Enyi Madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Hawa vijana madaktari si kwa nia Mbaya lakini wanachofanya wanatengeneza laana kwenye vizazi vyao, vijana hawa badala ya kusaidi raia kazi yao ni kuvimba tu mitaani na kujiona wao ndio miamba. Kazini wanachelewa, Wana lazimisha kufanya mapenzi na waauguzi hasa night shift.

Enyi madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu.

Leo nimevunja stheoscope ya Daktari mmoja kwa hasira, nimeingia chumba Cha daktari jamaa badala anisikilize yeye busy na kuchat nikasema weeee hasira ukapanda, nikamkunja ndani mule, akapiga yowe la woga ni kashika hiyo stheoscope nikapiga chini, ana bahati kijana wa Suma jkt alikuja mapema
 
Baadhi yao wako kazini kwasababu wamesoma kwa mikopo,ambayo ni kodi zetu,badala watuhudumie kwa ari,wao wanaona kama wanatusaidia,hawajui tunasaidiana.Huyo kakosea sana,anatakiwa amjali mteja,amsikilize inavyotakiwa with empathy,ashirikiane na mteja wake,watatue tatizo liliokua limekupeleka.Kazingua sana.
 
Hawa vijana madaktari si kwa nia Mbaya lakini wanachofanya wanatengeneza laana kwenye vizazi vyao, vijana hawa badala ya kusaidi raia kazi yao ni kuvimba tu mitaani na kujiona wao ndio miamba. Kazini wanachelewa, Wana lazimisha kufanya mapenzi na waauguzi hasa night shift.

Enyi madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu.

Leo nimevunja stheoscope ya Daktari mmoja kwa hasira, nimeingia chumba Cha daktari jamaa badala anisikilize yeye busy na kuchat nikasema weeee hasira ukapanda, nikamkunja ndani mule, akapiga yowe la woga ni kashika hiyo stheoscope nikapiga chini, ana bahati kijana wa Suma jkt alikuja mapema
WaTz ni limbukeni wa kila kitu. Anapopata dhamana hajui au anajisahaulisha wajibu wake, badala yake ukomoaji unaanza kwa wanadamu wenzie. Chunguza kila sekta, utagundua hilo.
 
Hawa vijana madaktari si kwa nia Mbaya lakini wanachofanya wanatengeneza laana kwenye vizazi vyao, vijana hawa badala ya kusaidi raia kazi yao ni kuvimba tu mitaani na kujiona wao ndio miamba. Kazini wanachelewa, Wana lazimisha kufanya mapenzi na waauguzi hasa night shift.

Enyi madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu.

Leo nimevunja stheoscope ya Daktari mmoja kwa hasira, nimeingia chumba Cha daktari jamaa badala anisikilize yeye busy na kuchat nikasema weeee hasira ukapanda, nikamkunja ndani mule, akapiga yowe la woga ni kashika hiyo stheoscope nikapiga chini, ana bahati kijana wa Suma jkt alikuja mapema
Wewe ama ulitaka kuwa daktari ukashindwa au una demu wako muuguzi una wivu au una jirani daktari. Ila ujumbe wako umejificha kwenye wivu tu.
 
Maadili ya taaluma yamekuwa changamoto kubwa Sana, wengi hufanya kazi si Kwa kupenda kile wanachokifanya ili mradi muda usogee, wapo wenye uchungu na moyo wa kuokoa wagonjwa na wapo wasiojali kabsaa.

Hii nmekutana nayo mara kadhaa hasa nilipoattend hospital Mida ya usiku, vijana wanaongea na simu mda mrefu badala ya kutoa huduma.
 
Ulijua ana chat jambo gani? naungana na mdau hapo juu kwamba unasumbuliwa na wivu kwa daktari kukumegea demu wako ambaye ni muuguzi hapo.
 
Hawa vijana madaktari si kwa nia Mbaya lakini wanachofanya wanatengeneza laana kwenye vizazi vyao, vijana hawa badala ya kusaidi raia kazi yao ni kuvimba tu mitaani na kujiona wao ndio miamba. Kazini wanachelewa, Wana lazimisha kufanya mapenzi na waauguzi hasa night shift.

Enyi madaktari acheni ushamba na ulimbukeni wa taaluma zenu.

Leo nimevunja stheoscope ya Daktari mmoja kwa hasira, nimeingia chumba Cha daktari jamaa badala anisikilize yeye busy na kuchat nikasema weeee hasira ukapanda, nikamkunja ndani mule, akapiga yowe la woga ni kashika hiyo stheoscope nikapiga chini, ana bahati kijana wa Suma jkt alikuja mapema
Financial stress and economic hardship
 
Endelea kuwaonea hao madaktari waliosoma Saint Kishoju ambako hamna gym wala wana mazoezi ila ungekuja kwangu mimi wa Muhimbili ambaye jioni nilikuwa nashinda Keko kupasha misuri hata huu uozo usingeweza kuuchapisha maana ningekupiga kama mbwa mwizi

Samahani lakini ukweli madaktari ni miyeyusho kweli hapo bado hajaanza kukuangalia kwa macho ya dharau as if yeye ndiye mtoa uhai .

MCT wanalo la kufanya juu ya vijana hawa au unasemaje rafiki yangu Azimio la kazi

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom