Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,556
- 2,998
Jamani kwani serikali inakazi gani??inakuwaje inaleta mfumo mpya kwa lengo la kurahisisha na kuleta ufanisi katika anga la usafiri lakini inashindwa kabisa kufata sheria walizoweka wenyewe??
Juzi nimetoka zangu mkoani kuja zangu Daaslamu huku usafiri mkubwa na watabu ukiwa ni mwendokasi,nilipofika kimara mwisho nilipigwa na butwaaa
@Kupnga mistari
magari hayasimamai takribani nusu saaa hata liwe tupu.
magari limejaa mtu nyomi na bado linaendelea kupokea watu.
@tiketi zinavyokatwa upigaji bado ni mkubwa.
Hivi ni kweli serikali haioni kuwa hizi gari incase ikapata ajari watu wengi watafariki??au tunasubiri mpaka yatokeee???
vipi kuhusu magonjwa yanayoambukizwa kwa ngozi pamoja na hewa tutabaki salaama??
Naomba tutafute muaruarobaini wa hili tatizo kabla hayajatufika.