sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa sana

    kwa ufupi, hii ni aibu kwa taifa kubwa kama Tanzania, nchi yenye rasilimali chungu nzima, raia wanyonge ambao unaweza kuwa dhulumu utakavyo, nchi ambayo haijui njaa wala uchungu wa risasi za magaida.
  2. JamiiForums Tanzania Jioni ya leo nilikuwa DP World hapa kigali Mnyarwadwa kanicheka sana

    " Mtz mwiriwe neza. Sasa nyie Watz akili zenu ni za namna gani bhana?! Ile siku bange (bunge) yenu imepitiza ile contract sisi wote tuliwacheka sana!" " Mvaa ( yaani wewe ) uliona wapi hiyo mambo ya kuwapatia hii mtu ocean yenu iwe ya kwao? Mzee (Kagame) asingekubali hiyo mambo kabisa kabisa!"...
  3. JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2019 nilikua kwenye research binafsi ya mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida. Nimefanya mahojiano na watu wa fani hii,kuanzia watu wa kawaida mpaka viongozi wa fani hii katika nyanja mbalimbali. Mambo yasiyoonekana kwa macho,watu wanaita""UCHAWI""na ni fani...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  5. JamiiForums Tanzania Tulitangazwa bure Burj Khalifa...

    Ikifika mwezi wa 7 , kuna ‘mbuzi’ wawili au watatu watatolewa kafara, hii ni kwa decoding binafsi ya mtiririko wa matukio takriban matano hadi kumi niliyoya -observe, na inanipelekea kuamini hivyo. 1.) Haya majibu yanayotolewa na serikali kupitia Gerson Msigwa , Kassim Majaliwa na Hamza Johari...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Designer au supplier wa T-shirt ya "Tunatangazwa bure "Burj Khalifa" tafadhali sana naomba kujua nitaipataje?

    Leo katika pitapita yangu nimeona Mtanganyika mwenzetu kavaa Tshirt imeandikwa "Tunatangazwa bure Burj Khalifa", nikashindwa hata kupiga picha, hata kumpata kwa haraka sababu nilikuwa nadrive na wakwe zangu na taa ziliruhusu, kwa hiyo nikashindwa kabisa ila nimefarijika sana kwa ujasiri ule...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge walihongwa na DP World; ushahidi huu hapa!

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe na maneno mengi. Ukimsikiliza huyu mbunge kwa umakini utakubaliana nami pasi na shaka kwamba wabunge wa CCM walihongwa na kampuni ya DP World ili kuwauzia nchi. Inauma sana. Kumbe mkataba ulisainiwa tangu mwaka jana, sasa hawa wezi wanatuchora tu...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wapinzani uchwara sana, mpaka leo wameshindwa kuwateka wakulima

    CDM ni chama chenye uuchwara mwingi sana, na wala siyo chama cha maana. Lakini kwenye uuchwara huo nashangaa wameshindwaje kuwateka wakulima ukiaangalia jinsi mkulima wa nchi hii anavyoteseka. Asilimia 70 ya watz wanategmea kulima, lakini sera na harakati za CDM zinawagusa kidogo sana. Watu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lavalava ni msanii mzuri sana

    Habari wana jamvi, Mie bongo fleva nimeanza kuifuatilia kitambo sana enzi za bdp na sosy b na mpaka sasa bado naisikiliza nimebahatika kuviona vipaji vingi kwenye hii tasnia waimbaji kwa maraper. Lakini nikiri wazi kua Lava lava ni bwana mdogo mwenye kipaji sana sema naona kama hapati...
  10. JamiiForums Tanzania Hii picha imenihuzunisha sana

    Jamii imekengeuka sana Kiongoz atakaye wathanini walimu Mnyezi Mungu atabariki sana Ni Kwa Nini kila kiongozi anayeshika nchi anajiunga na kundi la kudanganywa. Eti.. Walimu watajengewa nyumba. Mna uhakika na mnacho danganya? Nnani amesemma walimunnchi nzima wanaweza wakajengewa nyumba...
  11. JamiiForums Tanzania Haya mambo 30 yanayonisumbua sana, sijui wewe

    Katika mambo yanayonisumbua maisha yangu, mambo haya 30 yanaongoza; 1. Kila kitu ni kitapita au ni cha muda tu ukiwemo uhai au maisha yangu. 2. Ukweli kuwa sitoridhika na nilichonacho au niliyonayo mpaka wakati wa kufa 3. Uhalisia kuwa uchu ndiyo unaotawala uchumi na uchumi nao kutawala uchu...
  12. JamiiForums Tanzania Nimekutana na Timekeeper Deus Mwafisango, hatari Sana.

