CRDB Mnakera sana katika huduma yenu ya SimBanking

CRDB Mnakera sana katika huduma yenu ya SimBanking

Kubwjing

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
2,908
Reaction score
5,236
Kuna muda najiuliza kuwa hii App mliiweka ya kazi ipi hasa

Tangu asubuhi Mtu wa miamala anashindwa kuhudumia wateja kwa kutumia Simbanking kisa huduma haipatikani

Mara hii nimejaribu kununua
umeme kwa mara 4 zote sipati majibu yeyote
Mlituwekea huduma hii ya kazi gani?

Mnakera sana ninyi.
 
hao na nbc hamna kitu, Hamia tu Absa au equity. Benki ya ndani yenye afadhali labda NMB.
 
Kibaya zaidi awackilizi wateja wadogo (pesa)
Kazi ni kipimo cha utu
 
Nachoshukuru CRDB wananisikiliza nanyooka mpk clock tower kuonana na manager
 
Back
Top Bottom