Namkubali sana Mbunge wa Nkasi, Aida Khenani

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Niseme kutoka moyoni, mimi ninamkubali sana Mhe. Mbunge wa Nkasi kwa hoja zake Bungeni.

Japo ni Mbunge mmoja ambaye yuko pale kihalali upande wa CHADEMA lakini hoja zake zina mashiko.

Ameeleza sana kwa ufasaha suala la Bandari lakini Wabunge wa CCM kila mara wakimkatisha tamaa. Suala la Bandari kwa hakika linaweza kuitoa CCM madarakani.

Tusubiri 2025 tuone litakalotokea.

Pia soma
- Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini
 
Uzuri wake hana mihemko na anaweza kuhold up sio kama wale wapumbavu wengine mnaitaga kina Heche et all.

Yuko kama Mnyika kiasi kwamba ccm wanaweza fanya nae kazi.

Nawakumbusha tuu ni zao la ccm huyo,baba yake ni Mwenyekiti wa ccm Wilaya mstaafu.
 
IMG-20230904-WA0048.jpg
 
Hata Waziri Mkumbo ni zao la CHADEMA.
 
Uzuri wake hana mihemko na anaweza kuhold up sio kama wale wapumbavu wengine mnaitaga kina Heche et all.

Yuko kama Mnyika kiasi kwamba ccm wanaweza fanya nae kazi.

Nawakumbusha tuu ni zao la ccm huyo,baba yake ni Mwenyekiti wa ccm Wilaya mstaafu.
Baba yake hajawahi kuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya Ila alikuwa Mtendaji Kata na baadaye Mwenyekiti wa CCM Kata.
 
Niseme kutoka moyoni, mimi ninamkubali sana Mhe. Mbunge wa Nkasi kwa hoja zake Bungeni.

Japo ni Mbunge mmoja ambaye yuko pale kihalali upande wa CHADEMA lakini hoja zake zina mashiko.

Ameeleza sana kwa ufasaha suala la Bandari lakini Wabunge wa CCM kila mara wakimkatisha tamaa. Suala la Bandari kwa hakika linaweza kuitoa CCM madarakani.

Tusubiri 2025 tuone litakalotokea.

Pia soma
- Mkataba wa Bandari: Mbunge Aida Khenani akiri kupelekwa Dubai, lakini mpaka wanarudi hakujua walikwenda kufanya nini
Hata mmeo wake ana kazi, maana mpaka umfikishe kileleni huyo siyo mchezo
 
Back
Top Bottom