    NIMEKUTANA NA TIMEKEEPER DEUS MWAFISANGO, HATARI SANA. Anaandika, Robert Heriel Ni leo. Maeneo ya Mlimani City nilikutana na mtu hatari, jitu baya, Roho ya kale, ukimuita jitu mwitu msitu hutokuwa unakosea. Napita Eneo la samaki samaki nasikia Sauti ikiniita. Nageuka macho yangu yanapagawa...
  13. JamiiForums Tanzania Mke wangu ana gubu sana

    Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu. Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa ila sio muelewa hata kidogo. Nishaongea nae kwa nyakati mbalimbali ila haelewi, ana kauli tata sana zenye kunitia...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la DP World ni kipimo cha uzalendo. Tunawafuatilia viongozi wetu kwa ukaribu sana

    Kama mzalendo katika nchi ambayo Mwenyezi Mungu aliruhusu nizaliwe, naona kabisa kwamba hili suala la mkataba kati ya Serikali yetu na DP World ya Dubai, itakuwa kipimo cha uzalendo ambao tunapaswa kutumia katika kuwapima. Tuko tunafuatilia kwa ukaribu sana maoni yenu. Hata wale ambao mmeamua...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za maji za Tanzania zina dharau kubwa sana kwa wananchi, hakuna usimamizi wa watendaji

    Mamlaka za maji nchini zina kiburi sana, hakuna nidhamu ya watendaji. Miradi ya maji wanapiga, kuunganisha watu maji awataki, wanabambikia wenye maji bili, ukienda ofisini kwao hakuna anayekuchukulia kama mteja kila mtu yupo busy na masuala yake, wengi wana elimu ndogo ya uchumi na hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Injili: Nyimbo za Papii Clever, Dorcas pamoja na Merci Pianist zinanibariki sana

    Amani iwe juu yenu wana wa Mungu. Nina miezi kama mitatu sasa, nyimbo za wahusika zimekuwa zikijirudia katika orodha ya nyimbo ninazosikiliza mara nyingi. Papi Clever na Dorcas ni wanandoa, Merci Pianist ni mtaalam wa kupiga kinanda kwa kiwango kikubwa sana. Mimi ni muumini wa nyimbo za...
  17. JamiiForums Tanzania Hongereni sana mashujaaa[ Lake Tanganyika Heroes]

    Hongereni sana chama la nyumbani mashujaa fc almaarufu lake tanganyika heroes kwa kupanda ligi kuu.
  18. JamiiForums Tanzania Mashujaa Fc kwa huu uchawi wenu kuna timu nyingi sana za ligi kuu zitapoteza mechi Lake Tanganyika Stadium

    Haiwezekani Mbeya City kila wanachokifanya mipira inapaa kama sio kugonga miamba. Kwa aina hii ya ukamiaji jumlisha na sayansi ya jadi kuna timu kubwa zita-struggle msimu ujao pale katika dimba la Lake Tanganyika. My take: Punguzeni usela mavi wenu huku ligi kuu kuna kamera za AzamTv mtapoteana
  19. JamiiForums Tanzania Tumedhihilisha Yanga ni Team kubwa sana Afrika

    Msimu ujao mtaumia sana. Faida mwaka huu tumepata tsh mil 500. Na mmeona matumizi yetu ni mabilion ya fedha.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ameniambia nikifika Tanzania atanipeleka haya maeneo. Nitafurahi Sana na ni Raha kuu

    Uyu member wa JF ameniahidi kuni WALK maeneo NEW apa Dar es salaam pindi niki arrive Tanzania. Anasema atanipeleka 1. VINGUTINGUTIH 2.KWA MUPALANGEY 3.BOUGOROON QUA MUNIAMAN 4. TAN DALE QUA MUTOGLE 5. TEAMAKEY 6. MAN THEY SAY 7. KEY MARAY sijui kama hizo spelling nimepatia coz tulikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…