sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini nawapenda wanawake wanaofanana hivi ni warembo sana

    Mzuka wanajamvi! Yani kila nikipishana nao moyo unaenda mbio na kasi nalazima nigeuke wawe wazungu, wahindi ama Waarabu na Waafrika. Lakini kwa Waafrika ndio wazuri na warembo kupindukia na wengi wao ni black American. Wanawake weusi warembo kuliko wanawake wote duniani wako marekani halafu...
  2. JamiiForums Tanzania Mchungaji Daniel Mgogo anasema Sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji. Mungu hana account ya kupokelea Sadaka, Wachungaji ndio Meno ya Mungu

    Pastor Daniel Mgogo anasema sadaka zinatolewa hili ziliwe na wachungaji, maana Mungu hana account ya kupokelea pesa za sadaka. wachungaji ndio wawakilishi wa Mungu hivyo wana haki ya kuzila sadaka kwa niaba ya Mungu
  3. JamiiForums Tanzania Usiwaamini sana marafiki wa ukubwani na ambao mmepotezana kipindi kirefu kisha kukutana tena

    Maana kuna jamaa ni mfanyakazi mwenzangu nimekuwa na urafiki naye wakikazi kwa muda wa miezi mitano ila sijawahi kukaa naye sehemu hata moja kula naye bata, ila juzi tukiwa kwenye kikao cha kazini tukaenda kupanga lodge moja kila mtu room yake sema zinaangaliana milango. Sasa mimi nilimwamini...
  4. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete aliona mbali sana

    ... 📸 𝙏𝘽𝙏 2020 "Mmenifurahisha sana hii ndio Yanga yangu ninayoijua tangu zamani, Uwanja umejaa full. Kumbe mkiamua kutokuwa BARIDI mnaweza. Naamini msimu ujao mtatwaa Ubingwa ambao mmeukosa kwa misimu (4)." "Suala la Morrison achaneni nalo. Safari hii nyie mmeibiwa na naamini baada ya muda...
  5. JamiiForums Tanzania Nakuwa na akili sana usiku kuliko mchana

    Yani usiku naweza fanya kazi ambazo zinahitaji akili nyingi na tulivu kuliko mchana, naweza kesha usiku mzima bila shida, Lakini mchana ni kama vile niko less, who can relate?
  6. JamiiForums Tanzania Kijana kama ni bachela acha na hizi starehe utafanikiwa sana

    Kuna haya mambo nimeyaona kwenye jamii ya vijana wa sasa wanayakosea sana bila wao kujua ama kujua hapa naongea na vijana ambao wapo siriazi kujenga maisha yao ya kesho Ugumu wa maisha umesababisha watu kuwa na stress sana hivyo kupelekea watu wengi kukosa utulivu wa akili Ushauri wangu kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mkuu mpya wa shule ya sekondari Nyiendo halmashauri ya mji wa Bunda kwa uchapakazi uliotukuka

    Ukweli ni lazima usemwe tu hata kama watu wengi hawataupenda. Shule ilikuwa imepoteza mwelekeo kabisa.Kila siku ilipokuwa inapita unatamani heri ya Jana. Makundi baina ya walimu, morali ndogo kwa walimu wasio wanamtandao, kiwango kidogo cha nidhamu kwa wanafunzi yalikuwa baadhi ya mambo...
  8. JamiiForums Tanzania Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Gerald Hando akiwa katika kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM leo Machi 7, 2024 ametoa hoja ya kumtaka Mwenyekiti wa CHADEMA kuachia ngazi ya Uenyekiti wa chama hicho kwa kile alichodai amekaa sana, tazama video hapo juu. Hoja hii inakuja siku chache baada ya kumshuhudia Zitto Kabwe akiachia...
  9. JamiiForums Tanzania Nilimchangia Nauli jana ameishia kuibetia, ulevi wa kamari ni hatari sana

    Huyu mwanamke ana akili za hovyo, bado ananiomba tena nimchangie abeti wakati shida yake kubwa ni nauli.
  10. JamiiForums Tanzania USHUHUDA: Raha na utamu wa mapenzi viko Tabora, hiyo mikoa mingine mnateseka sana

