sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

    Habari wakuu, nimeona taarifa kadhaa kwenye mtandao hasa kwenye page ya HabariLeo ya kwamba TRA wameshaita vijana kazini. Hii inaukweli wowote? Na kama ni kweli wanawezaje kuita kimya kimya bila kutoa pdf? ====== #HABARINJEMA: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati...
  2. Lastmost

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kupoteza kitu cha muhimu wakati ulipokuwa unakihitaji sana?

    Salaam wakuu, Je, ulishawahi kupoteza kitu cha muhimu sana wakati ulipokuwa unakihitaji sana? Mimi ilinitokea 2013, nilisafiri kwa mara ya kwanza kwenda Mwanza, nilikuwa na mwenyeji wangu aliyekuwa ananisubiria, yeye alikuwa eneo linaloitwa Magu. Tuliwasiliana hadi nafika nyegezi, huku...
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais nikuombe usihalalishe kupanda kwa bei kirahisi hadharani unahujumiwa sana

    Mh. Rais Samia kurasimisha kupanda bei hadharani kunahamasisha wafanya biashara kupandisha bei hata vitu visivyo hitaji kupandishwa gharama tena wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa Nikuombe mama usipende kuhalalisha hili la bidhaa kupanda bei hadharani kwa kauli na hasa ukizingatia wewe ni rais...
  4. gango2

    JamiiForums Tanzania TARURA badilisheni mfumo huu wa maegesho ni wa ovyo sana

    Habari, Tarura hivi sasa mna mfumo wa ukusanyaji charges za maegesho kwa njia ya kielectronics. Huu mfumo kiukweli ni mfumo wa OVYO sana kwani unamuumiza sana mmiliki wa gari. Mfumo huu pia unatengeneza mwanya wa upotevu mapato sana kulinganisha na ule wa awali. Ninasema haya kwa sababu: 1...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Sina sauti kwa huyu mrembo, ananichanganya sana

    Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale anaponiita baby, mume wangu; najikuta naishiwa nguvu kabisa. Nikamwambia; 'unanikoleza sana bibie...
  6. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili nawapongeza sana viongozi wa CHADEMA

    Ndugu zangu imezoeleka katika dunia ya leo kila mtu kutumia uongo na unafiki kufanya siasa nchini kwake. Njia hii ya uongo na unafiki imekuwa njia nzuri na yenye mafanikio ya haraka kwa wanasiasa hao. Mfano tumeona wanasiasa mbali mbali duniani wakitumia uongo na unafiki kuvuna wanachama...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Haji Manara ametudhalilisha sana. Uongozi ukemee huu upuuzi

    Kutufananisha sisi Yanga na Wanawake ni akili za kipumbavu. Anaposema Orlando Pirates waje wao wanaume watawakuta huku huku maana yake sisi Yanga ni Wanawake? Huyu niliwaambia bado ana Usimba. Huwa anajifanya kama kuwaponda Simba ilhali anatuponda sisi Yanga. Uongozi uangalie suala hili...
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mchele mzuri sana unauzwa

    Mchele huu ni wa Daraja la kwanza kabisa. Hauna Chuya Hauna Punje za mchanga hauna chenga unapatikana kwa ubora wa hali ya juu sana Bei yetu ni 2200 Tsh kwa Kilo Tunauza kuanzia Tani 1 na usafiri juu yetu. Tupo Mwanza Mkuyuni 0713096076
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtego Muhimu kwa Kocha wa Simba SC Pablo ambaye pia anatakiwa sana na Orlando Pirates FC wasio na Kocha Mkuu kwa sasa

    Akiivusha Simba SC kwenda Nusu Fainali ya CAFCC dhidi ya Orlando Pirates FC atakuwa ameponya Kufukuzwa (kuwa Sacked) Msimbazi, ila tayari Matajiri wa Orlando Pirates FC nao wameshampa Ofa (tena Kubwa tu) kama akikubali kutua Kwao muda wowote kuanzia sasa. GENTAMYCINE ningekuwa ndiyo Kocha Pablo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katika wakati huu wa hali ya uchumi duniani kuwa mbaya ni kuwa muangalifu sana

