Afcon U-17: Serengeti boys kukipiga dhidi ya Nigeria

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Sep 11, 2020
69
104
20210304_130253.jpg

Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya fainali za AFCON U-17

Serengeti Boys inayoiwakilisha Tanzania, katika mchezo wa kwanza itakipiga dhidi ya Nigeria siku ya tarehe 14 mwezi huu

Tanzania ipo Kundi B pamoja na timu za Nigeria, Congo na Algeria
 
Hizi timu za vijana zinamfaa sana Kocha Bakari Shime aka mchawi mweusi,, sijui ni kwann anapewa ile ya wanawake!??
 
Back
Top Bottom