serikali

  1. JamiiForums Tanzania Wahindi waliharibu kizazi cha 90-2000, ila kuanzia kizazi cha sasa lawama tuwatupie serikali au wasanii kwa ujumla wao

    TAMADUNI ni msingi na nguzo ya Taifa hatutaweza kuwa jamii endelevu ikiwa tamaduni zetu tumezitupa kabisa kama Taifa tutapoteza kitambulisho kwenye makutano ya nchi nyengine ila ubaya siyo kupoteza utambulisho tu! bali kupotea kwa misingi ya tamaduni ambazo kimsingi ndiyo nyenzo ya maadili kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna watumishi wa Serikali wasio na viwango kabisa

    Kuna changamoto kwenye sekta hii ya utumishi wa umma. Kubwa sana ni kukosa viwango (standards) na muendelezo (continuity). Hii continuity watu wa filamu wanaijua sana, la sivyo kazi zao zingekuwa vioja. Sasa vioja hivyo wanafanya hawa watumishi wa serikali. Tukianza na standards nikiangazia...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali kujitenga na mazoea kwenye maandamano haikuwa Bahati mbaya

    Kama ni mfuatiliaji mitandao ya kijamii hasa u tube utanikubalia kuwa Zama zimebadirika. System ime benefit kwa muda mrefu kutokana na ujinga wa jamii tuliyonayo Kwenye mitandao ya kijamii watanzania wamekuwa kaa la Moto. Akili zilizoko huko ndani ndo zinezaa matunda mahsusi ya haya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali isiajiri mafundi sanifu vifaa tiba wakutosha?

    Inafika wakati wilaya nzima inahudumiwa na fundi sanifu vifaa tiba mmoja ahudumu hospitali zote za wilaya husika, mtaani vijana ni wengi sana tunahitaji hiyo kazi na tuna professional hiyo. Mabadiliko yanahitajika ili kuwezesha upatikanaji bora wa huduma za afya na kupunguza gharama za kununua...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara

    Kufuatia malalamiko ya Wananchi juu ya kupanda kwa gharama za Sukari, Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali, Amri hiyo imesema Mtu yeyote...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

    Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Vipi huko kumesoma maana khali sio hali madeni mpaka utosini kila duka tunadaiwa mpaka pakukopa pameisha.
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajira kwa Watoto: Serikali Ichukue hatua kuchangia Elimu Bora na kulinda haki za Watoto

    Watoto wa umri kati ya miaka 5-17 wengi wao wanakumbwa na hali ya kulazimika kufanya kazi badala ya kwenda shuleni. Baadhi yao hulazimishwa kufanya kazi ili kusaidia familia zao na wengine hupata changamoto ya kushindwa kusoma kwa sababu ya majukumu ya kazi wanayopewa. Hii kusababisha wanafunzi...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati mvua zikiendelea kuutesa mkoa Dar, mkumbuke maji yanarudi mahala pake tu Serikali haina makosa

    Unaambiwa enzi hizo Dar es Salaam kulikuwa na mito mikubwa kabisa pamoja na maziwa(lakes) Tazama hii ramani ya beberu mjerumani inakupa picha kamili Kulikuwa na ziwa Tandale😅 Ziwa Mwananyamala😂 Ziwa Magomeni😅 Mto Sinza😅 Dar es Salaaam inahitaji MKOLONI arudi tena kuipanga upya maana yeye...
  10. JamiiForums Tanzania Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

    Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya. Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano yasiwe ya CHADEMA tu, mambo ni mengi ya kuilalamikia Serikali ya CCM

    Hatimaye imesalia siku moja kufikia 24/1/2024 ambayo ni siku ya kihistoria Tanzania. Ni siku ya mageuzi halisi. Yameandaliwa na kuratibiwa na Chadema kupinga miswada ya sheria za uchaguzi kama ilivyokubaliwa kwenye maridhiano. Hata hivyo tukiweka Kandi lengo la kisiasa tunaomba wananchi hasa wa...
  12. JamiiForums Tanzania Namibia: Serikali yaweka wazi kuwa Rais Hage amekutwa na Ugonjwa wa Saratani

    Serikali imeweka wazi taarifa za vipimo vya Afya vya Rais Hage Geingob (82) na kuueleza Umma kuwa kiongozi huyo amekutwa na Ugonjwa wa Saratani na anatarajiwa kuanza matibabu kama ambavyo Madaktari wake walivyoelekeza. Taarifa ya Serikali imesema Rais huyo amekuwa akifanya vipimo vya afya mara...
  13. JamiiForums Tanzania Hili la Umeme linatosha kuitoa serikali madarakani, Serikali ifanye jitihada za dharula kuweka hali sawa

    Habari JF, ninapoandika hapa ni zaidi ya masaa 12 hakuna umeme .suala la umeme limekuwa ni tatizo kubwa sana maeneo yote, Kazi hazifanyi lakini pia watu wanafanya shughuli zao katika mazingira magumu sana na kwa gharama kubwa . Hili serikali haioni kuna haja ya kufanya jitihada za dharula...
  14. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya AFCON: serikali iwafidie CCM, ikichukue kiwanja cha CCM kirumba, ikijenge kwa viwango vya kisasa, kitumike kwa mashindano

    Nashauri kiwanja hiki kitwaliwe na serikali, CCM wafidiwe, halafu kijengwe kiwanja cha kisasa pale. Hii itaendana na hadhi ya jiji la Mwanza. Kwa.sasa kiwanja hiki hata CCM hakiwapi faida yoyote ile.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hizi ndizo sababu za kwanini Serikali ya CCM haitaki Maandamano ya CHADEMA

    Habari wanajamvi! Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikifuatilia siasa za Tanzania na kuna mengi ya kuzungumza japo muda ni mchache ila kwa hili la maandamano ya chadema yanayotarajiwa kufanyika tar 24 mwezi huu wa kwanza nikaona si vibaya na mimi nikatoa mtazamo wangu hasa baada ya nguvu kubwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe wa serikali, Raisi Samia akubali ukweli huu

    Ni kweli maafa ya mafuriko yanaitwa natural disasters, lakini sio lazima natural disasters zilete maafa kwa raia na mali zao. Asilimia 60 ya maafa ya mafuriko Dar es Salaam yanatokana na uzembe, ubinafsi, kutojali, na uongozi mbovu kwa ujumla wa viongozi wa serikali. Si mara ya kwanza Dar es...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi aonya viongozi wa CCM kuwavaa wa Serikali

    Akizungumza leo Januari 20, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa mapokezi yake baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo, Nchimbi amesema hakuna mtu asiyejua CCM ndio chama kinachoongoza Serikali, hivyo hakuna ulazima wa kutumia nguvu kudhalilisha watumishi wake. “Hatuwezi kusimamia Serikali kwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani ni hatari kwa maisha ya binadamu

    Serikali ya Tambani (Mkuranga) inapuuzia ukarabati wa miundombinu ya barabara ya kutoka Kitonga kwenda Mbande kupitia Tambani, yapata miezi miwili. TANROADS na TARURA, wanachekea ujinga usiojificha.
  19. JamiiForums Tanzania Serikali na Mvua

    Hii imekaaje? Mvua zikinyesha sana Sukari inakuwa hamna kwa mujibu wa Waziri Bashe. Mvua zikiwa hazinyeshi Umeme unakuwa hamna kwa mujibu wa waziri wa nishati. HII IMEKAAJE WAKUU?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iwahamishe wakazi wote eneo la mlima Hanang Manyara

    Salaam, Shalom!!! Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani. Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi. Ninaiomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…