sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utoto wa miaka ya 70-80 ulikua mzuri sana, hakuna wa kumwambia soda inakufanya kuwa hyperactive.

    Kwenye birthday party unapambana na chupa ya Fanta, Sprite au Coke Cola kwa raha zako ukicheza kung fu.
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kulingana na biblia, malaika ni viumbe wa kutisha sana

    Pengine ndiyo maana walipokuwa wakiwatokea binadamu walikuwa wakisema, "Usiogope." Soma Ezekieli Sura ya 1.
  3. Optimists

    JamiiForums Tanzania Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi sana kwa 'Kiherehere' cha Tanzania Kukubali kuwa Kituo cha Mapambano ya Ugaidi Afrika

    Nina Kumbukumbu ya nchi kadhaa barani Afrika ( ikiwepo Kenya ) na hata za huko Kwingineko duniani zilizokuwa na 'Kiherehere' cha kuwa Vinara wa Upambanaji wa Ugaidi duniani jinsi ambapo ziligeuka kuwa 'Target' ya Mashambulizi ya Makundi ya Ugaidi yaliyopelekea Vifo na Uharibifu mwingi. Je...
  5. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe kuna maisha mengine yanaendelea huko Usingizini? Inashangaza sana

    Kila siku huwa nawaza sana hili suala! Nalala nahisi maisha yamesimama mpaka pale ntakapoamka kumbe wapi😅😅 Nimejikuta ndotoni nina mwanamke nisiemjua, nimeshiriki nae mapenzi nikamaliza na nikaendelea kulala nae kitandani. Huyu mwanamke alikuwa amenikatalia lakini nimalazimisha mpaka akatoa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawaombeni sana Mechi zetu Mbili za Berkane na Gendamarie zote tuchezee Uhuru na siyo kwa Mkapa tena Saa 9 Alasiri

    Kwanini......? 1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi. 2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwanaume kupaka manukato yenye kunukia sana?

    Habari Wana JF Huu mjadala nimeukuta mahali, nikaona ni vyema nikauleta huku nishee mawazo yenu. Ni sahihi mwanaume kupaka manukato yenye kunukia sana? Ni sahihi mwanaume kuoga mara tatu kwa siku? Kwa upande wangu mimi haya manukato yamenikaa mbali. Kila binadamu iwe ke/me ana uhuru wa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Ubunifu huu wa 'Daladala' za nchini Denmark uigwe na za Tanzania ili tusiooa na wasioolewa tupate Wenza wetu wa Maisha

    Wamiliki wa Daladala nchini Denmark wamebuni Mbinu mpya kwa Abiria ambao hawataki Kuoa kama GENTAMYCINE au Kuolewa kama wengine ili waweze kuwapata Wenza wao ndani ya hizo Daladala. Ni kwamba sasa katika kila Daladala nchini Denmark huwa zinaachwa wazi Siti Mbili ambapo Yule Abiria ambaye...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuna kilio kikubwa sana. Je, nani wa kutusikiliza?

  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo kila nikiwawazia walioko huko Berkane nchini Morocco Moyo wangu unanidunda sana halafu kwa mbali Machozi yananilenga mno

    Ogopa sana Kifaru mwenye Hasira Kali za Kujeruhiwa aliyemkuta Simba aliyebweteka kwa Kujiamini baada ya Kushiba kiasi kwa Kitoweo dhaifu cha Misitu ya nchini Niger.
  11. Buenos Aires

    JamiiForums Tanzania Mpira ni mchezo wa ajabu sana🤣 ona hapa kilichotokea

    Mamelody sundowns pamoja na kupaki kwao basi dhidi ya mabingwa na magiant wa Afrika AL AHLY, pamoja na yoote haya mamelody akaibuka na point 3 dakika za lala salama 🤣 Kiukweli inasikitisha sana, mbungi walilopiga Al ahly sio la bara hili, Mamelody muda mwingi alijidefend/paki basi. Poleni sana...
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mjane ananipenda sana

