Kwanini tusimtumie Bongo Zozo kutangaza utalii wa Tanzania?

KUDOLE CHA MWISHO

JF-Expert Member
Aug 13, 2017
410
888
Habar wanajamvi

Swali langu kwenu ni kwanini tusimtumie Bongo Zozo kwa kutangaza utalii? Huyu bwana ana Utanzania kuliko watanzania wenyewe

Jana alikuwa na bendera ya taifa pale Uk akiangalia mechi ya kwanza ya Samatta huko EPL. Mtu kama Harmonize, Kitenge na wengine walikuwa wanaonyesha meno tu uwanjani!

Wizara husika kwanini tusimpe huyu jamaa hata nguvu ya kutangaza utalii kwa sababu yupo committed na nchi yetu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata samatt pia anaweza " yaani siku moja akifunga goli, anavua fulana ndani kuna zile nguo zao longsleeve wanazitangulizaga huku imeandikwa maneno mawili tu #*"visit Tanzania"*#

nadhani itakua role kubwa sana.
Watanzania sisi ni washamba sana aisee

yess BiShoo haswaaAaa
 
hawatachelewa kumhujum,
Bongo zozo, endelea na bata zako.
mambo ya Tanzania ni hovyo mno,
hata rais mwenyewe hapend maendleo yaletwe na mtu mwngne isipokuw yy mwenyew,
kuna madiaspora kadhaa walionesha interest kuleta maendleo, kilichowapata wanajua wenyewe,

mf zile meli za mwendokasi,
Tanzania hi majungu tu basi na unafiki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nifafanulie mkuu nijifunze!
hairuhusiwi kutangaza matangazo tofauti na ya mdhamini wa timu, kama unafuatilia wachezaji kadhaa wamewahi pigwa faini kisa kuonesha boksa zenye nembo za makampuni ambayo yanawadhamini wao binafsi wachezaji na sio timu.
 
Atatimuliwa na nyie ndio mtakaomkebehi ,, yani atapandishwa ndege na kurudishwa ama kupigwa faini ndefuu nchin
hata samatt pia anaweza " yaani siku moja akifunga goli, anavua fulana ndani kuna zile nguo zao longsleeve wanazitangulizaga huku imeandikwa maneno mawili tu #*"visit Tanzania"*#

nadhani itakua role kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawaza vizur lkn,nahisi Bongozozo anaweza kuwa ni C.I.A Agent...nahisi hata kitengo wanamashaka naye ndyo maana aliongozana na Kitenge (kumbuka Kitenge ni kipepeo mweusi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitenge? Sina uhakika.
Na kama zozo ni agent ambaue ni undercover bila shaka hata kitenge hajui, so hata kitenge akiwa kama ulivosema hawezi ongozana nae, kiaje?kwakuwa wanafanya kazi moja? Kitenge ni CIA?

Overall kuhusu bongo zozo kuwa shushushu naamini maana hata nami nimewaifikiria hilo.
Unawaza vizur lkn,nahisi Bongozozo anaweza kuwa ni C.I.A Agent...nahisi hata kitengo wanamashaka naye ndyo maana aliongozana na Kitenge (kumbuka Kitenge ni kipepeo mweusi)

Sent using Jamii Forums mobile app

Dumelang
 
Back
Top Bottom