratibu wa utoaji wa risiti kwa njia ya kielektroniki efd kwenye miamala yao. tra imegawa mali hizo kwa jeshi la magereza na idara ya elimu manispaa ya tabora...
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa kodi kwenye magari yenye friji. Tuleteeni basi dagaa mchele na pweza fresh huku mikoani

    Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
  16. L

    JamiiForums Tanzania John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri MAGOGONI

    John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri. Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8, mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi. Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Hatubani matumizi kwa kukopesha watu magari yanayowekewa mafuta na Serikali

    Tusipakane mafuta kwa mgongo wa chupa. Njia pekee ya kubana matumizi ya serikali ni kwa kufanya yafuatayo: 1. Kuyafanya magari yote ya serikali yatumie gesi asilia badala ya mafuta na kuyafungia vifaa vya kuyafuatilia mienendo yao. Madereva wa magari ya serikali baadhi yao huwa wanaiba mafuta...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kuboresha Vituo vya Walimu kwa lengo la kutoa fursa kwa Walimu kupata mafunzo wakiwa kazini

    Serikali imesema inaboresha vituo vya walimu kwa lengo la kuendelea kutoa fursa kwa walimu kupata mafunzo wakiwa kazini ili kuwejengea uzoefu. Hatua hiyo inakwenda sambamba na maboresho ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 pamoja na mabadiliko ya mitaala ili kuwa na wahitimu wenye ujuzi na...
  19. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakumbuke wastaafu

    Habari Wana JF, Juzi kwenye hotuba ya bajeti ya Serikali iliyosomwa na Waziri wa fedha, Waziri alitamka kufahamu kwamba kufuatia kutokuwepo kwa ajira za moja kwa moja kwa Wahitimu, Wazazi wamekua wakibeba mzigo mkubwa wa familia zao. Kwa kulitambua hili naomba Serikali kuwezesha upatikanaji...
  20. Gama

    JamiiForums Tanzania Pakistan: Pendekezo la kupunguza unywaji wa chai - Serikali lawamani

    Waziri anayehusika na Mipango wa Pakistani amependekeza kuwa wananchi wapunguze unywaji wa chai kwa kuwa Serikali hutumia fedha nyingi kuingiza chai kutoka nje ya nchi, pendekezo hilo limesababisha hasira ya wananchi dhidi ya serikali na kusema kuwa uchumi umedorora kutokana na serikali kuwa na...
Back
Top Bottom