serikali

  1. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi maendeleo huwa yanaletwa na Chama /Serikali?

    Mimi nafikiri maendeleo hayaletwi na chama au serikali bali na wananchi wenyewe kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kulipa kodi na kwa kuchagua viongozi sahihi ambao siyo mafisadi bali wacha mungu ambao watawaongoza wananchi kupata maendeleo yao na kwa kusimamia kikamilifu rasilimali za nchi...
  2. Execute

    JamiiForums Tanzania Serikali iajiri madaktari watano kwenye milioni kumi aliyokuwa analipwa Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania NHIF: Tumeona matangazo ya Hospitali zinazositisha huduma, wamekiuka mkataba

  4. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM iache Masihara na suala la Bima, wanacheza na maisha ya watu

    Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini. Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

    Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Serikali isipuuze tamko la APHFTA kusitisha matumizi ya bima ya NHIF kutibiwa hospitali binafsi. Yanazungumzika

    Tangu Mwenyekiti wa Vyama vya Watoa Huduma Binafsi za Afya nchini (APHFTA), Dk Egina Makwabe atangaze azimio la vituo vyote vya afya kutaendelea kutoa huduma kwa wagonjwa wapya wa bima ya NHIF kuanzia Machi 1, 2024, hakuna response yeyote kutoka upande wa serikali kuhusu tamko hilo. Je, tuamini...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Guinea yamteua Kiongozi wa upinzani kuwa Waziri Mkuu mpya

    Jeshi linaloongoza Serikali ya Guinea limemteua Mamadou Oury Bah aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Upinzani kuwa Waziri Mkuu siku chache baada ya Watu wawili kuuawa (Februari 26, 2024) baada ya Polisi kukabiliana na Waandamanaji wakati wa mgomo wa Wafanyakazi Nchini kote wakidai kupunguzwa kwa bei ya...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Serikali kuhusu kumalizika kwa Mgawo wa Umeme kwa takriban miaka 13 kuanzia 2010 - 2024

    Baadhi ya ahadi za Serikali kuhusu kumalizika kwa Mgawo wa Umeme zilizotolewa kwa takriban miaka 13 kuanzia mwaka 2010 hadi mwaka 2024.
  9. greater than

    JamiiForums Tanzania Hivi hati fungani ndiyo kukopesha Serikali?

    Jamaa yangu aliniuliza maswali kedekede juu ya hili neno hatifungani. Nilianza kwa kumwambia "hatifungani hutolewa na Serikali/kampuni ili iweze kupata fedha za kujikimu, ambapo mtu au taasisi hukopesha Serikali/kwa kumiliki hizo hati fungani.... Akauliza: Kumbe nako ni uwekezaji, unalipwaje...
  10. Msanii

    JamiiForums Tanzania Serikali inashindwa nini kutunga sheria ya mamlaka ya kuendeleza tafiti na bunifu za Teknolojia

    Siyo siri, hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ujimba tunaoukumbatia. Tunajua kwamba serikali inajenga hofu kubwa sana kwenye suala la mawasiliano kwa sababu mpaka leo inajiweka mbali kwenye maendeleo ya ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano. Dunia inakimbia kwa kasi mno, na sasa akili bandia...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Swali kwa serikali: Hawa Wachina walioweka madubwi kila kona Tanzania nao ni wawekezaji?

