serengeti

  1. Analogia Malenga

    GE2020 Wagombea wa Ubunge wa NCCR na ACT-Wazalendo wajiunga CCM

    Wagombea wawili wa Ubunge katika Jimbo la Serengeti mkoani Mara wameacha kuendelea na kinyang’anyiro cha kupambania kupata ubunge wa Jimbo hilo na kuhamia CCM. Mmoja wa wagombea hao ni Daniel Daudi ambaye alikuwa anagombea kupitia, NCCR-Mageuzi na Amosi Roswe aliyekuwa anagombea kwa tiketi ya...
  2. Mwamba1961

    Civil Engineer (Water Supply) at Serengeti Limited

    POSITION: CIVIL ENGINEER (WATER SUPPLY) Serengeti Limited Duties and Responsibilities Plan and schedule the work and efficiently organize the site/facilities in order to meet an agreed program of deadlines. To attend regular meetings with clients, architects and consultants and keeping them...
  3. Erythrocyte

    Uoga : Eneo lililotajwa kutumika na Lissu kwa Mkutano wa Kampeni Jimbo la Serengeti labadilishwa matumizi

    Viongozi wa Chadema wa Jimbo la Serengeti wameongea na Waandishi wa habari ili kutoa ratiba kamili ya Mgombea wao wa Urais Mh Tundu Lissu ndani ya jimbo hilo , ikiwa ni pamoja na kueleza eneo utakapofanyika mkutano huo. Lakini cha kushangaza muda mfupi baadaye eneo hilo likasimikwa bango la...
  4. B

    Je unahitaji Bussiness plan ya Kampuni kwa ajili utalii Tanzania

    Habarini wanajukwaa Sekta ya utalii ni sekta ambayo inaliingizia taifa letu fedha nyingi za kigeni, pia ni sekta inayokua kwa kasi kutokana na uwepo wa vivutio vingi tulivyobarikiwa hapa nchini. Kama ambavyo tatizo la korona taratibu limeanza kuzoeleka na watu duniani kote ,ni matarajio ya yetu...
  5. 1academ

    Ujenzi wa mabwawa Mto Mara, Serengeti kugeuzwa jangwa

    Sources pale Wizarani zinasema mabwawa kwenye mto mara ambao ni lifeline kwenye Serengeti ecostsytem ziko kwenye finalisation, na ndani ya the coming weeks mzee wa Kenyatta atazindua kazi rasmi. Tumpe hongera kwa kusimama kidete kwa hili swalaa, maana kelele zipo nyingii ila nyingi ni toka...
  6. Ze Bulldozer

    Mkuu wa Intelijensia wa CHADEMA kanda ya Serengeti pamoja na M/kiti wa Bawacha Jimbo la Singida Mashariki Bi Anna Dulle wajiunga na TLP

    Watanzania wenzetu wasalaam, Leo tumepokea wanachama wapya wawili toka CHADEMA 1. Oscar Kaijage Kaindoa 2. Bi Anna Dulle
  7. The Sheriff

    Tanzanite iliyonunuliwa na Serikali yavunja rekodi kwa ukubwa duniani | Inaweza kutumika kukuza Sekta ya Utalii

    Na Malisa GJ Saniniu Laizer mchimbaji mdogo wa madini huko Mererani ameamka Bilionea baada ya kupata mawe mawili ya Tanzanite moja lenye uzito wa 9.2KGs na jingine 5.8KGs yenye thamani ya TZS 7.8 Bilioni. Watu wengi wanajadili kuhusu Tanzania kumpata Bilionea mpya. Ni jambo zuri lakini kuna...
  8. S

    Wenyeviti kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya Serengeti, watunukiwa vyeti vya heshima

    Hongereni sana kwani mmewaza sawa sawa maana haikuwa kazi rahisi na hata sisi wengine humu mitandaoni tulipendekeza kitu chenye kufafana na hiki: Wabunge wa Bunge la 11 na waliokuwa wenyeviti wa halmashauri kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya serengeti leo wametunukiwa vyeti vya heshima kwa...
  9. Chakorii

    Kuhusu Four Seasons Hotel ya Serengeti

    Habari za jiona wapendwa.poleni na majukumu ya maisha. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika..ninarafiki yangu (me)lakini sasa ni kama ndugu maana tulipotoana ni mbali.Yes. Yuko kwenye hotel industry kwa muda kidogo na sasa anataka kwenda kufanya kazi Serengeti Four Seasons...
  10. B

    Adam Malima tells the World about The Unique and beauty of Serengeti National Park in Tanzania

    February 18, 2020 Serengeti, Tanzania Mr Adam Kighoma Malima the Governor of Mara region in Tanzania decide to go to the Savannah plains of Serengeti National park and tell the world right in the middle of wild beast about the uniqueness and beauty that can only be experienced and enjoyed...
  11. Mfikirishi

    Serengeti: Ujenzi Holela Hifadhini

    Ulishawahi kusikia ujenzi holela? Basi tazama hiyo picha hapo utajifunza kitu. Huwezi amini kuwa hayo ni majengo ya mojawapo ya hoteli za kitalii zinazoendelea kuibuka kama uyoga ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti! (Ninazo picha nyingi sana, nitaambatanisha nyingine very soon!). Hivi NEMC...
  12. Dominic Myumbilwa

    The Message; Ministry of Natural Resources & Tourism

    By: Eric Allard I’ve been in Tanzania for 30 years now and i'm proud of where this nation is at when compared to what it was when I first arrived. It was a good decision to move here then and I’ve experienced the country’s economic and infrastructure growth over the 30 years. I’ve also run my...
  13. Kinoamiguu

    Mkuu wa Wilaya ya Serengeti bwana Nurudini Babu Acha maigizo

    Serengeti ni miongoni mwa jimbo ambalo mbunge wake aliunga mkono juhudi za mtukufu mkuu wawakuu kwa utendaji wake. Juzi paliripotiwa kuwepo na uhaba wa chakula wilayani hapo. Kitendo cha ukosefu wa chakula (ambao umepigwa marufuku na mtukufu Rais) ulisababisha watoto watatu kupoteza maisha kwa...
  14. Kaka Pekee

    Mfanyabiashara Bilionea wa China Jacky Ma yupo nchini Tanzania

    Wiki Iliyopita nilipokuwa Nasafiri kwenda Serengeti na familia kupitia Mwanza, baada ya kutua na AirTanzania uwanja wa Ndege Mwanza majira ya Saa mbili kasoro Asubuhi...nilivutiwa na ndege moja Private Jet (Pichani)iliyokuwa imepaki pembezoni mwa kiwanja kwa ninavyozifahamu ndege (As Rubani wa...
Back
Top Bottom