sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nyumba kali sana na furniture zake, Iko Bunju. Inauzwa

    Nyumba inauzwa bunju A Ina vyumba vitatu sitting room dining room kitchen store public toilet Uwanja ni sqm700 Inauzwa pamoja na fenicha zake ndani. Bei 150m 0762815104
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa wanachoaminishwa raia huku mtaani ni zaidi ya kansa kwa CCM yetu

    "Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa wazurulaji wameanza tena.Kwani mliwahi kumuona Magufuli akizurula kama huyu?" CCM tujitafakri sana...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

    Wanabodi, Angalizo la uchangiaji: Kuna watu humu wana vijiba vya roho, akitokea mtu akapendeza wao wanakereka au akisifiwa wao wanakereka na kukasirika. Kama wewe ni mmoja wa kundi hili, nakuomba ushia hapa ili huko mbele usikereke. Kufuatia mimi mwana jf mwenzenu umri wangu umesonga songa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wanahitaji Mageuzi Makubwa sana - Ni lazima CCM iondoke madarakani

    Watanzania tunahitaji mageuzi makubwa sana ili tuondoke hapa tulipokwamishwa,karibia mifumo yote ya uendeshaji nchi imevurugwa na imevurugika na haiwezi kutengemaa ndani ya utawala wa kifalme wa CCM,ni lazima utawala huu uangushwe na kuwekwa kando, Angalia Bunge, angalia mahakama angangalia...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mbosso: Huwa nateseka sana, aeleza anayoyapitia akitoa vibao na video vixens wake

    Watu mashuhuri, wasanii na kila mwanamke na mwanamume ana hisia za mwili wake, lakini wanayoyapitia wasanii ni mengi hasa wakati wanatoa video ya vibao vyao. Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Tanzania anayeshirikiana na Wasafi Records inayomilikiwa na staa wa bongo, Diamond, amejitokeza na...
  6. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

    Kaka Janu shikamoo. Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu. "Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ndanda kuna shida ya maji sana

    Habari wakuu, Unapozungumza jimbo la Ndanda, unazungumza Abbasia ya Ndanda, abbasia ya Ndanda imekuwa msaada kwa wakaazi wa jimbo hili la Ndanda, kwenye suala la maji maana wamesupply maji yao wenyewe hadi vijijini. Kutokana na wakazi kuongezeka wanaelemewa sasa, maji yamekuwa shida sana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa yafuatayo yana Ushirikiano mkubwa sana na yanategemeana mno?

    Uroho, Uchoyo, Roho Mbaya, Wivu. Uchawi, Chuki na Unafiki? Kazi kwenu katika Kunidadavulia hapa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakongo (Congo DR) wametudharau sana Wabongo (Tanzania) Jana haki ya nani

    Kocha wa Taifa Stars Kim Paulsen amekisuka Kikosi chake kwa Siku 8 mfululizo, huku Kocha Hector Couper ameungana na Wachezaji wake Juzi Usiku tu na Jana wametufunga Kishalubela (Kikatili) Magoli 3 kwa 0 kwa Mkapa tena mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waandamizi wengine wa Serikali...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana kisasi kibaya sana, ole wako uingie kwenye 18 za X girlfriend wako uliyemuumiza moyo na hajakusamehe

  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Sijawahi yaelewa kabisa madirisha ya aluminium, yamekaa kifakefake sana

    Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga. Muonekano wake haunivutii kabisa, naona kama ni kitu fake kinachong'aa. Shida nyingine ni yanafunguka nusu. Dirisha la mbao unalifungua full kabisa...
  12. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini sana na mikopo hii ya kutoka Bretton Woods Institutions (IMF & World Bank)

    Leo nchi yetu tumepata mkopo wa 1.3 trilioni kutoka IMF (International Monetary Fund) tumefurahia sana watanzania na kupongeza sana kwa hatua hii Lakini ukifuatilia sana mikopo hii, ambayo mabeberu wanasema eti ni mikopo ya masharti nafuu (concession loan) kutoka kwenye hizo taasisi za...
  13. mgt software

    JamiiForums Tanzania Shangaa Serikali inavyoangaika sana na wachuuzi kuwatafutia mikopo wabaki mjini huku mamia ya vijana wakisota na ukame na hawana fidia

    Wana Jf, Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame mkubwa na wakulima vijana hawapati fidia ya vitu walivyovipoteza wakati wanapambania maisha yao na ya...
  14. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Wanaume ngozi nyeupe wapo tofauti sana

    Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 halafu tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2019 mwshoni. Tumeachana lakin kla mwaka ananitumia zawadi siku...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi ya utendaji wa Marais wetu; Inaonesha Mkapa alikuwa Rais wa daraja la juu sana

    Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius. Mkapa aliamini sana katika taasisi hivyo kila changamoto anayoiona alifikiria kuunda taasisi na ndio maana...
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kubeza maendeleo yaliyoletwa na CCM ndani ya miaka 60 ni kukosa busara. Tulipata uhuru tukiwa nyuma sana kimaendeleo

    Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini. Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Msiilinganishe Zanzibar na Tanganyika - Wazenji wapo mbali sana na sasa

    Na sasa Zanzibar inatajwa kuliko nchi yeyote ile hapa Afrika na ni baada ya kutokea Rais Mwanamke ambae ni kutokea Zanzibar,msema kweli mpenzi wa Mungu ,Raisi Samia amelipaisha jina la Zanzibar katika kiwango kikuu na kabla jua halijakuchwa kiumbe mwengine akaibuka huyu nae ndio amepigilia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Malawi kuna watoto wakali sana.

  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo rai wake wameuana sana mwaka 2021

    mpaka kufika sasa hizi ndiyo nchi ambazo raia wake wameuana sana. Nigeria vifo 64,201 Brz 57,000 Mex 37000 Sa 21,000 Us 16,000 kwa EA Tz 3500 Ke 2500 Ug 4500
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Mbowe na viongozi wa CHADEMA msiposikiliza ushauri wa Godbless Lema anaeshauri muondoe mawakili mahakamani, mtakuja kujiulaumu sana

    Siku chache zilizopita, nilileta mada hapa niki-suggest Mbowe aacha kujitetea mbele ya hizi mahakama zetu kutokana na mwenendo mzima wa hii kesi. Leo hii kupitia You tube, nimemsikia Godbless Lema akimshauri Mbowe aondoe mawakili na akae kimya mahakamani ili wafanye kile wanachokita. Lema pia...
Back
Top Bottom