Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,504
51,099
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa, ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia.

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ya tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa muda mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii naona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana kwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
 
Sidhani kama umeelewa ulichoandika.
Hivi hujui no. 1 b ikitumika vizuri inamung'oa Samia madarakani!

Hiyo 1b imetupiwa tu kujikosha ila lengo kuu la maandamano ni 1a. It seems CCM wanalijua hilo vizuri.

Na kwa kuwa ajenda namba 1a imekaa kisiasa, basi tegemea hayo maandamano yaungwe mkono na Wanachadema zaidi kuliko Watanzania wote wakiwemo wa CCM.

Hayo maandamano yangekuwa ya Kitaifa zaidi kama Ajenda kuu ingekuwa katiba mpya!
 
Wakienda kwenye hayo maandamano wakagoma kuondoka, Itakuwa Tahrir square kule Cairo…
 
Sababu kuu hii hapa

Screenshot_2024-01-18-22-15-01-1.png
 
Hiyo 1b imetupiwa tu kujikosha ila lengo kuu la maandamano ni 1a. It seems CCM wanalijua hilo vizuri.

Na kwa kuwa ajenda namba 1a imekaa kisiasa, basi tegemea hayo maandamano yaungwe mkono na Wanachadema zaidi kuliko Watanzania wote wakiwemo wa CCM.

Hayo maandamano yangekuwa ya Kitaifa zaidi kama Ajenda kuu ingekuwa katiba mpya!

Labda hujafiatilia kwa umakini madai ya CHADEMA.

CHADEMA wanasema kuwa maoni yao kuhusiana na sheria ya uchaguzi yametupwa. Je, unayajua hayo maoni ya CHADEMA yaliyotupwa?

Maoni makuu ya CHADEMA yaliyotupwa, na ambayo mwenyekiti wa kamati ya Bunge alizuia yasipokelewe ni la kutaka yafanyike mabadiliko ya katiba kwanza kabla ya hiyo miswada miwili ya sheria ya uchaguzi. Na kwamba bila ya kubadilisha vifungu fulani ndani ya katiba, hata hiyo miswada inakuwa haina maana.

Kwa hiyo ajenda kuu ni mabadiliko ya katiba yatakayowezesha mabadiliko chanya ya sheria ya uchaguzi.
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya.
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ta tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa mysa mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii baona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana jwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
mtu asiekupenda hawezi kukusifu kwa lolote, na wala usitegemee, na wewe ni miongoni wao, nakumbuka nilipokuwa shule ya msingi niliwahi kushika nafasi ya tatu kati ya wanafunzi 57, mama yangu wa kambo aliniambia nimeshinda kwenye wajinga.....
 
Labda hujafiatilia kwa umakini madai ya CHADEMA.

CHADEMA wanasema kuwa maoni yao kuhusiana na sheria ya uchaguzi yametupwa. Je, unayajua hayo maoni ya CHADEMA yaliyotupwa?

Maoni makuu ya CHADEMA yaliyotupwa, na ambayo mwenyekiti wa kamati ya Bunge alizuia yasipokelewe ni la kutaka yafanyike mabadiliko ya katiba kwanza kabla ya hiyo miswada miwili ya sheria ya uchaguzi. Na kwamba bila ya kubadilisha vifungu fulani ndani ya katiba, hata hiyo miswada inakuwa haina maana.

Kwa hiyo ajenda kuu ni mabadiliko ya katiba yatakayowezesha mabadiliko chanya ya sheria ya uchaguzi.

Barua ya Mnyika kwa makamanda wa polisi wa mkoa wa Dar kuelezea sababu za maandamano hakuna ISHU ya Katiba mpya!
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya.
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ta tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa mysa mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii baona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana jwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
Impimpi impimpi impimpi
 
Agenda kuu ya CDM ni kuiondoa miswada hii Bungeni ambayo wao wanaita ni cosmetic. wanashinikiza kufanya Reform kwenye Katiba iliyopo kwanza.Hivyo Agenda ya katiba mpya imebebwa na hoja ya miswada inayoendana na haja ya mabadiliko madogo ya katiba, na ndiyo mojawapo ya msukumo wa maandamano.hiyo ndiyo agenda yao kuu. Utasoma mabango kesho
 
Barua ya Mnyika kwa makamanda wa polisi wa mkoa wa Dar kuelezea sababu za maandamano hakuna ISHU ya Katiba mpya!

Siyo katiba mpya. Maoni ya CHADEMA yaliyotupwa ni yale yanayotaka vifingu vya katiba kubadilishwa kwanza ndipo sheria ya uchaguzi ibadilishwe.

Kwa hiyo maandamano haya ni ya kuitaka Serikali iondoe miswada yake ya kilaghai kuhusiana na sheria ya uchaguzi. Kisha ipeleke bungeni mswada wa mabadiliko ya katiba.
 
Back
Top Bottom