The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Sema CCM wana siasa za kishamba sana.
Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi.
Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi?
Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest...
Hawa viumbe ni wauaji inapokuja kwenye suala la ngono salama hawajali kabisa.
Yaani manzi mnakubaliana ukaichape hata hakukumbushi ubebe ndomu. Usipojiongeza gono au waya linakulamba.
Ni mara chache sana manzi kukaza utumie kinga, na hata akikaza na wewe ukimkazia uende kavu hapingi.
Kuna...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano katika jimbo la Darfur nchini Sudan baada ya shambulio baya la ndege isiyo na rubani siku ya Ijumaa kuwauwa waumini zaidi ya 70 huko El-Fasher, na kueleza hofu kubwa kuhusu hali inayozidi kuzorota.
"Mapigano lazima...
Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi kwa hiyo biashara nyingi za Tanzania kuwa Limited ni sawa kabisa kulingana na shria za nchi...
Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza.
Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo.
No reforms no ELECTION
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
Habarini wakuu,
Stanley ni kijana wa Kikenya aliyezamia USA zaidi ya miaka 10 iliyopita yaani kiufupi ni muhamiaji haramu. Sasa upwiru umemponza, alikutana na binti wa miaka 15 mtandaoni akamtongozya wakakubaliana kufanya appointment. Bwana Stanley akaenda kwa binti akiwa na illegal firearms 2...
Nimetokea kuikubali sana hii series
Maisha ya Daudi akiwa mchungaji wa kondoo huko milimani akipambana na wanyama wakali huku kaka zake wakiwa nyumbani
Maisha ya mfalme Sauli aklivyolewa sifa kuona mafamiko yote ni yake na jinsi alivyo kiuka maagizo ya Mungu
Nabii Samueli alietumika kumsaidia...
Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi.
Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
Toka nimeingia JF sijawahi kutana na mtu akawa anataka nimpe connections za akina Bill Gate, Buffet, Elon Musk n.k huwa nashangaa sana vijana wa Kitanzania wanawaza nini?
Viongozi wanawaza nini? Ila connections za akina Rihanna, J. Lo watu wanataka sana. Dogo mmoja ananiambia nikiwa room na...
EITHER:
Aliathirika kisaikolojia kwa manyanyaso makali baba aliompa mama (or vice versa) plus unakuta ndugu nao wanaingilia mgogogoro huu ka kuchagua pande kupelekea ukiwa kwa mama/baba.
OR:
Au manyanyaso aliopokea yeye binafsi katika makuzi yake. kurubuniwa kingono, kuteswa na ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.