jastertz
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 408
- 779
Nchi nyingi za Africa tupo nyuma kitechnolojia kwa sababu kuu mbili.
1. Ukifanya jambo zuri kuhusu technology wanaishia kukusifia tu. Baada ya muda unasahaulika. Project nyingi tunaziona tunazisifia tunasahau.
2. Ukifanya jambo baya kuhusu technology unaishia kupewa kesi badala wakutumie wewe kufanya mapinduzi. Mfano juzi hao wanafunzi waliojilipia ada kwa mfumo dhaifu wa chuo chao tena wanapofundishiwa huo ujuzi. Badala wawatumie hao hao kuuimarisha mfumo.
Ni hayo tu.