sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kufikia 2030 tutahitajika kujenga minara ya viongozi hawa wawili ingawa tutafika tukiwa tumechoka sana

    Habari JF, Nchi kuanzia mwaka 2015 ilianza kupitia mabadiliko makubwa sana ya kimipango na kimiradi, madilikohaya yameletwa na watu wawili ambapo by 2030 kuna uwezekano mkubwa baadhi ya matatizo yakawa ni historia. 1. Hayati Magufuli ,alianzisha mipango/mifumo na miradi ambayo hata yeye...
  2. haszu

    JamiiForums Tanzania Ninayetarajia kumuoa siku chache zijazo anawivu sana

    Nimetoka kutuma screenshot ya call history muda sio mrefu. Nilikua naongea na rafiki yangu mipango yetu, anapiga simu inatumika tu. Basi nilipomaliza namtafuta amekasirika akiamini nilikua naongea na mwanake mwingine. siku zilizopita alitaka simu yangu nikampatia, kwakua nilikua namuangalia...
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ila Kikwete alikuwa na dhambi sana

    Haiwezekani mwanadamu mwenye utu akanunua ambulence ya dizaini hii na kuzigawa vijijini, huu ni uuaji serikali ya awamu ya nne ilifanya. Mara 100 JPM aliyejenga zahanati, vituo vya afya na hospitali kila kona, akaboresha hospitali za kanda zote. Hizi ambulance za pikipiki ukipata dreva...
  4. El marabiosh

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ajira za lecturers zinakua readvertised sana?

    Ni kwanini hizi ajira zinarudiwa kutangazwa inamaana watu wanaacha kazi au watu hawaapply?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini makabila ya watu yaliyompakani/ mikoa kwa Nchi yetu wengi wako vizuri sana kichwani, majasiri, watafutaji na wasioyumbishwa?

    Chunguza mikoa yote ya mipakani utapata majibu hayo, hata uje kwenye uongozi utaona utofauti wakishika watu hawa..
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akipata kura za kutosha 2025 itakuwa hatari, nawapa angalizo Mawaziri naona mnajisahau sana kumbukeni Lissu siyo Lowassa!

    Kiukweli 2015 mzee Lowassa alijipatia kura nyingi tu sema Mzee Mkapa alikuwa hatakagi Ujinga Sina hakika na Uwezo wa Tundu Lisu Kwenye kushawishi Wapiga kura ila tuombee tu apate ile ile 13% au pungufu Nawapa angalizo Mawaziri fanyeni Kazi ya kuonekana 2025 siyo mbali Jumaa kareem!
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Kienyeji Mkoani Rukwa: Mkoa wa Rukwa tunaonewa sana huku hakuna Uchawi kama tunavyochafuliwa

    "Yaani ukisema tu unatokea Mkoa wa Rukwa unaanza Kuogopwa na kuhisiwa vibaya. Sisi kama Waganga wa Kienyeji tunasema Watu wa Rukwa siyo Wachawi na ni Watu Wastaarabu mno kuliko Mikoa mingine ambayo ndiyo ina Uchawi mwingi kuliko hapa Kwetu" amesema Mmoja wa Waganga wa Kienyeji aliyewawakilisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania TUCTA kwa nini hamjamuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la Kikokotoo?

    Picha: Ester Bulaya Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Sababu hizi zitatufanya ichukue muda sana kupata viongozi kama Hayati Magufuli na Mwalimu Nyerere

    Habari JF, Ukiaachana na nguvu kubwa inatumika kuonesha umma kwa Hayati Magufuli hakufanya kitu huku vitu vinaonekana na tuhuma nzito ambazo hazina ushahidi bado haiwezi ondoa ukweli kwamba hawa viongozi wawili watabaki kuwa bora kuwahi kutokea nchini mwetu. Kwa kifupi bado tunawahitaji lakini...
  10. Heart Wood.

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini maamuzi mengi ya Viongozi (Serikali) yanapingwa sana na wananchi walio wengi?

