sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. carnage21

    JamiiForums Tanzania Aloo customer service ya NMB Mlimani city ni mbovu sana

    Leo asubuhi nimeenda pale mliman city kusolve mambo yangu ya kibenki,nlichokutana nacho ni balaa.Kwanza wahudumu ni wachache sana hawakidhi mahitaji ukiangalia huu ni mwisho wa mwezi watu wamepokea mishahara yao. Kingine hata viti tu vya kukalia pale kwa wateja wanaosubr customer care ni...
  2. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Akutwa hana hatia jaribio la mauaji baada ya miaka 33 jela

    MWANAUME mmoja huko California ambaye alikaa gerezani kwa miaka 33 kwa jaribio la kuua ametangazwa kuwa hana hatia na kuachiliwa huru baada ya kubainika kuwa hata hakuwepo eneo la tukio. Daniel Saldana, ambaye sasa ana umri wa miaka 55, alipatikana na hatia mwaka wa 1990 ya kufyatulia risasi...
  3. Exile

    JamiiForums Tanzania Je, na wewe unakerwa sana na utumiaji wa aina hii wa whatsapp?

    Mtu unakuta ameweka masetting kibao whatsapp ambayo ukimtumia kitu ndani ya masaa 24 kinajifuta bahati mbaya yeye hakuwa online au alipo mtandao unasumbua, Mtu mwenyewe ni jobless halafu badae anakuja kukusumbua nitumie tena binafsi sisumbuki tena kutuma hata apige magoti, na imekaa kitapeli...
  4. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Makonda anawasalimu sana. Kwa sasa anapumzika tu akilea na kuenjoy maisha

    Amenawiri, hana mashaka, mcheshi, ana uhuru wake. Kwa kweli yupo vizuri huyu Mkuu wa Mkoa Mstaafu ambaye alitumikia Taifa hili pasipo mawaa. Anakula shushu tu.hana tatizo na mtu watu wanafurahi wanapomwona.
  5. Maleven

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akileta ujuaji kitandani anatia mashaka sana

    Hasa akiwa mtu unamalengo nae, yaani inatoa imani sana. Unawaza kua huenda ni amekubuhu na anauzoefu sana, huenda ndio hufanya na wengine hivyo, taflani. Ni vema mwanamke akatulia tu asubiri maelekezo, mambo ya kuruka ruka na kujifanya gwiji hayafai
  6. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  7. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kuingia fainali kwa timu ya Yanga na USM Alger ni Mtihani mkubwa sana

    Kwanza naomba niipongeze Timu yangu ya Yanga kwa kufikia hutua hii adhimu ya fsinali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Mmetuheshimisha sana sana, kweli hatuna deni na nyie, pokeeni maua yenu. Lakini naomba nitoe angalizo kwa timu yetu, hatua mliofikia ni mtihani mkubwa sana huenda kuliko watu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lowassa? Kwa kweli tumem-miss sana kwenye siasa za Tanzania

    Hebu tutupie hapa mchango wake kwenye siasa na maendeleo ya nchi yetu! Kikubwa ninachokikumbuka ni uthubutu wake wa kusimamia uletaji wa maji Dodoma toka ziwa victoria. Haikuwa rahisi!! Ilibidi kuvunja mikataba ya kimataifa iliyokuwa inazuia kuvuta maji toka ziwa victoria! Uthubutu wake...
  9. AlmightyGod

    JamiiForums Tanzania Hofu: Nimekuwa mtu mwenye hofu sana kuanzisha mahusiano ya mapenzi mapya kwa kipindi kirefu sasa!

    Habari wanajamii, Hili suala sasa limekuwa likinitatiza sana na kunipa hofu sana kwa kipindi kirefu mno sana. Hapo awali nilikua na mahusiano na binti flani hivi na tulipendana sana katika mahusiano yetu, Kila mmoja alimweshimu na kujali hisia za mwenzake hata ilifikia kuamua kuishi pamoja kwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

    Pale Mwanga Tower, Makumbusho limetokea tukio la mtu asiyefamika kujirusha kutoka gorofani, ambapo inasemekana tukio hilo limetokea mapema leo majira ya saa kumi na moja asubuhi. Mpaka majira ya saa mbili asubuhi bado mwili wa mtu huyo ulikuwa eneo hilo. Taarifa zaidi zitakujia kadri...
  11. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni kichekesho sana, Alieongoza "VETA" ana mcheka "aliesup" University