    Wakuu, Mita mia mbili na hamsini hivi. Anaishi mjane mmoja katika mazungumzo yetu kaniacha kama 20 years hivi. Ila ni wale kina mama wanazeeka na uzuri wao. She is older ila mrembo haswa. Sasa kanonesha interest na huwa nikipita pale kijiweni kwake dalili zipo wazi. Mtu kama huyu namfanyanje...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Batilda Buriani: Mtoto aliyeandika Barua ya kuacha Shule, ana akili sana

    "MTOTO ALIYEANDIKA BARUA YA KUACHA SHULE ANA AKILI SANA" RC TABORA "Niliongea na mkuu wa mkoa wa Mtwara baada ya kuona barua ya mtoto aliyetaka kuacha shule, nikamwambia huyu mtoto ana akili sana kwasababu haiwezekani mwanafunzi mtoro aandike barua kama hiyo, nikamwambia mkuu wa mkoa wa Mtwara...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 70% ya Mademu wa Dar wanaopendeza sana, wana Mashauzi na wana Simu Kali wanalala Sakafuni na Magodoro yao Ghetoni

    Na wengi wao Wanaishi maeneo ya Tabata Segerea, Banana Gongo la Mboto, Kimara Bonyokwa, Mbezi Makabe, Tegeta, Salasala, Mbagala Kipati, Bunju B, Mabwepande, Ubungo Maji, Yombo, Kawe Ukwamani, Mbezi Beach ya kwa Maua hadi ile ya Makonde upande wa kuelekea Baraza la Mitihani, Buza, Msasani mkabala...
  15. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Nimeumia sana na ninaumia sana kwa anachokifanya Urusi dhidi ya Ukraine

    Mimi kama mtanzania mdogo,mnyonge na masikini ukweli kutoka moyoni sifurahii kabisa vita hii ambayo inheweza kuepukika isipokua kutokana na kiburi Cha baadhi ya watu na hasa USA. Kama sio USA kumtia kiburi Zelensky Leo hii kusinhekua na vita Ukraine. Ukweli kabisa Sasa nhurumia kabisa...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Putin ni tishio kwa ustawi na usalama,Israel inapaswa kumshugulikia haraka sana

    Huyu dikteta hawezi kuifanya dunia kama anavyotaka anaitishia dunia na kusema yeyote anayeingilia hii vita atakumbana na kipigo kikali
  17. Man from cuba

    JamiiForums Tanzania CCM inawakosea sana Watanzania

    Chama cha mapinduzi kimezindua chuo chao cha uongozi wiki hii kilichojengwa kwa kushirikiana na vyama rafiki barani Africa kwa ajili ya kuwapika au kuwafunda viongozi watarajiwa wa nyadhifa mbalimbali serikalini. Kimsingi lengo au dhumuni lolote la kuanzishwa chama chochote cha siasa ni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Leo nimecheka sana!

    Nina jirani yangu ana watoto wanne. Last born amemzaa ukubwani(5yrs old) Leo ametembelewa na wajukuu zake. Mtoto wake last born hakuwepo. Mara akaingia paap! Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo: Last born: "Shikamoo baba" Baba: "Marahaba mwanangu, ulikuwa wapi?" Wajukuu kwa last born: "Aa aa...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

    Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua. Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa walimu katika shule za msingi hasa vijijini utakuja kutugharimu sana muda si mrefu

    Shule za vijijini ni kawaida kukuta darasa lina watoto 120 mwalimu ni mmoja na hapo hilo darasa imebidi ligawanywe kati kati nusu wanakuja asubuhi na nusu wanakuja mchana kwasababu vyumba vya madarasa havitoshi na walimu pia hakuna. Mapokeo ya watoto ni tofauti, kuna wale wepesi kuelewa...
Back
Top Bottom