samatta

Mbwana Ally Samatta (born 23 December 1992) is a Tanzanian professional footballer who plays as a striker for English club Aston Villa and the Tanzania national team.
Samatta began his career as a youth player for Tanzanian club African Lyon in 2008. He turned professional in 2010 with Simba Sports Club, where he played for only half of the season before moving to TP Mazembe, spending a total of five years with them, initially becoming a first-team regular. He was named the 2015 African based Player of the Year, and finished the season as the top goalscorer of the CAF Champions League as he helped TP Mazembe to win the title.
In January 2016, Samatta signed for Belgian side K.R.C. Genk, helping them to qualify for the UEFA Europa League and win the Belgian Jupiler League in 2019. Having finished the season as the top goalscorer of the Jupiler League he also won the Ebony Shoe award in Belgium for his outstanding season with Genk.
In January 2020, he moved to Premier League club Aston Villa.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

    Habari wadau.. Mbona watu wengi wenye mafanikio wamesoma kayumba? Hizi shule za kizungu zinakosea nini kuandaa watoto ? Nimepima sector zote.. kuanzia michezo, business, politics, music, engineering naona kayumba wanaongoza... Nawaza tu hizi shule za mtoto kubeba begi kubwa na kuchukuliwa na...
  2. I

    Dua zetu Watanzania zinahitajika kwa Aston Villa

    Goli 4-0 ni kipigo kikubwa kwa timu iliyo kwenye hatari ya kushuka zaidi. Nimeifuatilia kwa karibu klabu hii hivi karibuni tangu alivyotua ndugu yetu pale, na nilichokigundua kuna tatizo katika idara za ulinzi na hata viungo, pia kocha naye inambidi awe mbunifu wa kubadili mifumo ya uchezaji kwa...
  3. kavulata

    Samatta cheza mpira acha kuchonga

    Samatta ni mchezaji mkubwa aliepitia changamoto nyingi hadi kufika pale alipo. Sidhani kama anapaswa kuhangaika na maoni ya mashabiki wake kwenye mitandao. Hakuna kocha au mchezaji mkubwa makini duniani ambaye atakisikiliza comments za mashabiki mitandaoni na kufanya maamuzi kuhusu mchezaji...
  4. M

    Watanzania tunamharibia Mbwana Samatta.

    Hii tabia ya kujifanya tunaujua mpira saaaaana hadi kwenda kuchafua page ya Aston villa na wachezaji, hakika tunamharibia kijana wetu tunayempenda saana. Atakosa ushirikiano kwenye timu na mwisho aonekane tu hafai. Jifunzeni kutoka kwa wenzenu, wanakosoa na kutoa ushauri bila kutukana matusi...
  5. TODAYS

    Samatta, Samatta gooooal!

    Kijana wetu katupia goal lake la kwanza, naona anaimbwa na wakoloni uwanjani. Kocha Smith kamuamini kucheza dakika zote 90' 👏 Hata kama wamefungwa tulitaka hili litokee goooooal
  6. KUDOLE CHA MWISHO

    Kwanini tusimtumie Bongo Zozo kutangaza utalii wa Tanzania?

    Habar wanajamvi Swali langu kwenu ni kwanini tusimtumie Bongo Zozo kwa kutangaza utalii? Huyu bwana ana Utanzania kuliko watanzania wenyewe Jana alikuwa na bendera ya taifa pale Uk akiangalia mechi ya kwanza ya Samatta huko EPL. Mtu kama Harmonize, Kitenge na wengine walikuwa wanaonyesha meno...
  7. MLIMAWANYOKA

    Mechi za Aston Villa tangu kujiunga kwa Samatta

    Bournemouth (A), Tottenham Hotspurs (H), Southampton (A), Sheffield United (H), Chelsea (H), Newcastle United (A), Wolverhampton (A), Liverpool (A), Manchester United (H), Crystal Palace (H), Everton (A), Arsenal (H), West Ham (H). H= home A= away. Kila la kheri Samatta
  8. George Betram

    Je, Samatta atafanya makubwa EPL?

    Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge. Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto. Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
Back
Top Bottom