    Mzuka wanajamvi, Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako. Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
  11. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Wazungu wana IQ ndogo sana

    Wasalaam wana JF Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana. Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na...
  12. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa Afrika Kusini ni hatari

    Habari wakuu. Hii imenikuta juzi tu hapa. Mara kwa mara siku za weekend napenda kwenda club huku South Africa sasa bana kuna kidemu fulani hivi nishakipitiaga miezi iliyopita mara moja tu. Sasa nikiwa nakutana nae club hataki ananikazie ile mbaya na kuniita Malaya kila demu nataka kula mimi...
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania VIDEO:- Waafrika tuna mila za ajabu sana, huu ni uchawi au ni nini?

    Video nimeiba kwenye mikoba ya Mshana Jr
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tunadekezwa, tunajua sote madhara ya deko

    Kuna Mmarekani Mmoja anaitwa Steve Harvey aliwahi kusema kuwa Success is the very uncomfortable process to attempt alimaanisha kuwa mafanikio yanahitaji hofu, yanahitaji pressure yanahitaji kukosa raha yanahitaji kila Aina ya internal and external forces. Binadamu yeyote anayejaribu kushusha...
  15. blogger

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaomaliza kidato cha nne wanakaa sana mtaani

    Mwanafunzi anakaa mtaani,zaidi ya miezi saba. Hivi hii ni sahihi kweli!? Why wasianze,masomo mwezi wa pili? Sio sawa kabisa kwani,wengi hupotea hapo.. Maoni yenu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lingekuwa upinzani wa kweli CCM ingeg'olewa madarakani kiurahisi sana

    Vyama vya upinzani vilivyopo ni maswahiba wa CCM na hawana nia thabiti ya kuiondoa CCM madarakani. Wananchi wameichoka CCM na wanataka mabadiliko. CCM ilishawadharau wananchi na kuwaona wajinga. Lakini wananchi walishabumburuka. Hakuna seriousness wa kupata Katiba Mpya itayozaa Tume Huru ya...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, tafadhali anzia Kituo cha Boti za Zanzibar na Viwanja vya ndege. Watu wetu wanatudhalilisha na kutuaibisha sana!

    Jana blogger maarufu katika Mtandao wa You Tube muingereza Jason Billam amepost kuhusu safari yake kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar. Blogger huyu amekuwepo Tanzania kwa muda wa wiki sasa na amekuwa akielezea mengi mazuri kuhusu Tanzania jambo ambalo ni zuri kiutalii Jambo la kusikitisha...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni mapema sana kutenganisha misingi ya Chama na Serikali

    MAONI YANGU: Serikali iliyopo na Serikali zote zilizotangulia zimetokana na Chama nikimaanisha Chama Cha Mapinduzi na hapo awali TANU. Ukipitia kwa undani misingi iliyounda Serikali yetu imetoholewa kutoka katika misingi iliyounda Chama. Hivyo sio jambo rahisi au la siku moja au la tamko moja...
  19. Eyce

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

    Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha 1. Utoaji wa Tuzo Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado...
  20. Interest

    JamiiForums Tanzania Kama nidhamu ya uoga inasaidia mambo yaende vizuri, inafaa sana

    HIARI YASHINDA UTUMWA ni moja ya msemo wa Kiswahili wenye hekima kubwa sana unaoonesha umuhimu wa personal integrity. Ukiwa muadilifu, utakuwa na nidhamu ya kutekeleza wajibu wako bila kusukumwa wala kulazimishwa. Kwa bahati mbaya sana, Watanzania kwa asilimia kubwa hatujalelewa kuwa waadilifu...
Back
Top Bottom