The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Kwa masikitiko makuu
Mwanaume ukipewa kula na ukishiba ondoka zako
Ndugu zangu, dada zetu wa siku hizi wamekua sugu sana yale maeneo hata usugue papuchi kiasi gani hakika unakua kama hakuna ulichokifanya huku wewe ukiwa hoi taabani,
1: kuna kila sababu ya kuwaza na kukubaliana kwamba asilimia...
Mzuka wana jamvi ?
Katika uchunguzi wangu nimegundua kuwa member ngluli wa Jf GENTAMYCINE na Rais wa Marekani Donald Trump ni watu ambao wanafanana sana tabia .
1. Wote hata uwe rafiki yake vipi na uwe unamsifia siku ukimkosoa na kupishana nae basi lazima akutweze na kukuona hauna akili...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA ni Lichama La Hovyo sana kuwahi kutokea katika Taifa letu. Ni lichama lisilo na mbele wala nyuma. Ni lichama ambalo halinaga Dira wala Muelekeo. Limejaa na kusheheni Viongozi wasio na Maono wala Dira wala Muelekeo wala mipango wala mikakati ya mbele. Ni Lichama...
Mara baada ya kumaliza elimu ya chuo kikuu(shahada) nilirudi nyumbani nikiwa mikono mitupu,
Harakati za kutafuta mia mia mbili zilianza nikapata sehemu ya kufanya KAZI na kuingiza 350k kwa mwezi.
Maisha yalienda, baada ya hapo nikakutana na rafiki yangu ambae kwasasa ni mtumishi wa TANAPA...
Natambua kuna majukwaa mbalimbali ya kuandika chochote kulingana na maudhui ya jukwaa husika
Chitchat ndio jukwaa halisi la ku chill kwa kuandika mada za utani, vituko na kupunguza stress za maisha na sometimes Kuipumzisha akili baada ya mitifuano ya hoja kwenye majukwaa ya wajuvi na wajuaji...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 15, 2026 baada ya Mahakama ya rufaa kanda ya Dodoma kutengua zuio dhidi ya chama hicho kutofanya shughuli za siasa, Heche ameeleza walivyosikitishwa na namna Jaji Hamidu...
Wakuu,
Nimewaza sana, hapa kuna kitu nilikua nakitafakari nikajikuta nimeingia deep sana nikachukua remote control nikaweka mziki fulani wakati naendelea kusikiliza nikahamisha mawazo nikaingia kwenye nyimbo ya G Nako ft. CHIN Bees & Nikki Wa II - AROSTO
Sasa nikaruka moja kwa moja kwenye...
Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha...
Wazee sina cha kuwaelezea Sana Ila ukweli ni huo ukianza kusomesha haujajenga your complete and totally fucked
===========
Kujenga wakati unasomesha ni ngumu na kiuchumi zaidi ni vyema kijana aanze kujenga kwanza alafu ndio aanze kusomesha
Wakuu poleni sana na vita vya Iran na Israel via Marekani
Siyo poa wakuu wangu hii vita imeniathiri sana pakubwa ukizingatia mimi ni middle business man ambae kwa kiasi kikubwa nategemea mizigo kutoka China kisha na niuze kwa mlaji wa mwisho so hali siyo nzuri sana. Ila hivyo hivyo tunapambana...
Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni.
Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida.
Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma...
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA
ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal.
Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump.
Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao...
Yaan kuna Taasisi umeipenda sana na mzuka wa kufanya kazi upo huko, unaomba uhamisho halafu unakutana na hii kitu. Nini mwarobaini wa hii kitu...?
Hapa nilikuwa naomba Vacancy Transfer kuhama Taasisi Moja kwenda nyingine zilizopo ndani ya Wizara Moja
Mimi ni Mwananchi kutokea Pwani, Wilaya Kibaha kero yangu ni kuwa ninachukizwa na ukiukwaji na ukatili tuliofanyiwa na Serikali kuvunja nyumba takribani 2,450 wakidai ni wavamizi waliovamia pori maeneo Mitamba Kata ya Pangani kisha wakapima maeneo na kuuzia watu wengine.
Juzi tunasikia Ripori...
Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo...
Vp wazee
Aisee huku nilipo nikirud tena Jf itabidi nilipwe sasa, maana siku hizi huku kitaa hata maongezi yangu tu watu wananirekodi wengine wanaandika wanadai ni madini matupu
Nikirud mutafurahi, ila itabidi munipambanie nilipwe
Hata kama ni kweli zaidi ya miezi mitatu anawalawiti alafu anakuja kukamatwa mwezi huu!
=======
Watu Watatu wakazi wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wanadaiwa kulawitiwa na mtumishi wa halmashauri ya wilayani humo kwa nyakati tofauti.
Akizungumza na Mwananchi leo Aprili 12, 2026 Kamanda wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.