Mwanaume ukioa Mwanamke aliyekuzidi umri utajuta na kuteseka sana

Hyrax

JF-Expert Member
May 20, 2023
604
1,534
Kwa utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya mitano japo utafiti huu si rasmi nimegundua wanaume wengi wanaoteseka kwenye ndoa ni wale waliozidiwa kiumri na wake zao.

Yaani wanaume waliozidiwa umri na wake zao kiuhalisi hawana kauli ya utiisho mbele ya wake zao, hawana maamuzi ya peke yao, wanapelekeshwa sana mbaya zaidi wananyanyasika sana kiasi hata cha kuchapiwa wake zao na kutokuwa na nguvu ya kutowafanya chochote zaidi ya kukugumia tu kwa maumivu yanayowapelekea kupata depression na wengine wanaenda mbali zaidi kwa kujinyonga.

Vijana wa kiume nawashauri kabla hujao mwanamke zingatia sana umri wake, kiasili mwanamke anamheshimu sana mwanaume aliyemzidi umri.

Mwamke yupo tayari kumsikiliza mwendesha boda boda aliyemzidi umri kuliko mumewe aliye chini kiumri kuzidi yeye sijajua ni mechanism gani inawavutia kuwa hivyo ila ukweli ndio huo.

Mimi ni Pimbi kutoka Ludewa, Kwaherini
 
Mzee wangu poleee sana, Ila pia sidhani Kama ni asilimia kubwa wapo hivi.

Nadhani kua inategemea na how alikua raised by her parents
 
Afu uwe mfupi hizo kwenzi za utosi
Halafu uwe na kipara na kitambi sasa. Utatolewa mifano hio ya kila aina mpaka ufe!

Mwangalie kwanza, na hicho kitambi kama mfuko wa rambi rambi!!!

Na hicho kipara, natamani hata uwe unavaa ma wigi yangu. Mpaka mashoga wananicheka, naogopa hata kubeba mimba yako nsije kuja kuzaa mstaafu!
 
Mstaafu mwenyewe sasa anao muongelea!
Screenshot_20230714-134754_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom