Wananyukana sana

Wananyukana sana

CCM wanacheza na Wapumbavu.

Hakuna cha Yuda wala nani!!!!.
Labda hamkusikiliza Polepole vizuri.

Hao ni Wana Mtandao, Nchimbi alikuwa Front line kumtetea Lowassa 2015.

Kikwete
Samia
Lowassa.
Rostam
Sitta.
Nchimbi
HAWA WOTE NI KUNDI LA CCM MTANDAO.
 
Nasikia kundi la Mwaipipo wamepewa pesa nyingi sana na Waziri
Iwapo ukoo ni wa panya mwasisi wa ukoo hawezi kabidhi kijiti kwa pala ama wow wow,hivyo hata kijiti lazima kirudi kwa ukoo wa panya.Na kawaida ya huu ukoo kuvunja magala na kujilia vilivyomo ni kawaida sana kwao.
 
CCM wanacheza na Wapumbavu.

Hakuna cha Yuda wala nani!!!!.
Labda hamkusikiliza Polepole vizuri.

Hao ni Wana Mtandao, Nchimbi alikuwa Front line kumtetea Lowassa 2015.

Kikwete
Samia
Lowassa.
Rostam
Sitta.
Nchimbi
HAWA WOTE NI KUNDI LA CCM MTANDAO.
Polepole hawezi kukuambia kila kitu nae alikuwa kwenye siasa zake ndio maana Kuna mambo mengine akidanganya na mengine akieleza juujuu tu sasa jiulize kwanini afanye hivyo?
 
Back
Top Bottom