sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Tujitahidi kuwa waangalifu sana huko makazini zama za sasa vijana wamejaa majungu na wivu kushinda wazee

    Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako. Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini. Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa...
  2. Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13

    Mimewahi cheki movie moja imetengenezwa na iphone 6 kama sijasahau. Huwezi jua ni movie ya simu kama hujaambiwa. Sasa nilikuwa naangalia uzinduzi wa products za apple uliofanyika jana. Hii iphone 13 wameiunda kwaajili ya movie hasa. Utengenezaji wa movie umekuwa rahisi kabisa. Pia niulize...
  3. Kwa uchapakazi huu wa Rais Samia, CHADEMA tujipange sana 2025, tunaweza kukosa hata Mbunge mmoja

    Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato utakavyokuwa mara baada ya ujenzi wake kukamilika kwa awamu ya kwanza inayohusisha barabara za kuruka na kutua ndege pamoja na jengo la abiria. Mkataba kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja hicho unagharimu takriban shilingi bilioni 165 za...
  4. Daraja la Busisi-Kigongo; Hongera sana Rais Samia, hongera Hayati Magufuli huko uliko

    Tuzidi kumuunga mkono Mama Samia anazidi kuchapa kazi kimya kimya. #mimi na magufuli ni kitu kimoja#
  5. S

    Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

    Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa. 3...
  6. M

    Serikali itwambie ukweli kuhusu inflation na thamani halisi ya pesa. Gharama za maisha zimepanda sana

    Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu. Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa miaka Sita sasa, lakini imewazunguuka na kuwaongezea TOZO lukuki na kodi Lukuki na hivyo kuifanya...
  7. Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

    Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo...
  8. Idriss, Juma Lokole na Dida mna kelele sana kwenye kipindi chenu

    Inaonekana watangazaji wengine wa radio wanaokotezwa tu hawana hata ethics za hizo kazi za utangazaji.Unakuta wapo watu wapo kwenye kipindi wanabishana kama wapo kwenye kilabu cha mataputapu hawawekeani hata utaratibu wa kuongea,watu wanabishana mpaka msikilizaji unaona kero unabadilisha...
  9. Yanga ya gazeti la Mwanaspoti, Kitenge na Priva inatisha sana

    Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa kipindi chao wakati mwanadada mrembo Tunu Hassan alikuwa anafanya kazi inayoridhisha Anyway labda ni...
  10. Car4Sale Kirikuu namba D kwa bei ya ndogo sana

    Bei ni fixed Suzuki beba iko vizuri. Haina tatizo lolote bei 3.5mil Ipo Dar
  11. Wanaume Tunawakosea sana Wanawake (Mme na Mke)

    Uboyfurendi sijui nini tupa kule ... From my experience ... Wanaumee tu wakosaji sana kwa wenza wetu wa ndoa (siongelei uchumba ) NDOA ...
  12. Uongo wa Serikali ya awamu ya 5 chini ya Dkt. John Pombe Magufuli utawatesa sana Marais watakaofuata na Samia akiwa miongoni

    Tukubaliane Jambo moja la ukweli na uwazi Tanzania haijawai Pata Rais mpika takwimu na kujiaminisha Kama alivyokuwa hayati Magufuli!! 1. Tanzania tuliambiwa makusanyo ya TRA ni 2 Trillion per month ila Kwa uhalisia haikuwa hivyo tulivyoambiwa , hapa uhalisia ilikuwa Bilion 900 hadi 1.2 trillion...
  13. Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

    Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania, "Hakuna kama Samia" Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita. Bei ya juu ya...
  14. B

    CHADEMA waliona mbali kumpa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti, kichwa kipo imara sana

    Muundo wa uongozi wa CHADEMA unapata nguvu kutokana na aina ya watu waliokaa juu, mfumo wao una watu wenye nguvu ya kisiasa na kiuchumi mmoja Wapo Mwenyekiti na una watu wenye akili nyingi na maarifa mmoja Wapo Tundu Lisu. Serikali ilipoaanza kupambana na Mwenye akili walidhani Mwenye fedha...
  15. M

    Kwa Uungwana huu wa Yanga SC juu ya Msiba wa Hanspoppe, sina cha Kuwadai na niseme tu Asanteni sana wana Yanga SC wote duniani

    Kitendo cha Klabu ya Yanga kuja na Taarifa ya Pole kwenda kwa Simba SC, Wapenzi wa Simba SC na Familia yake Marehemu kama Mdau mkubwa wa Simba SC nimekipokea kwa Picha iliyo Chanya kabisa. Yanga SC na Simba SC tunataniana mno na Kufanyiana Fitna za kila aina ila kwa huu Uungwana, Ustaarabu, Utu...
  16. Muhimu sana, sio ya kukosa hii.

    Wewe unayesoma uzi huu mwezi huu unakwenda kushikwa na sms za mapenzi na mke, mume au mpenzi wako. Ehehehehe Utanikumbuka
  17. N

    Mh waziri Bakari mchengelwa jitathimini sana

    Mh waziri ni wazi unaongoza wizara muhimu Sana nakuomba pambana sana kuhakikisha kua haki inatawala ktk idara zako zote ili watanzania wawe na amani na tuzidi kudumisha upendo
  18. Ukiona mtu anashabikia sana Simba na Yanga kuwa naye makini, wengi hawana akili timamu

    Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani. Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga...
  19. Hadithi fupi sana

    Siku moja mbwa mwitu alipita karibu na hema la wachungaji. Hapo aliwaona wakila nyama ya kondoo. Akawaambia: "Siyo kelele hizo, iwapo mimi ndiyo ningekuwa nafanya hivyo."
  20. Kwa hii sheria ya Tanzania ya kuzuia ugaidi - Mbowe na wenzake wapambane sana mahakamani

    https://www.tanzanialaws.com/index.php/principal-legislation/prevention-of-terrorism-act kwa kifupi UGAIDI NA TAFSIRI KATIKA SHERIA YA KUZUIA UGAIDI SURA YA 19 YA MWAKA 2002. Tafsiri na kuzuiwa kwa vitendo vya ugaidi.kifungu cha 4.-(1) Hapana mtu yeyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…