Ananisumbua sana huyu mwanamke

Ananisumbua sana huyu mwanamke

nane nane

Member
Joined
Jul 1, 2026
Posts
5
Reaction score
11
Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena.

Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu.

Tumejenga nyumba moja na biashara ya duka
 
Mmejenga nyumba au umejenga nyumba?

Itapendeza umpe nauli na akitaka kurudi mwambie nafasi yake haipo

Na hakikisha ktk hizo mali mlizonazo haondoki hata na kijiko
 
Usimng'ang'anie kama uwamuzi wake ndio huo. Kama watoto wote wamevuka moaka 7 hata sheria ya NDOA NA TALAKA inakuruhusu kubaki nao. Au kama kuna aliye chini ya umri huo muache aende nae na uwe unamtumia hata kiasi cha hela kwaajili ya matunzo. Hii nimeongea kama hajataka kuachana kupitia mahakama, akienda kudai talaka mahakamani jua mtagawana kila mlichochuma pamoja.
 
Wewe nane nane bado haujaweka wazi sababu inayomfanya mkeo saba saba atake kuachana na wewe wakati mmezaa watoto wa tatu.
 
Usimng'ang'anie kama uwamuzi wake ndio huo. Kama watoto wote wamevuka moaka 7 hata sheria ya NDOA NA TALAKA inakuruhusu kubaki nao. Au kama kuna aliye chini ya umri huo muache aende nae na uwe unamtumia hata kiasi cha hela kwaajili ya matunzo. Hii nimeongea kama hajataka kuachana kupitia mahakama, akienda kudai talaka mahakamani jua mtagawana kila mlichochuma pamoja.
Watoto mmoja kavuka miaka 7 yupo darasa la nne mwingine bado hajavuka ila yupo darasa la kwanza, je nifanyaje watoto wote niweze kubaki nao
 
Sifahamu sababu ni nin miezi miwili nyuma alihama chumban nilipomuliza sababu hakusema
Fanyeni kushirikisha ndugu zenu wa karibu. Wawasaidie kutatua suala hili Lakini usikimbilie kufanya maamuzi ya kumwacha sababu watakoa umia zaidi ni watoto wenu.
 
Back
Top Bottom