samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 2025 kuna uwezekano Paul Makonda akachukua fomu ya Urais. Ndipo Rais Samia ataijua vizuri rangi ya Paul Makonda

    Nimekaa pale nawazoom Watanzania mimi mlinzi msomi na mwenye vinasaba vya kinabii. Hizi sifa anazozichukua huko mitaani kwenye ziara zake huyu Mheshimiwa zitamfanya 2030 aione iko mbali. Maana kwa sasa target yake kubwa ni Urais na si cheo chochote. Aliamini 2025 angeachiwa kijiti na Magufuli...
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA 📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Kongamano la UVCCM Kuelekea Miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia na Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM

    KONGAMANO LA UVCCM KUELEKEA MIAKA 3 YA UONGOZI WA RAIS DOKTA SAMIA NA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wamefanya Kongamano kubwa kuelekea Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan madarakani na Miaka 47 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi lililofanyika...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia na Ahsante pia Bollen Ngetti

    Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi. Taarifa hizi zilisambazwa na kada wao Bollen Ngetti Mwandishi nguli za Uchunguzi hapa nchini. Hata humu taarifa hizo zilifika...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Zaytun Swai: Rais Samia ni Mhifadhi na mtunza Mazingira namba moja nchini

    "Tumekuja katika Gereza la Wilaya ya Karatu katika siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan. Nimekuja na akina mama wa Wilaya ya Karatu kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Karatu" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Tunamtakia Rais...
  6. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz: 2025 tunaenda nawewe Rais Samia

    Msanii Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platinumz, amemtakia heri ya siku ya mfanano wa kuzaliwa Rais Samia Suluhu, na pia amemuahidi kuwa 2025 yeye na wanaom-support watampigia kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais. Ameandika Diamond Platnumz kwenye ukurasa wake wa Instagram, "Kupata Rais ni...
  7. JamiiForums Tanzania Ziara ya Samia Mkoani mwanza kugawa zana za uvuvi: Serikali iongeze maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki na kutenga visiwa vya uwekezaji wa kitalii

    Rais Samia atakuwa na ziara mkoani mwanza mwishoni mwa mwezi January 2024. Namshauri atoe maelekezo kwamba yaongezwe maeneo ya hifadhi ya mazalia ya samaki ambayo yatakuwa na kinga ya kisheria kwa watu kutofanya uvuvi. Kila mkoa ambao ziwa lipo, kuwe na eneo tengefu la mazalia ya samaki, wavuvi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Amedhamiria Kujenga Madaraja Kusikofikika: Bashungwa

    RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuhakikisha inajenga na kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja katika maeneo yote yasiyofikika...
  9. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa: Rais Samia amedhamiria kujenga madaraja kusikofikika

    RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUJENGA MADARAJA KUSIKOFIKIKA :BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imejipanga kuhakikisha inajenga na kuboresha miundombinu ya barabara na madaraja katika maeneo yote yasiyofikika...
  10. JamiiForums Tanzania Happy Birthday Madamu Samia Suluhu Hasani

    Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka, Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka, Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka, HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA. Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia vema umesimamia, kwa upendo kadilia, sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia, HONGERA MAMA...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nawa hii miswada iliyoko Bungeni tujenge nchi yetu!

    Raisi Samia natoa ushauri tu. Wengi wetu sio wanasiasa hapa tunapenda maendeleo ya nchi yetu tu. Tunakuomba uweke maslahi ya nchi mbele kuliko maslahi ya vigogo wa CCM na wewe binafsi. Katiba nzuri ya kidemokrasia italeta maendeleo kwa nchi pamoja na ukweli kwamb itaongeza ushindani wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia na CCM

    Habari za Leo wanajami forum wezangu. Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea na mapambano yakujitafutia ugali wa kila siku Kwenye nchi iliyo fanywa kuwa kisiwa cha wavumilivu. Leo naomba ni ongee na mwenyekiti wa ccm na wanachoma wake, kupitia kwenye hili jukwaa letu...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Mazungumzo na Rais Joko Widodoya wa Indonesia, Jakarta, Alhamisi ya Januari 25, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=BTFeRepAxVg Rais Samia Suluhu Hassan amewasili katika Viwanja vya Makazi ya Rais (Bogor Presidential Palace) Jijini Jakarta, Indonesia na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Joko Widodo ikiwa ni sehemu ya ziara ya siku mbili nchini hapo. Rais Joko Widodo ambaye...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Natoa pongezi nyingi kwa timu yetu ya Taifa kwa kazi kubwa waliyofanya

    Natoa pongezi nyingi kwa timu yetu ya Taifa kwa kazi kubwa waliyofanya. Natoa pongezi kwa wale wote waliofika Ivory Cost kuwapa joto. Natoa pongezi kwa kila mmoja wetu ambaye ni mzalendo anayekubali kwamba kuna kufunga na kufungwa lakini pia kuna droo Vijana wetu na watoto wetu wameupiga mwingi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuruhusu maandano Rais Samia amecheza zaidi ya pele

    Yaani habari inayo trendi ni Rais KURUHUSU Maandamano. Imekua ndipo habari kubwa zaidi hâta ya hoja za Chadema. Kiukweli Mpaka Sasa ni kama hakuna MAANDANO yaliyo tokea. Kwa jambo hili Rais ameshauriwa vizuri sana. Kama Chadema wangezuiwa kufanya maandamano na kulazimika kupambana na polisi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atatimiza na kusherehekea Umri wa miaka 64 Jumamosi ya wiki hii, huku Taifa likiwa na imani kubwa kwake

    Ndugu zangu Watanzania, Jumamosi ya wiki hii ya Tarehe 27 januari 2024 Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan, mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nuru ya wanyonge na nyota ya matumaini atakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuruhusu maandamano ya amani ya Chadema, je Rais Samia ameshawachoka wahafidhina wa CCM wasiotaka mabadiliko nchini?

    Kwa kweli leo tarehe 24, inabidi iingie katika historia kwa nchi hii, kwa kuwa ni kwa mara ya kwanza, tokea tupate uhuru kwa serikali yetu kuruhusu maandamano ya amani ya chama cha upinzani! Ingawa katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, ibara ya 18(1) na 18(2)...
  18. JamiiForums Tanzania Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote

    Rekodi 10 za Samia Suluhu ambazo hazijawahi kufanywa na Rais yeyote ni hizi hapa:
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Nchini Indonesia kwa ziara ya siku tatu, Januari 24 na 26, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang na kupokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Pahala Nugraha Mansury kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia jukumu la kuwafanya Watanzania wakukumbuke kwa wema lipo mikononi mwako

    Awali ya yote Rais Samia Suluhu Hassan nikupongeze kwa kibarua kizito ulicho nacho cha kuhakikisha Tanzania na Watanzania tunapata maisha bora. Wapo wanao kubedha, wapo wanao kukejeli, lakini tupo tunao kupenda kwa dhati ambao ukizungumza sauti yako inapenya hadi ndani uvunguni mwa mioyo yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…