The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Kila mwanaume anatarajia kupata sex kutoka kwa mwanamke wake.
Ladies, Mwanaume anapokutongoza, moja ya kitu anatarajia kutoka kwako ni SEX.
Hivyo unapomwambie "Nakupenda pia" ni sawasawa na kusema hivi "Nimekubali, Na Nipo Tayari Kukupa Mwili Wangu"
Kwahiyo sasa....usitegemee eti mwanaume...
Mhe. Mpina binafsi nakuvulia kofia kwa hoja zenye mashiko unazozitoa pale Bungeni. Jana wakati wa kupitisha Sheria ya manunuzi Mhe. Mpina alikuwa kinara wa kuishauri Serikali katika vipengele anavyoviona kuwa vinahitaji marekebisho.
Jana alimtoa jasho Waziri wa Fedha kila mara kutoa ufafanuzi...
Wakati uchaguzi wa Marekani unakaribia kumekuwepo na habari nyingi kuhusiana na mazungumzo ya kurudisha uhusiano baina ya Saudi Arabia na taifa la Israel.
Uhusiano huo umeshindikana kwa miaka yote hiyo tangu kuundwa kwa taifa la Israel mnamo mwaka 1948.Hii imetokana na tawala zote za Saudi...
Wakuu kesho Ilikuwa nianze safari ya kwenda German kwenye tour ya kimasomo, baada ya kukidhi vigezo vyote jamaa wakasema tutupeme bio data of password, bahati mbaya mimi hata passport Sina aisee wenzangu wakatuma kesho wanaanza safari.
Tour hii ipo sponsored na chuo chetu apa jijini dar na chuo...
Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize kushindana nani kajaza mabasi mangapi kuelekea mechi zao za kimataifa za ugenini.🤣
Hivi ni nani...
Mzuka Wanajamvi,
Huyu Mghana tulikuwa tunabeba naye boksi pamoja. Akaomba mkopo benki akapewa kama/equivalent dollar za marekani elfu 40.
Hela ilivyoingia benki yani ilikuwa fujo. Kesho yake hakwenda kazini na kuacha kazi hata bila kutoa taarifa.
Akaniita tupige pombe. Nakunitambia hela na...
Nyumba ya Bakhresa
Nyumba ya 50 cent
Mtaalam ya real estate kutoka kampuni ya Knight Frank Frolian Rweikiza amewatoa hofu vijana wanaotaka kuwekeza katika sekta ya ujenzi kuacha kupagawa na bei wanaziona mitandaoni na badala yake wawaone wahusika wa ujenzi kwa kupata makadirio sahihi ya...
Mwalimu Nyerere ndiye aliyesimika lugha ya kiswahili kuwa ya Taifa.
Wengi watasema English ni lugha ya mkoloni lakini kiukweli ni lugha ya Maendeleo ya teknolajia na ustaarabu dunia. Mataifa Yote ya Afrika yanayotumia English Kama lugha ya Taifa, Yana Maendeleo makubwa ukilinganisha na...
Peace,
Hebu imagine Ngorongoro tumewapa, bandari tumewapa tena kwa adabu na unyenyekevu lakini wao wanajivunia, wanaringa na kutamba na mafuta yao ni bei juu kila kukicha hawajawahi kutugawia hata kijiko. Na bei yao hua iko juu na hawapunguzi kuna kipindi tulishindanwa nao tukamua kuwa...
UNAAMBIWA Lionel MESSI hajawahi kumgusa mwanamke mwingine zaidi ya mkewe Antonela Roccuzzo aliyeanza naye mahusiano tangu utotoni huko Rosario, Argentina.
Mnamo 2017, Messi na Antonella walifunga ndoa iliyotajwa kama ‘ndoa ya karne’ na kujaaliwa watoto watatu Thiago, Mateo na Ciro.
Raccuzzo...
Hivi sijui ni mimi tu au kwa wanawake wote? Kwa karne ya sasa tutaolewa kweli au tutaishia kuwa Mababy mama tu?
Siku hizi mambo yamekuwa mengi sana kiasi kwamba mtu akikwambia anakupenda unaona kama scam fulani hivi na hii ni kutokana na matukio tunayopigwa wanawake jamani? Au ni huu mji wa Dar...
Nilikuwa na mafuta kidogo kwenye gari. Nimezunguka vituo kibao mafuta hakuna, nimeahirisha safari muhimu. Afadhali mzuge zuge mafuta yapatikane wiki ijayo. Kama endapo mafuta yatapatika kesho Baada ya bei kupanda for sure tutajua Serikali imeshatekwa.
Kamchape ni mganga wa jadi hupatikana Africa hasa nchini DRC Congo na wengine wao hupatikana hapa mkoani Kigoma.
Katika makala hii nitakujulisha kunako tasnia hii ya Uganga na nguvu za giza kutokea hapa Kigoma, nitakusafirisha na kukujuza kinagaubaga ili uweze kutambua Kamchape ni na nani? wapi...
Niseme kutoka moyoni, mimi ninamkubali sana Mhe. Mbunge wa Nkasi kwa hoja zake Bungeni.
Japo ni Mbunge mmoja ambaye yuko pale kihalali upande wa CHADEMA lakini hoja zake zina mashiko.
Ameeleza sana kwa ufasaha suala la Bandari lakini Wabunge wa CCM kila mara wakimkatisha tamaa. Suala la...
Tokea Alhamisi iliyopita (ila najua baada ya Kuumbuka kwa leo wamefanya Editing) Kurasa halisi (Official Page) ya Yanga SC na zile za Mashabiki wake Wapuuzi Wapuuzi walitutangazia kuwa Mchezaji wa Yanga SC Beki Gift Fred ameitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Uganda (The Cranes)
Taarifa...
Ukihitaji salamu subiri kwanza nizeeke,sasa hivi utaula wa chuya!
Nawaza sana endapo Mungu akinipa Umri mkubwa wa Kuishi,sijui uzee wangu utakuwa wa namna gani!😩
Je, nitadharaulika kama baadhi ya wazee leo wanavyodhaurika?
Je, nitakosa thamani kama wazee wengine wanavyokosa thamani miongoni...
Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe gari yangu inakimbia mazee.
Gari yenyewe ujue ni gari gani basi?
Ni Passo Racy, 1290CC. Ni ya...
Nakumbuka Baba yangu mzazi alikuwa anasumbuliwa na saratani ya ngozi.Tulifanya jitihada za kila namna kuokoa maisha ya baba yetu mpendwa,tulizunguka hospitali mbalimbali ila mwisho wa siku tukaelekezwa tuelekee hospitali ya Ocean Road Dar-es-salaam.
Ndugu walipambana kuchangishana hela ili mzee...
MAPINDUZI YA NIGER YANA MASILAHI MAPANA KWA URUSI NA HASARA KUBWA KWA NCHI ZA MAGHARIBI.
Yawezekana ukawa miongoni mwa wanaojiuliza ni kwanini ECOWAS, Ufaransa na Marekani wanatolea macho mapinduzi ya Niger?
Leo nitakupatia madini. Kumbuka makala hii ni ndefu hivyo usiwe mvivu. Jitahidi usome...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.