sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nimerepair trucks za DAF, Scania, MAN na Benz upande wa umeme lakini MAN tuwape mauwa yao, mpangilio wa mfumo wao wa umeme ni rafiki sana

    Hello bosses and roses... Humu watu baadhi wananijua kama computer programmer ila mie ni fundi magari pia. Kiukweli hizi gari za MAN wamejitahidi sana upande wa umeme, wiring iko organized vizuri mno, ukichukua MAN moja na trucks za makampuni mengine zenye range sawa ya bei basi utakuta MAN iko...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Notes za secondary (pdf) bei nafuu sana

    Tunakupa Notes za secondary zilizo katika format ya PDF kwa bei nafuu sana. 1. Notes tumeziandaa wenyewe. 2. Tumezingatia syllabus katika kuziandaa kwa hiyo Topic zote zipo. 3. Kwa upande wa Geography na Biology michoro, diagram na picha zote zipo kukufanya uelewe kirahisi sana masomo hayo. 4...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Patriot zinaendelea kulinda mji wa Kyiv, hii inafanya Urusi wawe na hasira sana

    Urusi inaendelea kutuma makombora mazito kuelekea Kyiv lakini yanapanguliwa, aisei mpaka sasa aina hii ya mashambulizi yangeelekezwa Afrika sidhani kama kuna taifa lingepona, muhimu sana na sisi tuwekeze kwa hizi patriots za Marekani...ndio muarubaini wa yote. Russia launched a new wave of air...
  4. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Hii miezi ya wakwanza, wasita, na wa kumi na mbili inawasumbua sana kimahesabu wenye nyumba au ni ukilaza wao tu au ni utapeli

    Habari Hivi mtu ukitoa kodi ya miezi sita itakayoanza kutumia tarehe 1-06-2023 inabidi iishe mwezi wa ngapi na tarehe ngapi maana hapa naambiwa eti itaisha tarehe 1-11-2023 bado sijalipia nataka kughaili maana mtu unamuelewesha haelewi
  5. me fareed

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ulifanya mambo gani zamani ambayo ukikumbuka unajiona mjinga?

    Niaje niaje, Wadau tukumbushane enzi hizo na matukio yetu ambayo ukiwaza sasa hivi unajiona mshamba fulani hivi. ~ Nakumbuka nilitoa hela ndefu ili niungwe Facebook, nikiwaza nataman niende Internet Cafe nikamchape yule dada vibao. ~ Shati yangu ya shule bila kutia blue nilihisi...
  7. Engager

    JamiiForums Tanzania Dada zangu, mtatoboa kweli?

    Ukiachilia mbali kwamba idadi ya wanaume duniani inazidi kuporomoka, na kwamba katika hiyo hiyo idadi ndogo iliyopo bado kunawengine wengi wameamua kujikataa na kujifanya wanawake, Lakini bado yanamwagwa haya maroboti. Tena yametengenezwa special kabisa kuwa mke. 'Robot wife' . Huko mbeleni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana, Timu za Ujerumani badala ya kuungana kumaliza utawala wa Bayern, zinakamiana

    Ligi imekosa mvuto, timu moja inachukua kombe kwa miaka 11 mfululizo kwa kutumia mbinu za kupora wachezaji wazuri kutoka timu pinzani Kwa mbinu hii pengine inaweza kuchukua ubingwa hata mara 20 mfululizo, maana msimu huu ndio walikuwa dhaifu kuliko misimu mingine Badala ya timu kuungana ili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Suala la timu ya USM Alger kuja na Maji na vyakula linafikirisha sana

    Juzi tumeona kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha timu ya USM Alger ikiwasili JK Nyerere International Airport ikiwa na shehena ya Maji ya kunywa na pia inasemekana walibeba na vyakula vyao. Huenda wakawa na nia njema ya kuhakikisha usalama wao na kuepuka hujuma za kimichezo lakini pia kwa...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Chama kipo Imara Kuliko Jana. Wataisoma namba. Hatari sana

    Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho. Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa kama dawa.
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nliingizwa Mjini kizembe sana. Nikajutia sana gharama zangu

