Clark cian
Senior Member
- Jul 3, 2021
- 198
- 214
Habarini za Leo waungwana wa jamii Forum.
Mimi ni daktari mtarajiwa wa Mifugo ninayeishi dar es salaam pande za Mbezi mwisho naipenda Sana hii kazi na ndio maana huwa naifanya Kwa uaminifu wote chini ya madaktari washauri wangu.
Lililonileta hapa Leo baada ya miaka mitatu kukatika ni juu ya changamoto tunazokumbana nazo Sisi kama madaktari wa mifugo.
Ya kwanza kabisa aiseee madaktari wa mifugo tunaendeshwa Sana na hii hutokea pale tunapoenda kutoka matibabu nyumbani Kwa watu ambao ni matajiri kupita maelezo 😀 basi utasikia mwenye mnyama wake anakuambia haya ukimaliza matibabu uhakikishe unadeki na Hilo Banda pamoja na kuwaogesha kama ikiwezekana 😀😀,mwamba unasema poa unapiga kazi ukishamaliza mwamba anakulipa hela ya matibabu tuuh na kuhusu hela ya usafi wa mnyama na Banda anakuambia kwahiyo ulitaka awe mchafu aumwe tena unilie pesa zangu eeh? 😀😀😀
Daah mtuonee huruma aisee mjaribu kuheshimu the way tunavyopambana na wanyama wenu kuwafanyia matibabu 😀💊💉