    Ni kweli kuwa huwezi hufanya jambo la kuwafurahisha watu wote. Na si kila mtu atapendezwa na mambo uyafanyayo hata kama ni mazuri kiasi gani, Ila basi angalau mambo yaliyo mengi ufanyayo yapendezwe na walio wengi.! Mie nachukulia JF kama case study. Ukiachana na watu wachache sana ambao wao...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hawa jamaa wanakera sana , wanachimba ovyo mitaro mtaani kutandaza mabomba yao pasipo ustaarabu

    Marndeleo yasiyo kuwa na mipango ni matumizi mabaya ya pesa! Kuna jamaa hawamalizi kuchimba mitaro mtaani, kila mwaka wana chimba chimbua hata vya maana havionekani! Wanatandaza mabomba yasiyotoa maji kila mwaka! Wananchi maeneo mengi dar hawana huduma bora za maji lakini sahivi kila sehemu...
  12. Kitchener

    JamiiForums Tanzania 2025 Tanzania tunatakiwa kufanya uamuzi wa busara sana

    Kuna mambo mengi sana yanahitaji wazalendo pekee kuipeleka hii nchi hatua inayostahili. Ninamuomba Mungu awasaidie Watanzania kutambua hili na mwaka 2025 watumie uwezo wao wote wa akili, hekima na busara kufanya maamuzi yatakayoleta maendeleo katika hili taifa. Ukisikiliza bunge, ukiona...
  13. jastertz

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii maendeleo ya technolojia yatachelewa sana

    Nchi nyingi za Africa tupo nyuma kitechnolojia kwa sababu kuu mbili. 1. Ukifanya jambo zuri kuhusu technology wanaishia kukusifia tu. Baada ya muda unasahaulika. Project nyingi tunaziona tunazisifia tunasahau. 2. Ukifanya jambo baya kuhusu technology unaishia kupewa kesi badala wakutumie wewe...
  14. Be calm

    JamiiForums Tanzania Wanawake, sauti zetu zipo juu sana tunapogombezana na Wenzetu

    Ninaposema wenzetu Imean waume zetu, wachumba zetu au wapenzi wetu. Hatujui kujishusha na hatuwezi kuongea Kwa sauti ya chini, tunashindana. Sasa hizo kelele, yaani hizo kelele ndo zawapa wazimu hawa wanaume. Ndo utashangaa kofi au ngumi ya mdomo, meno chali au ya pua wese hiloo! Twende...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Patriot zitapigwa sana ifuatiwe na kimya kama cha Himars

    Wachambuzi wa kivita wa Marekani wamekiri kuwa mfumo wa Patriot pamoja na sifa zake kadhaa lakini si mfumo salama mbele ya jeshi la Urusi. Mtambo huo wa Patriot kimsingi umeundika na vitu sita katika ufanyaji kazi wake ambavyo ni generators, radar set, control station, antennas, launcher...
  16. TODAYS

    JamiiForums Tanzania BM Coach kuanza safari saa 10 alfajiri

    Majuzi kati hapo wasimamizi wa usafiri wa nchi kavu na majini Latra walitoa taarifa za kuruhusu mabasi kusafiri kuanzia saa 9 usiku👇🏾. https://www.jamiiforums.com/threads/latra-waruhusu-mabasi-kuanza-safari-saa-9-usiku.2093165/ Hadi kufika leo naona kampuni moja ya kuelekea Arusha ambayo ni BM...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo: Inauma sana asikuambie mtu. Nyie wanawake nyie!

    Inauma sana. Hebu piga picha , Wewe ndo umetongoza, Wewe ndo umepeleka posa na pesa kiasi kwenye bahasha, Wewe ndo umetoa mahari, Wewe ndo unaanda sherehe, Mke unamkaribisha nyumbani kwako, Wewe ndo umempa heshima mkewe kwa jamii, Wewe ndo unamuhudumia mkeo, Kitandani mnafurahi wote, Mnapata...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Watu mna siri sana. Kumbe Diamond Platnumz anamiliki Kisiwa na hamsemi?

    Mtandao wa Africa facts zone umeripoti kuwa Msanii Diamond Platnumz (Simba) kumiliki nyumba 11, hoteli, TV station pamoja na radio station pia kisiwa chenye thamani ya zaidi ya bilioni 1.8. Pia Afrika Face Zone wameripoti kuwa Diamond Platnumz huwa analipwa zaidi ya milioni 236 kwa show...
  19. Lamisele

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 20 na kuendelea tutakua na jamii ya hovyo sana na baadhi ya KOO hazitakuwepo.

    Habari za leo ndugu wana jukwaa,nimekaa hapa natafakari haya maisha ya Karne yetu sijui tunaenda wapi,kuna baadhi ya mambo yanatafakarisha sana hasa nikiwaangalia hawa wanangu na ulimwengu unavyo kwenda kasi. Moja; mtu tajiri duniani Bwana Musk yeye ana...
  20. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Kwanini madaraka ya rais yanalalamikiwa sana na nini kifanyike kwenye katiba ijayo?

    KWANINI MADARAKA YA RAIS YANALALAMIKIWA SANA NA NINI KIFANYIKE KWENYE KATIBA IJAYO? MJADALA KATIKA FORUM YA KATIBA YA WATU
Back
Top Bottom