Tujitahidi kuwa waangalifu sana huko makazini zama za sasa vijana wamejaa majungu na wivu kushinda wazee

nyboma

JF-Expert Member
Aug 29, 2021
2,199
6,890
Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako.

Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini.

Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa watumishi wenzetu, usiruhusu sana wakuzoee ama wakufahamu sana kiundani, maana wengine ni wachota taarifa hivyo basi jitahidi sana ufanye kazi yako kwa ufanisi muda wa kuondoka kazini ukifika ondoka acha kuweka vikao vya kijinga jinga na wafanyakazi wenzako utanishukuru sana.

Mwisho, tuwe makini huko makazini vijana wa sasa wamejaa majungu kushinda wazee.
 
Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zangu.

Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini.

Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa watumishi wenzetu, usiruhusu sana wakuzoee ama wakufahamu sana kiundani, maana wengine ni wachota taarifa hivyo basi jitahidi sana ufanye kazi yako kwa ufanisi muda wa kuondoka kazini ukifika ondoka acha kuweka vikao vya kijinga jinga na wafanyakazi wenzako utanishukuru sana.

Mwisho, tuwe makini huko makazini vijana wa sasa wamejaa majungu kushinda wazee.
Yeah!!
IPOJE
IPO HIVI...
HIVYOJE??

WAJUMBE SIYO WATU WAZURI KBS.
TUISHI NAO KWA MACHALE NA KWA KUTUMIA AKILI NYINGIIIII.
ovaaa
 
Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako.

Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini.

Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa watumishi wenzetu, usiruhusu sana wakuzoee ama wakufahamu sana kiundani, maana wengine ni wachota taarifa hivyo basi jitahidi sana ufanye kazi yako kwa ufanisi muda wa kuondoka kazini ukifika ondoka acha kuweka vikao vya kijinga jinga na wafanyakazi wenzako utanishukuru sana.

Mwisho, tuwe makini huko makazini vijana wa sasa wamejaa majungu kushinda wazee.
ahsante sana mzee wetu Nyboma, Id yako imenikumbusha wimbo wa Nyboma na pepe kalle unaitwa Nina
 
Wana wimbo unaitwa connection. Kila mmoja anataka aangushe aliyepo ofisini aconnect mwenzake aliyepo mtaani. Kuna wengine wana wimbo wa kumshika bosi. Mabosi kuwa makini na vijana maana kwanza uwezo wao ni mdogo kichwani ila wana mbinu za kutumia waganga wa jadi, free mason na msumali wa mwisho ni ngono.
 
Unawakaribisha geto kwako (umejijengea kijumba kwa savings) hahaaaaa ukifika ofisini maneno yametapaakaaa ...unafuja hela za ofisi..
Hakika mkuu, utasikia jamaa amejenga ana gari fulani kwa mshahara gani, litasukwa kombora hapo ukichomoka basi Mungu unaye.

Halafu mbaya zaidi hata ukiondolewa sio kwamba atachukua nafasi yako, vijana wa sasa hizi tamaa zitawamaliza.
 
ahsante sana mzee wetu Nyboma, Id yako imenikumbusha wimbo wa Nyboma na pepe kalle unaitwa Nina
Naufahamu pia kuna wimbo wao unaitwa Moyibi pia ukipata nafasi usikilize mwisho kabisa maliza na nyimbo za madilu systema mwanamme aliyekuwa ana sauti kama ya simba.

Zama za sasa mziki nao umekuwa na ubabaishaji mwingi kama vijana tu huko makazini.
 
Muziki wa sasa ni siku mbili umeisha,Madilu huwa namkubali sana huyo mzee
 
Nipende kuwaasa vijana walioko huko makazini kuwa waangalifu sana na hawa unaowaita wafanyakazi wenzako, mara rafiki zako.

Wengi wao wamejaa unafiki na hawa ndio watu wa kwanza kukuchongea ama kukushuhudia uongo pale linapotokea la kutokea kazini.

Tujitahidi sana kuwa na mipaka na hawa watumishi wenzetu, usiruhusu sana wakuzoee ama wakufahamu sana kiundani, maana wengine ni wachota taarifa hivyo basi jitahidi sana ufanye kazi yako kwa ufanisi muda wa kuondoka kazini ukifika ondoka acha kuweka vikao vya kijinga jinga na wafanyakazi wenzako utanishukuru sana.

Mwisho, tuwe makini huko makazini vijana wa sasa wamejaa majungu kushinda wazee.
Kikulacho....

Hatari zaidi usiwaamini hata ndugu zako, kuna vita mbaya za kifamilia ndio zipo kwenye chati sasa hivi.
 
Unakuta wengi hawafikii hata robo ya uwezo ulio nao, ila wapo vizuri kwenye kuupepeta mdomo... atakuja kwenu atachokoza mada ili apate ubuyu wa kupeleka kwengine, ukiwagundua unawapa makavu tu, nimesema hivi na hivi kawambie waliokutuma... nafikiri wengi wa dizaini hii pia wanakuwa wataalamu wa ndumba, wakikushindwa kwenye ulozi wanakuja physically....
 
Back
Top Bottom