sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Area 56

    JamiiForums Tanzania Tupia jina la beki wa kati aliyestaafu ambaye ulikuwa unamkubali sana

    Mimi naanza na Nemanja Vidic kwa nje na kwa hapa nyumbani namkubali sana Salum Swedi Kusi. Endelea na wewe...
  2. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Edgar Kibwana: Mayele inabidi ajifunze sana kwa Kagere

    Mchambuzi wa kipindi cha michezo cha Clouds Fm, Edgar Kibwana akichambua mechi ya jana ya Simba dhidi ya Namungo, amesema mshambuliaji wa Yanga mkongomani Fiston Mayele ana mengi ya kujifunza kwa mshambuliaji wa Simba Meddi Kagere! Edgar Kibwana aliendelea kufafanua zaidi, " Mayele ambaye...
  3. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hapa Rujewa, Mbarali umeme kwa sasa ni kitu ghali mno na nadra sana kupatikana

    Ndiyo,ni hapa Rujewa. Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki! Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini. Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo. Rais Samia Suluhu Hassan...
  5. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali kuweni makini sana kwenye kesi ya Mbowe na wenzake

    Kama wakili Msomi ninaomba kuwashauri mawakili wa Serikali wakiongozwa na ndugu yangu Robert Kidando ambaye namheshimu sana, msifanye kazi kwa mazoea mtalitia taifa aibu. Kuweni makini katika kufanya kila jambo mMhakamani kila hatua achaneni na mazoea, Ugaidi si kitu cha mchezo hamjui tu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Simba mtateseka sana msimu huu kama staili yenyewe ndo hii

    Ni ajabu na kweli timu iliyokuwa inajinasibu kuwa na kikosi bora imebaki kutegemea mbeleko ya kadi nyekundu na penalty ili kupata matokeo,,,na licha ya kupata matokeo wanatoa machozi jasho na damu kupata angalau kagoli kamoja mbele ya timu inayocheza pungufu kwa muda mrefu. Kama mpinzani akiwa...
  7. uran

    JamiiForums Tanzania Nitakosea nikiendelea na huyu Binti? Roho inaniuma sana

    Wakuu ngoja niende kwenye pointi. Last week nilipata safari ya kikazi huko mkoani, nipo kwenye Ofisi mpya kidogo kwangu. Sasa kama kawaida nimefika up country siku mbili Tatu nikapata mwenyeji Binti, graduate wa chuo kikuu mwaka jana 2020. Ni jioni moja tulivu napita sehemu namkuta binti na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

    Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi. Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli. Siamini kama kuna mwaamuzi ambae si shabiki wa either Yanga au Simba katika hii ligi yetu ya NBC...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wimbo Huu unasafisha Na kupandisha nyota haraka Sana . Unatoa Na kufukuza mapepo yote. Unavunja Kila maagano mabaya Na kuharibu Kila madhabahu ovu

    HII Ni kwa waamini tu. Kuna watu ( wakristo kwa waislamu) huwa wanafikiria kwamba ili kuondokana Na Shari Za Ibilisi Ni lazima wapige Dua nzito, visomo vizito vizito, maombi mazito nakadhalika. Ni Kweli WaPo sahihi Dua,visomo, maombi vinasaidia Sana katika kupambana Na Shari Za Ibilisi but...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Maisha Yana maajabu Sana limao Lina pesa kuliko chungwa.

    Bei ya limao moja kwasasa ni tsh 500 wakati chungwa moja ni tsh 100. Inamaana limao moja ni machungwa matano TAFAKARI.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Angalizo muhimu sana kwa Wanaume

    Zamani (nadhani hata sasa), kupata mtoto first born dume, watu walikuwa wanafurahi sana. Mwanaume anatembea kifua mbele kila mtu ana-muadmire! Sasa dunia ilipofikia, first born ndiye mkuu wa nyumba, si baba. Nimeshangaa sana! Mtoto anadiriki kumwambia baba yake: "Aaa baba, na wewe umezidi...
  12. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Kuna comment moja iliyonisikitisha sana

    Habari za Leo, I hope mko powa. Jana nilikuwa nasoma comment kwenye uzi fulani mtu mmoja ameandika hivi hata dada yake wakuzaliwa analala naye yaani anafanya mapenzi naye. Hii ilinisikitisha sana. Sijakukrem ID yako ila imeniuma nimeona niseme dada yako awe mdogo au mkubwa. Huyo ni mama yako...
  13. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kutimuliwa kwa wamachinga uchumi utapaa sana, hongera Rais Samia kwa kutumia akili

    Poleni wamachinga wote. Nawapa pole lakini nawalaumu pia,mlijisahau sana, Mlibweteka. Ukiacha kulisha familia yako una faida gani kwa nchi? Je, wewe mmachinga unataka maendeleo kweli huku hutaki kulipa kodi? Unataka mwanao aje asome shule nzuri,apate mkopo, serikali itatoa wapi pesa kama...
  14. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Wakili: Kumfunga mtu kwa kitu ambacho hakifanyi ni gumu sana, labda kwa amri

    Ndugu wanajukwaa nami kama wakili msomi ninaomba ku-share nanyi kwa uzoefu wangu wa kesi mbali mbali nilizowahi kuzisimamia huko Tz na mifano ya rejea katika kufundisha kwangu somo sheria huku ugenini. Kiufupi kumfunga mtu kwa tukio ambalo hajalifanya ni ngumu sana hata kama umemkamata na...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii waliotazamwa sana ndani ya mwezi wa kumi katika mtandao wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize 11.8M 5. Zuchu 11.4M 6. Mbosso 11.3M 7. Lavalava 4.77M 8. Nandy 4.73M 9. Macvoice 3.1M 10. Marioo 2.9M
  16. C

    JamiiForums Tanzania Simba tafadhali msimchukue yule kocha wa Mamelodi, please mtajuta sana

    Litakuwa kosa kubwa la karne narudia tena kosa kubwa mnoooo Mookoena huyo wa south africa au kocha yoyote msouth affrica hafai kabisa nasikia Pitso Mosimane kampigia pande hapo, do not hire him. Wa south africa haswa weusi wanatudharau sana , hata mitandaoni ukiona jinsi wanavyokandia leagues...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Habari njema sana kwa wamiliki wa magari

    Kuanzia sasa, Serikali yetu, Awamu ya Sita, imeamua kununua mafuta moja kwa moja kutoka nchi marafiki. No mtu kati tena!
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Siku zinaenda haraka sana

  19. M

    JamiiForums Tanzania Nini huwa hatma ya kesi zinazochukua muda mrefu sana?

    Nina ndugu yangu ana kesi toka mwaka 2014, yuko nje kwa dhamana. Kesi hii inamtesa sana, hana raha.
  20. Acehood

    JamiiForums Tanzania Mashairi ya wimbo wa Lucky Dube "Guns & roses" yanagusa sana hasa kwa tunayofanyiwa na viongozi wetu

    Lucky Dube Lyrics "Guns & Roses" I don't know why I keep believing That one day, they'll bring us together When they've shown In more ways than one That all they care about is the dollar You belong to the one political party I belong to the one musical party Our differences are worlds apart...
Back
Top Bottom