    Walianza mashindano pamoja,moja kafeli kwenye hatua ya 1(32 Bora). Mwingine kajikongoja hadi 8 Bora,chaajabu alieishia 32 bora anamnyoshea kidole mwenzie kwanini umeishia njiani? Tukumbushane tu Uto hamjafanya vizuri malengo yenu ilikua kucheza makundi Ccl ,kitu ambacho mmeshindwa..Simba...
  12. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mabilioni ya pesa yanayotafunwa na wachache yangetumika kundeleza wabunifu tungekuwa mbali sana

    Utangulizi Katika kukua kwangu, nimebahatika kusikia na kushuhudia wabunifu wengi katika nchi yetu. Mfano: Kuna mtu alitengeneza umeme wa kinyesi, mwingine gari, mwingine ndege inayoruka kwa injini ya piki piki, mwingine stesheni ya redio na wengine kibao. Imekuwa ni historia katika nchi yetu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo chenu cha Kufurahia sana Refa wa Mechi yenu kutoka Congo DR Kwao Wakongo mlionao Kutawaponza

    Taarifa za ndani nilizozipata kutoka Jikoni katika Klabu moja na hata kule Kwenyewe kabisa CAF ni kwamba kama kuna Refa ( Mwamuzi ) ambaye atachunguzwa mno Maamuzi yake Kiuchezeshaji Siku hiyo basi ni huyu kutoka Congo DR. Na Watu fulani wasivyo na Siri mpaka akina MINOCYCLINE tunapata Taarifa...
  14. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukioa Mwanamke aliyekuzidi umri utajuta na kuteseka sana

    Kwa utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya mitano japo utafiti huu si rasmi nimegundua wanaume wengi wanaoteseka kwenye ndoa ni wale waliozidiwa kiumri na wake zao. Yaani wanaume waliozidiwa umri na wake zao kiuhalisi hawana kauli ya utiisho mbele ya wake zao, hawana maamuzi ya peke yao...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nilikosa amani yote kwa kusumbuliwa na wachawi, nilikuwa nalala alfajiri huku nanunua betri ya tochi kila siku, nilihama nyumba

    Hawa wanga mbaki kuwasikiaga tu na kama huamini hawa watu wapo basi ni dhahiri wewe si mkristo wala muislamu maana haya mambo yapo kwenye vitabu vyote, na hata kwa mila zetu waafrika hawa wanajulikana kwa kuwa miiba katika maisha ya watu enzi na enzi, Ni mwaka 2014 ndio kwa mara ya kwanza...
  16. sanalii

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa, Wanawake wana Mapenzi ya kweli. Wanaume ndio wanawaharibu

    Kama umebahatika kuwa na mahusiano na mwanamke ambae hajapitia misuko suko ya mahusiano utakua shuhuda. Wanawake asilimia kubwa wana mapenzi ya kweli na mioyo safi kabisa, tofauti na wanaume, wanaume wengi hujifunza kupenda ila mwanamke by birth wako kiupendo. Shida inakuja wanapokutana na...
  17. SPONSA

    JamiiForums Tanzania PSRS wanataka tujibu vipi mitihani yao ili tufaulu? Unajibu majibu sahihi wanaweka marks sio sahihi, inauma sana

    Dah nasikitika sana yaani unaweza kukata tamaa kabisa na ushahili wa PSRS unasoma unajiandaa vizuri kabisa unaenda kufanya mtihani unaufanya vizuri ulichosoma unakikuta kwa 100% na unatoka unaangalia unaona umejibu vilevile. Cha kusitikisha majibu yanatoka umepata 40% daah roho inaniuma nahisi...
  18. ankol

    JamiiForums Tanzania Asante sana we mdada ulionilipia nauli

    Nadhani upo humu, Kama kweli basi pokea asante yangu. Ilikuwa hivi: Naamka najiandaa kwenda job, Naingia kwenye gari kuweka switch on kitaa cha wese kina blink, sio kesi ni kawaida tu matarehe yakichachamaaga hivi kulitelekeza gari na kujiunga na public transport. Mzee baba nikachomoka...
  19. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona muhitimu wa degree ya TEHAMA (ICT) hajui kutumia Google Map

    Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani. Basi nikaona si mbaya huyo mteja akiwa anahudumiwa (akisubiri dawa zake) aje ofisini kwangu anywe walau...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali inaposhughulikia suala la wafanyabiashara Kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi, tunaonewa sana

    Serikali inaposhughurikia swala la wafanyabiashara kariakoo ingetufikiria na sisi wafanyakazi: tunaonewa sana kwa kweli. Mifano iko wazi: 1. Kwa mfano, daktari akilala zamu anapolipwa call allowance lazima akatwe VAT 2. Daktari au nesi akilipwa extra duty allowance lazima akatwe VAT 3...
Back
Top Bottom