The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo.
Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
Nimeamka na mawazo mengi sana juu yahombea huyu iwapo atshinda uchahuzi mkuu wa 2025 na kupata idhini yakutuongoza mpaka 2030
Nimekuwa nikisikiliza kampeni zake lakini zimekuwa hazina hoja wala mashiko
SIONI NURU KABISA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa.
Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa
Poleni...
Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
Yaani kama ni mradi basi watu wa TANESCO wanajua kutia hasara. Nitagusia mambo matatu
Kwanza kabisa hawa jamaa wakibakiza vifaa kwenye kazi zao sioni wakivifuata wala kuvitunza. Nyaya kila sehemu wameacha, machuma chuma kibao wanayatelekeza ovyo
Pili hawa vijana wa TANESCO wa siku hizi naona...
Baada ya Magaidi wa Hamas kushindwa kwenye vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wamewageukia raia wasio na hatia kwa kuwapiga na kuwaua kwa njia za kutisha kabisa.
Ukiondoa ukatili walio wafanye a wayahudi Oct 07,2023 sasa hivi magaidi hao wanawafanyia watu wao wenyewe kwa...
Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu.
Pia soma
> John...
ccm
chadema
heche
john heche
john heche akamatwa
machafuko
mahakama
makamanda
makamu
makamu mwenyekiti
mwenyekiti wa chadema
sana
serikali
serikali ya ccm
Heloo jf
Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!🤔🤔🤔🧐
Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!🤔
Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😤
Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🤯
Nikitafakari vita vya israeli na palestini!🥵
Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi...
Wakuu na wanabodi habari zenu!. Za masiku mengi?
Ni muda mrefu sana toka nimeondoka rasmi jijini Dar es salam, na japo huwa nakuja kuja one time huwa inakua ni kwa specific task so naonana na specific people at specific one area.
Huwa sipati muda wa kuzunguka sana ,then naondoka.
But this time...
Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
Mwenyekiti wa Umoja wa Machifu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Katata ametoa tamko la kumuunga mkono mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu
Chifu Katata amesema, Machifu mkoa wa Rukwa wanachukizwa na mipango ya baadhi ya Watanzania...
Niwe mukweli roho inaniuma na ninapata hasira sana nikiona Kanisa Katoliki likishambuliwa na mamlaka zetu.
Tunaona mapadre wetu wanatekwa na kudhalilishwa.
Wanalazimisha watawa kufanya mambo ya kutufedheesha waumini.
Kwa nini awamu hii inatunyanyasa sisi wakatoliki kwani kila mtu lazima...
Vitali Maembe, msanii kutoka Bagamoyo kwenye huu wimbo anasema ukiona watu wameweka majamvi, ujue wameshafiwa.
Na aliyekufa hakufa kwa ugonjwa bali aliuawa.
Anauliza iko wapi Tanzania tuliyokuwa tunajivunia?
"Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama".
Hii ni kauli ya kijanja na kuweka kwanza maslahi ya familia...
Jana kuna barua ilikuwa ina-surface mtandaoni iliongelea mambo mengi ila sehemu iliyonifikirisha sana ni pale waliposema mazingira ya siasa nchini yapo vizuri nikaachia kusoma pale sikuendelea tena sababu nilisikia uchungu mkubwa sana
Nikajiuliza familia ya polepole inajisikiaje inaposoma ile...
Cameroon
Yaani kwa mujibu wa wananchi waliofuatiilia wizi wa kura, waliojiandikisha kupiga kura serikali wameweka wapiga kura hewa na picha moja inayoonekana ya mpiga kura ni ya Mo Salah 😀 jamani kweli?
Seriously?
Africa
📌Ukitizama kwa umakini maombolezo ya Hayati Raila Odinga unaona kabisa kuna ujumbe unatumwa kwa viongozi wetu wengi wakiwa katika nafasi zao.
📌Kuna mambo unaweza Fanya halafu ukiondoka familia yako itaishi kwa raha sana ila kuna mambo unaweza fanya ukiwa katika uongozi watu wakisikia tu jina la...
Habari za muda wakuu..
Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max.
Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani...
Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.