    Sijasomea uchumi ila kwa hesabu za haraka haraka tu mchina akizunguka mitaa 5 tu ya Dar es salaam anakusanya mpaka sh. Milioni 100 za Watanzania kupitia madubwi au mabonanza wengine huyaita. Mtaa mmoja una slots machines 20-50. Mchina anaweka sarafu za sh. 200, ambazo zinakuwa sarafu 300 sawa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tausi Kida: Serikali inaboresha Sera na Sheria kuondoa vikwazo kwa wawekezaji

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida amesema Serikali inaendelea kufanya maboresho makubwa ya Kisera na Kisheria ili kujenga mazingira mazuri ya kuvutia uwekezaji nchini. Dkt. Kida, amesema hayo leo Februari 26, 2024 Jijini Dar es Salaam alipofanya kikao na Joy Basu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hatari ya kuongezeka kwa mawazo ya kijamaa, hatamu za kiuchumi kushikiliwa na serikali

    UPUNGUFU WA SUKARI NCHINI TANZANIA, RAIS WA ARGENTINA ATOA SOMO KWA SERIKALI Rais Javier Milei wa Argentina atoa hotuba murua na kutoa tahadhari ya Hatari ya kuongezeka kwa mawazo ya kijamaa, hatamu za kiuchumi kushikiliwa na serikali...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Palestina awasilisha Barua ya kujiuzulu. Ataja sababu ni vifo ukanda wa Gaza na vita visivyoisha

    Upepo kuhusiana na Palestina unazidi kushika kasi dunia nzima. Leo Waziri Mkuu wa Palestina, Mohammed Shtieh amewasilisha barua kwa Rais Mahmoud Abbas akiomba kujiuzulu. Sababu alizozitaja kuhusu uamuzi wake huo ni yale anayoyashuhudia kwenye ukanda wa Gaza na maeneo yote ya ukingo wa...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Tujifunze neno Kleptocracy au Kleptokrasia serikali na madhara yake kwa nchi husika

    Wakuu, habari za jumapili na bila shaka kila mwana JF kaimaliza jumapili hii tukufu huku wengine wakienda kwenye ibada, sehemu za starehe, kutembelea ndugu, jamaa na marafiki kama ilivyo kwa tamaduni na desturi zetu wenyeji huandaa maakuli na vinywaji kutukaribisha sie wageni wao. Sasa basi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali, elezeni ukweli kuwa watoto chini ya miaka 5 wanalipia huduma, kama sivyo kituo cha afya Kimara wawajibishwe kwa kutoza pesa na huduma mbovu

    Leo nilifika kituo cha afya Kimara baada ya ndugu yangu kuniita nikalipie gharama ili mtoto wake apatiwe matibabu baada ya kuanguka na kuumia mguu. Picha linaanza kuingia kwa daktari, mama wa mtoto anaeleza mwanaye kaumia baada ya kuaguka wakati anacheza, dk bila hata kumgusa wala kumwangalia...
  17. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Serikali kutumiwa na CCM kwa kazi za kichama ni sahihi?

    Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi ametua Uwanja wa Ndege wa Tabora leo kushiriki mazishi ya Mzee Hassan Mohammed Wakasuvi. Nimeona Daktari ametimba mjini Tabora na ndege ya Serikali. Swali langu ni: Je, ni sahihi ndege ya serikali kutumika kwa kazi za kichama?
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ibadilishe mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo, washushe mzigo kwa Wapangaji uende kwa Wamiliki

    Naiomba serikali iweke chaguo katika ulipaji wa kodi ya majengo. Serikali iandae mfumo wa kuomba Control number kupitia namba za mita ili mwenye jengo aweze kufanya malipo kwa muda anaoutaka na ikiwa hajalipia kwa muda fulani mfano miezi 6 au mwaka mzima basi deni hilo lihamishiwe moja kwa moja...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Hiyo Serikali /DCI na Mahakama, mmeamua kuwaambia Watanzania kuwa Dada wa Msuya alijichinja mwenyewe?

    Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili. Maumivu aloyapata marehem, wakati Chombo chenye ncha Kali kikipita Shingoni mwake , pengine akirusha miguu na mikono, Chombo che ncha kali...
  20. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sasa kwa serikali kuanza kupunguza mzigo wa kodi kwa Wananchi?

    Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini lilikuwa kama vile limefichwa fichwa(Mtazamo wangu) so sikulichukulia SERIOUS. Nimekuwa Katika...
Back
Top Bottom