    Hakika mapenzi ya Tabora hawa wanawake wa kinyamwezi ni kiboko. Kuishi ama kufika ama kupita Tabora ni raha sana, mapenzi tele na raha zake na utamu wa mapenzi ya Tabora hakuna mkoa pinzani. Wanawake wa kinyamwezi na hata walofundwa unyamwezini ni watamu sana wanajua mpaka basi hadi wana utamu...
  11. JamiiForums Tanzania Kamati ya maadili hatari kuliko zote Tanzania ogopa sana

    Basi tulivyokuwa wadogo enzi mwaka 1996 nikiwa zangu mgeni kabisa iringa mafinga ndo mara kwanza niliwaona hawa wana kamati ya nidhamu(nyigu)... Hawa wanakamati ya nidhamu(nyigu) mara nyingi walipenda sana kujenga nyumba zao vibarazani hasa karibu na meter za umeme sasa tukiwa wadogo...
  12. JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

    Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne. Nashukuru sana kwa wana Jf...
  13. JamiiForums Tanzania No consistency no ubingwa viwanja tutahama sana safari hii

    Uwezi kutegemea ubingwa Kama timu yako aina mwendelezo wa kupata matokeo, Leo timu inadroo kesho inapigwa keshokutwa inashinda! Timu zinazocheza kibingwa zinapata matokeo ata zikiwa kwenye Hali ngumu kudondosha alama kibwege ni marufuku! Sasa timu imekimbia kutumia chamazi kwamba auwapi matokeo...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Ukiifikiria sana hii nchi unaweza kupata wendawazimu!

    Huku nikiwa naendelea kufurahia vitu vya asili tulivyobarikiwa na Mungu pamoja na chakula kizuri, maisha ya watu wangu kiujumla ni magumu sana. Hakuna jitihada za makusudi za kuhakikisha watu wanaishi maisha yenye furaha. Unajenga nyumba nzuri, unaweka mifumo ya maji, vyoo vya ku flash, AC...
  15. JamiiForums Tanzania Geita isipojihadhari, itakuja kuachwa mbali sana na Njombe

    Mikoa yote miwili, Geita na Njombe, inalingana kiumri. Ilianzishwa mwaka 2012. Kila mkoa una rasilimali ya kipekee tofauti na mkoa "mwenzake". Njombe kumeshamiri kwa kilimo, hasa miti ya mbao na nguzo pamoja na kilimo cha parachichi, wakati Geita inatamba kwa uchimbaji dhahabu. Kwa utajiri...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Najuta sana kusomea Dar es salaam

    Mji ulinichanganya sana hata mchumba wangu wa kijijini nikamsahau. Sasa najuta maana hamna nilichoambulia na mchumba ashaolewa kijijini
  17. JamiiForums Tanzania Sehemu za kazi ni sehemu hatari sana ingawa tunapokea chochote kitu

    Waungwana, Maeneo tunayojidai ni maeneo ya kazi au shughuli zetu tunazotenda kila siku ni sehemu ambazo zina michakato kiutendaji na fani na maudhui mbalimbali katika maisha yetu ya kila siku. Ni sehemu tunamoonesha utendaji kazi ili kiuweza kumshawishi boss akupe bonus kama ni kiwandani na...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

    Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni. kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

    Hizi ndoa hapana wakuu! Niwaase tu wale ambao hawajaoa wawachunguze sana wachumba wao kila tukio baya kipindi Cha uchumba usilichukulie poa. Mfano:- Umegundua mchumba wako bado anawasiliana na x wake ujue hiyo hali itaendelea mpaka ndoani na wanaweza wakazaa na mtoto na ukamsomesha kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Ndio nimefika Musoma Mjini ila nimehuzunika sana

    Ndugu zangu mnaoishi Musoma kwanza niwape pongezi kwa jinsi mnavyo pambana kupata mkate wenu wa kila siku. Mkoa huu wa MARA japo una wakazi wengi wenye elimu ya sekondari na kuendelea ila nahuzunika kusema kundi kubwa la vijana wanahangaika mitaani kwa kukoswa ajira za kueleweka na kujikuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…