samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atatimiza na kusherehekea Umri wa miaka 64 Jumamosi ya wiki hii, huku Taifa likiwa na imani kubwa kwake

    Ndugu zangu Watanzania, Jumamosi ya wiki hii ya Tarehe 27 januari 2024 Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan, mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini atakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kuruhusu maandamano ya amani ya Chadema, je Rais Samia ameshawachoka wahafidhina wa CCM wasiotaka mabadiliko nchini?

    Kwa kweli leo tarehe 24, inabidi iingie katika historia kwa nchi hii, kwa kuwa ni kwa mara ya kwanza, tokea tupate uhuru kwa serikali yetu kuruhusu maandamano ya amani ya chama cha upinzani! Ingawa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) na 18(2)...
  3. JamiiForums Tanzania Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote

    Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote ni hizi hapa:
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Nchini Indonesia kwa ziara ya siku tatu, Januari 24 na 26, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang na kupokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Pahala Nugraha Mansury kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia jukumu la kuwafanya Watanzania wakukumbuke kwa wema lipo mikononi mwako

    Awali ya yote Rais Samia Suluhu Hassan nikupongeze kwa kibarua kizito ulicho nacho cha kuhakikisha Tanzania na Watanzania tunapata maisha bora. Wapo wanao kubedha, wapo wanao kukejeli, lakini tupo tunao kupenda kwa dhati ambao ukizungumza sauti yako inapenya hadi ndani uvunguni mwa mioyo yetu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

    Listen please Ujumbe: mnalikaribisha JESHI kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka UKUU/UTUKUFU and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo. Utamaduni /tabia /matamanio yanajengwa! Jiepushe na hilo " Mkiwaingiza kwenye siasa,hamtawachomoa ila watawachomoa nyinyi"...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anamtengeneza Mrema wake

    Enzi za utawala wa Mzee Ruksa bila kujua athari zake alimwachie Late Mrema madaraka makubwa kupitiliza. Awamu ya Sita namwona Mama akirejea makosa yale yale ya kumwachia maradaka makubwa Bashite. Nimekaa pale nawaangalia taratibu.Anachofanya Bashite ni kujijenga yeye binafsi na si chama.Ipo...
  8. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Rais Samia Anapiga Lami Barabara ya Kibena - Lupembe Mkoa wa Njombe

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuanza ujenzi barabara ya Kibena - Lupembe (km 42) kwa kiwango cha lami ili kuufungua mkoa huo kiuchumi hasa kutokana na kilimo cha chai kinacholimwa katika kata ya Lupembe Halmashauri ya Njombe. Ameyasema hayo mkoani Njombe...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Mbinguni walimchukulia fomu Rais Samia. Adai Mbowe anajua kama Samia ametumwa na Mungu

    Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu. ====================== For English Audience The 2025 political winds have already...
  10. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini suala la uraia wa Watanzania wageni waliopo Serikalini linatokea sasa wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi?

    Je, 1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania? 2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Mkapa ni 100% Watanzania? 3. Kabila la Wasubi atokalo aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Magufuli na...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction. 2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi. 3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Rais Samia: Jeshi na vikosi vyote vya Ulinzi vikae tayari kwa lolote wakati wa uchaguzi

    Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii, mwaka huu tunaanza...
  13. JamiiForums Tanzania Ziara ya Kitaifa ya Rais Samia katika Jamhuri ya Indonesia tarehe 24-26 Januari 2024

    ZIARA YA KITAIFA YA RAIS SAMIA KATIKA JAMHURI YA INDONESIA TAREHE 24-26 JANUARI 2024 Taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba kuelezea ziara za Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nchi za Indonesia. Dkt. Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Samia tangu arithi Urais 2020's, Jerry Silaa Pekee ndio mtendaji, Wengine wapeni jina!

    Jerry Slaa pamoja na mapungufu yake kisiasa hasa kulaumiwa kwa ubovu wa Barabara za Kivule na Gongo la Mboto kitu ambacho kinahitaji bajeti kubwa na inatoka kwenye wizara na ni nje ya uwezo wake, amejifumua uozo na urasimu uliopo kwa makamishan wa ARdhi Pale Wizarani Dar es salaam na Kibaha...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mama Samia : Utafiti unaonesha Zaidi ya nusu ya Tanzania wenye umri wa kuoa au kuolewa hawajaingia kwenye ndoa . Je sababu yako ni nini ?

    Ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 21, 2024 alipokuwa akizungumza kwenye Ibada Maalumu ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa iliyofanyika katika viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani. “Kwa wakazi wa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Malasusa hakuanza leo kuwa mwana CCM, alishajitenga na dini akabakia kwenye siasa

    Hakuna anayeshangaa kwa matamshi ya Askofu Malasusa leo hii Tulikuwa tunamuona Malasusa anashiriki vikao na Jiwe na anapewa airtime ya kutosha kuwasema wapinzani hadharani. Hivyo Leo ulikuwa ni kuhitimisha na kwaeleza wafuasi wake kuwa yupo pale kuhubiri mambo ya ccm. Kwa hizi tabia Romani...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harakati ndiyo zinaleta demokrasia kwa tulipofikia Rais Samia

    Raisi Samia leo anasema kuna tofauti ya wana demokrasia na wana harakati. Hiyo tofauti kwa sasa ni wewe tu mnufaikaji na genge la watawala mnalo liona hilo. Ukweli ni kwamba kwa watu wa kawaidia ni kitu kimoja. Ukisema wanaharakati ni kama vile kuna watu wana andamana bila sababu lakini si...
  19. JamiiForums Tanzania Ni nani asiyefahamu Rais wa nchi kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan?

    Salamu nishamuachia ndugu yangu GENTAMYCINE yeye na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa! Nimejaribu kutembelea mikoa kadhaa hapa nchini ikiwemo mkoa wa kibiashara wa Dar es Salaam na kila sehemu utakayopita utaona mabango barabarani yakimtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kama ndiye Rais...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haya mabango ya Mama Samia kila kona, nani anagharimia? Yanatusadia nini kama nchi?

    Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango? Ina maana raia hawamjui rais wao hadi afanyiwe kampeni kwenye mabango ilihali yupo madarakani? Haya mabango kila kona nchini yanaendelea kusimikwa kana kwamba tupo kwenye kampeni za uchaguzi aa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…