Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,252
21,345
Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21

Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi.

Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema!

Inashangaza kuona vibaka wamewezaje kuvamia mitaa yote mitatu pasipo kudakwa wakati wa tukio! Yaani wameanza mtaa wa kwanza wakamaliza kushambulia, wakaenda mtaa wa pili wakashambulia hadi mtaa wa tatu wakashambulia pasipo jeshi la polisi kifika!

Hili sitaki kuamini polisi hawakutaka kuja kwa wakati, lakini nachoamini sahihi ni kwamba polisi hawakupatiwa taarifa kwa wakati!

Tatizo la vibaka chanika lituamshe usingizini tuone tuko salama kiasi gani!

Nashauri polisi iboreshe mfumo wa mawasiliano (call center) na kila nyumba ibandike namba hiyo kwa ajili ya utoaji taarifa kwa haraka!

Pamoja na mifumo ya ulinzi shirikishi kusaidia lakini tukumbuke kutoa taarifa sahihi kwa wakati kwenda jeshi la polisi itasaidia sana kupunguza madhala!

Mwisho nashauri Kibaka yoyote anaethibitika kufanya unyama ule hafai kuishi na jamii! Apigwe shaba au ikishinindana akatwe mikono na masikio!

Na hili nipo tayali kujitolea kufanya shughuli hiyo kama jeshi la polisi litakuwa na kigugumizi!

Ebu fikilia watu waliokatwa mapanga wameumia kiasi gani! Mathalani mapanga yale ya vibaka yalitumika kujeruhi watu wa wengi hata kuweza kuambukiza magonjwa kama ukimwi?

Hakika vibaka hao ikithibitika kwa vielelezo kufanya unyama huo wanastahili kutembezewa mjegejo au kukatwa mikono kwa foleni pasipo huruma!

Task force ya polisi ielekezwe kuua vibaka wote wanaothibitika kusumbua mtaani na asijitokeze mtetezi kwa hilo!
 
Mwisho nashauri Kibaka yoyote anaethibitika kufanya unyama ule hafai kuishi na jamii! Apigwe shaba au ikishinindana akatwe mikono na masikio!
Na hili nipo tayali kujitolea kufanya shughuli hiyo kama jeshi la polisi litakuwa na kigugumizi!

Hakika vibaka hao ikithibitika kwa vielelezo kufanya unyama huo wanastahili kutembezewa mjegejo au kukatwa mikono kwa foleni pasipo huruma!
Kabisa.
 
F0FCD728-A7DF-4961-8755-A5B019EE036B.jpeg

Ni kama Polisi wamekua na tangu wasemwe na mama kuanzia mkuu wao mpaka wadogo
 
Mnawapuuza haohao polisi,halafu leo mnataka wadhibiti hao wahalifu,watawadhibitije wakati mnawadharau?
Acheni ujuaji basi.
 
Mnawapuuza haohao polisi,halafu leo mnataka wadhibiti hao wahalifu,watawadhibitije wakati mnawadharau?
Acheni ujuaji basi.
Kwani unadhani wananchi wanashindwa kujulinda au kujibu mapigo hata bila polisi?? Wanaweza ila wameamua kufata utawala wa sheria na sio kujichukulia sheria mkononi na ndio maana wakawasiliana na polisi ili wafanye kazi waliyokasimiwa kisheriA na usiwadharau wananchi kuwa hawawezi kujilinda ila ujue nchi ikifikia kila mtu kujilinda mwenyewe hiyo inakua sio nchi tena na hakutakua na maisha tena cha msingi nakushauri hata ww ukifanyiwa lolote fata utawala wa sheria ili amani iendelee kuwepo.
 
Vijana wa Sirro kazi yao kuwabambikizia vijana wapambanaji kesi za ujambazi ili wawapore mali zao
 
Sisi huku tumepiga shaba vijana wawil usiku wa kuamkialeo

Sisi mtaan kwetu tumeunganisha nguvu ya pamoja usiku likitokea tukio n filimbi na tunawah kuziba njia muhimu zote na tuna lugha yetu yausiku

Polisi hawana msaada mwiz n wakuuwawa tu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom