Kufanya mazingaumbwe ni skill inayolipa sana

Kufanya mazingaumbwe ni skill inayolipa sana

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,039
Reaction score
3,084
Kaa wewe umeshajipata katika sekta yako mfundishe mtoto wako apaye skillz za kufanya illusion na mazingaumbwe.

Kisha anaanza kutembea shule baada ya shule baada ya shule. kiingilio 500, sekondari buku anaenda ku perform mazingaumbwe

Hapo atakua anatengeneza hela nyingi sana kwa performance moja

Au kama wewe ni mwalimu kwanini usijifunze pia mazingaumbwe kama side hustle ?
 
kaa wewe umeshajipata katika sekta yako mfundishe mtoto wako apaye skillz za kufanya illusion na mazingaumbwe.

kisha anaanza kutembea shule baada ya shule baada ya shule. kiingilio 500, sekondari buku anaenda ku perform mazingaumbwe

hapo atakua anatengeneza hela nyingi sana kwa performance moja

au kama wewe ni mwalimu kwanini usijifunze pia mazingaumbwe kama side hustle ?
mwalimu To yeye kwanini usijifunze na kufanya mazingaumbwe ?
 
Back
Top Bottom