Taa za kuongoza magari Chang'ombe Polisi zifanyiwe marekebisho

bestboy

Senior Member
Oct 18, 2012
166
133
Wasimamizi wa barabara kama ni TARURA au TANROAD tunaomba mzifanyie setting upya taa za barabarani Changombe polisi kwani imekuwa kero kwa watu wanaotoka Serengeti kuelekea Temeke.

Barabara inayotokea maduka mawili inahudumia magari mengi ambayo yanaelekea Temeke au Tandika laakini zinapofika kwenye taa za kuongozea magari za changombe polisi setting ya taa nadhani haipo sawa maana zinaruhusu uelekeo wa Temeke tu huku zikizuia zinazoelekea Sokota.

Hali hii husababisha usumbufu usio wa lazima na kusababisha foleni kwa gari zitokazo mjini.

Ingependeza zikaruhusu kwa pamoja kwenda Temeke na Sokota ili kuondoa msongamano unaojitokeza kwa gari za nyuma ukizingatia barabara yenyewe haina waiting lane kwa gari zinazopinda kulia.

Tunaomba mlifanyie kazi hili.
 
Mkuu, taa za pale ukiona zimewaka kijani kuruhusu wanaotoka maduka mawili kuelekea Tmk/tandika basi ujue hadi wanaokata kona kuelekea Sokota wanatakiwa wapite,,, hii ndio setting yake ilivyo. Yaani hakuna taa ya kijani inayowaka kuruhusu kuelekea Sokota kutokea maduka mawili

Hvyo hvyo kwa wanaotoka Polisi Chang'ombe kukata kona kuelekea uwanja wa Taifa,, pía taa zikiwaka kijani kuruhusu wanaolekea maduka mawili basi wote hawa wanatakiwa kupita

Kwa mtu aliye mgeni hapo anaweza kukesha kusubiri taa ya upande wake iwake
 
Mkuu umechanganya habari, nazungumzia taa za polisi chang'ombe sio za serengeti/machinjioni
 
Wasimamizi wa barabara kama ni TARURA au TANROAD tunaomba mzifanyie setting upya taa za barabarani Changombe polisi kwani imekuwa kero kwa watu wanaotoka Serengeti kuelekea Temeke.

Barabara inayotokea maduka mawili inahudumia magari mengi ambayo yanaelekea Temeke au Tandika laakini zinapofika kwenye taa za kuongozea magari za changombe polisi setting ya taa nadhani haipo sawa maana zinaruhusu uelekeo wa Temeke tu huku zikizuia zinazoelekea Sokota.

Hali hii husababisha usumbufu usio wa lazima na kusababisha foleni kwa gari zitokazo mjini.

Ingependeza zikaruhusu kwa pamoja kwenda Temeke na Sokota ili kuondoa msongamano unaojitokeza kwa gari za nyuma ukizingatia barabara yenyewe haina waiting lane kwa gari zinazopinda kulia.

Tunaomba mlifanyie kazi hili.
NA PALE KULIVYOKUWA MACHINJIO..!
 
Afu Tanroads Apa Arusha Bp kuweka alama za zebra hadi patatokee Ajali maana kivuko hiki kinapitisha watu wengi toka viwandani na mara nyingi tunaona sehemu Kama hizo pakitokea ajali to pana fanyiwa malekebisho tunaomba alama za kivuko
 
Back
Top Bottom