Amuua binamu yake kwa mshale wakigombania sehemu ya kuchaji simu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Mvulana mwenye umri wa miaka 17 anasakwa kwa tuhuma za kumuua binamu yake kwa kumchoma mshale upande wa kushoto wa kifua wakati wakigombania sehemu ya kuchaji simu zao.

Tukio hilo limetokea Mji wa Kaimosi Nchini Kenya ambapo, Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) imesema mshukiwa alimuua Josephat Kibet (31), Julai 10, 2022 wakati kila mmoja alipokuwa akitaka kuwa wa kwanza kuanza kuchaji simu kisha akakimbia kusikojulikana.

Josephat Kibet alikimbiza Hospitali ya Rufaa ya Kapsabet lakini alifariki akiwa njiani.

Source: Kenyanlyrics

----------------------

Man Josephat Kibet, 31, Killed By His 17 Year Old Cousin Over Charging Phone In Kaimosi

Police in Kaimosi, Nandi county are looking for a 17-year-old suspect who allegedly killed his cousin last evening after an argument over charging of a mobile phone.

The Directorate of Criminal Investigations (DCI) reports that Josphat Kibet, 31, was shot with an arrow on the left side of his chest.

He was rushed to Kapsabet County Referral hospital where he was pronounced dead on arrival.

“Preliminary investigations indicate that the two had argued over who would charge their phone first, before the young man reached for an arrow, stabbed the deceased on the left side of his chest before taking off,” says DCI. “A manhunt for the suspect is currently ongoing.”
 
1EBA4E5F-6230-41BE-BFE0-F477C9987DCE.jpeg
 
Back
Top Bottom