Wazee wapenda taarifa ya habari ni wambea sana

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,238
12,751
Ni kuwa wazee wengi huwaambii kitu kuhusu taarifa ya habari. Kipindi chake pendwa kwenye TV ni taarifa ya habari. Ukweli ni kuwa mapenzi yote ya taarifa ya habari ni sababu ya umbea na majungu tu.

Anataka akifika kazini apate cha kusimulia wenzake. Waziri fulani hivi, mbunge fulani vile. Unakuta dingi ikifika muda wa taarifa ya habari anasimamisha kila kitu ili asikie majungu na kesho akawasimulie wenzake kazini

Ipo hivi. Wamama tunaowashutumu umbea na wapiga majungu huwa wanafanya hivyo kwenye level za mtaa. Yaani wanakuwa na habari za mtaani juu ya nani anatembea na nani, nani kamkopa nani, nani na nani haviivi, mtoto wa fulani hivi nk.

Madingi umbea wao ni level za kitaifa na kimataifa. Waziri fulani hivi, Saddam kamjibu Bush, mbunge kakiwasha nk nk. So madingi wapenda taarifa za habari ni wambea na watu wa majungu kama tu wamaza wambea wa kitaa.

Ukiona dingi anafuatilia taarifa za habari kwa karibu fahamu kuwa hamna kitu kingine zaidi ya kupenda umbea na majungu.
 
Ulitaka aangalie tamthilia kama wewe ?
 
20230813_172927.jpg
 
Wewe bila shaka ni mnoko na mbea

Unatukana baba za watu...
Fuatilia wazee wanaopenda taarifa za habari. Ni watu wa majungu na wambea kishenzi. Unafikiri wanaangalia wakae nazo kichwani? Wanatafuta za kupigia umbea.:) Sema majungu yao ni ya kitaifa na kimataifa ndiyo manaa wanaonekana tofauti na wamaza wambea wa kitaa. Ila ni kitu kimoja.
 
Ni kuwa wazee wengi huwaambii kitu kuhusu taarifa ya habari. Kipindi chake pendwa kwenye TV ni taarifa ya habari. Ukweli ni kuwa mapenzi yote ya taarifa ya habari ni sababu ya umbea na majungu tu.

Anataka akifika kazini apate cha kusimulia wenzake. Waziri fulani hivi, mbunge fulani vile. Unakuta dingi ikifika muda wa taarifa ya habari anasimamisha kila kitu ili asikie majungu na kesho akawasimulie wenzake kazini

Ipo hivi. Wamama tunaowashutumu umbea na wapiga majungu huwa wanafanya hivyo kwenye level za mtaa. Yaani wanakuwa na habari za mtaani juu ya nani anatembea na nani, nani kamkopa nani, nani na nani haviivi, mtoto wa fulani hivi nk.

Madingi umbea wao ni level za kitaifa na kimataifa. Waziri fulani hivi, Saddam kamjibu Bush, mbunge kakiwasha nk nk. So madingi wapenda taarifa za habari ni wambea na watu wa majungu kama tu wamaza wambea wa kitaa.

Ukiona dingi anafuatilia taarifa za habari kwa karibu fahamu kuwa hamna kitu kingine zaidi ya kupenda umbea na majungu.
Una umri gan?
 
Watu simple minds huwa hawaangalii taarifa ya habari,yaani umeona umuhimu wa taarifa ya habari no kujua habari za Waziri!?..endelea kumfuatilia mange
 
Back
Top Bottom