    Basi miaka ya nyuma ilitokea nikawa na rafiki kwenye mtandao. Huyo dada alikuwa anaonekana mambo mazuri sana. Tunachat n.k na alibahatika kupata rangi ya mitume wengi. Basi tukadumu na kupeana mawasiliano ya simu. Na simu za hapa na pale zikawa zinapigwa. Basi mwezi wa pili nikaona si mbaya...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la kwanza liliwapa raha sana mahasimu wa Chadema, sasa shangilieni na hilo

    johnthebaptist sherehekeeni na hili jukwaa la miti la pili. Mlidhani kuwa wataacha kushabulia kama nyuki kwa kejeli za jukwaa, NEVER, kazi moto moto!
  13. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Stori ya huyu kijana imeniumiza sana, ama kweli wanawake legezeni kamba kuwanusuru vijana waliobakia dhidi ya hili janga la wanawake toleo jipya

    Nina muda kidogo sipo active humu, ila hii story imefanya nirudi sababu naamini JF inawafikia watu wengi. Huyu dogo anafanya kazi ofisini kwetu, alipata scandal za kutoka kimapenzi na kijana fln hv shoga hivyo ikaleta vulumati sana pale kazini. Mimi ndie msimamizi wake wa kazi hivyo dogo...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Huyu mzee ni Mtanzania? Mbona huwa anatrend sana?

  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ni Mwanayanga mwenzangu lakini kwa hili nimemdharau sana

    Yaani kile kitoto naanza amini kweli siyo riziki. Mgunda ni moja ya makocha ambao wana busara sana hapa nchini. Toka namfahamu sijawahi msikia akiizungumzia Yanga vibaya Amekuwa na heshima kwa teams zote na watu wote. Kweli huyu dogo anadiriki kutamka kuwa kati ya Juma Mgunda na Andazi...
  16. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Bado pengo la Magufuli halijazibwa

    Japo bado hujanishawishi kuwa unaweza kuziba pengo la JPM lakini sina budi kukujulisha hili toka kwa mtu unayemwamini sana. Anasema kuwa nanukuu "bi mkubwa sio mnoko, ukimpamba tu mambo yako yanaenda". Alikuwa akizungumzia sakata la Kigwangala kumtembezea mtu risasi anasema jambo hili litaisha...
  17. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya matatizo yanasumbua sana kwenye magari, Lakini ni madogo.

    Nimelazimika kuleta hii thread baada yakukutana na matatizo mawili yanayofanana ndani ya siku 5 katika magari mawili tofauti. Tar 21 mwezi huu kuna jamaa alinicheck, nimeshamfanyia kazi kabla, ana toyota IST ina 1490Cc. Alinicheck akaniambia gari yake akisimama kwenye foleni inamisi halafu...
  18. carnage21

    JamiiForums Tanzania Aloo customer service ya NMB Mlimani city ni mbovu sana

    Leo asubuhi nimeenda pale mliman city kusolve mambo yangu ya kibenki,nlichokutana nacho ni balaa.Kwanza wahudumu ni wachache sana hawakidhi mahitaji ukiangalia huu ni mwisho wa mwezi watu wamepokea mishahara yao. Kingine hata viti tu vya kukalia pale kwa wateja wanaosubr customer care ni...
  19. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Akutwa hana hatia jaribio la mauaji baada ya miaka 33 jela

    MWANAUME mmoja huko California ambaye alikaa gerezani kwa miaka 33 kwa jaribio la kuua ametangazwa kuwa hana hatia na kuachiliwa huru baada ya kubainika kuwa hata hakuwepo eneo la tukio. Daniel Saldana, ambaye sasa ana umri wa miaka 55, alipatikana na hatia mwaka wa 1990 ya kufyatulia risasi...
  20. Exile

    JamiiForums Tanzania Je, na wewe unakerwa sana na utumiaji wa aina hii wa whatsapp?

    Mtu unakuta ameweka masetting kibao whatsapp ambayo ukimtumia kitu ndani ya masaa 24 kinajifuta bahati mbaya yeye hakuwa online au alipo mtandao unasumbua, Mtu mwenyewe ni jobless halafu badae anakuja kukusumbua nitumie tena binafsi sisumbuki tena kutuma hata apige magoti, na imekaa kitapeli...
Back
Top Bottom