samatta

Mbwana Ally Samatta (born 23 December 1992) is a Tanzanian professional footballer who plays as a striker for English club Aston Villa and the Tanzania national team.
Samatta began his career as a youth player for Tanzanian club African Lyon in 2008. He turned professional in 2010 with Simba Sports Club, where he played for only half of the season before moving to TP Mazembe, spending a total of five years with them, initially becoming a first-team regular. He was named the 2015 African based Player of the Year, and finished the season as the top goalscorer of the CAF Champions League as he helped TP Mazembe to win the title.
In January 2016, Samatta signed for Belgian side K.R.C. Genk, helping them to qualify for the UEFA Europa League and win the Belgian Jupiler League in 2019. Having finished the season as the top goalscorer of the Jupiler League he also won the Ebony Shoe award in Belgium for his outstanding season with Genk.
In January 2020, he moved to Premier League club Aston Villa.

View More On Wikipedia.org
  1. Infantry Soldier

    Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta? Tulishindwa kununua mechi za Aston Villa kwa maana ligi kuu ya Uingereza inajuliakana kuwa ni aghali dunia nzima...
  2. kavulata

    Kwa Aston Villa hii Samatta atarudishwa kundini?

    Aston Villa aliyoiacha Mbwana sio kama ya sasa baada ya yeye kuondoka kwenda Uturuki kwa mkopo. Je, kuna uwezekano kiasi gani kwa Samatta kurudi tena Aston Villa kama mchezaji?
  3. Pascal Mayalla

    The 100 Most Influential Africans of 2020, Ni Hawa!, Kama JPM, Mo, Diamond, Samatta Hawapo, Then It Must Be Fake List!,ila Kuna Mtanzania 1, Gues Who?

    Wanabodi The much anticipated annual listing of the 100 Most Influential Africans of 2020 published by the continent’s premier pan-African publication, London-based New African magazine imetangazwa leo. List hiyo iliyogawanywa katika mafungu manne, four categories of Leaders; Pathfinders...
  4. GENTAMYCINE

    Hongera sana 'Captain' Mbwana Samatta 'Poppa' kwa kuamua 'Kujivunja' ili ukwepe 'Aibu' ya Taifa Stars 'Kubugizwa' Magoli na Tunisia

    Hata ningekuwa ni Mimi GENTAMYCINE ndiyo Wewe Samatta kwa jinsi Watanzania walivyo na nongwa hadi kisununu na wakisahau Kushukuru nami pia ningeongopa (ningejivunja) kama Wewe kwa kusema kuwa 'ninaumwa' ili nikae pembeni na niwaachie Wachezaji wengine wa Taifa Stars waliobaki 'wapambane' Mechi...
  5. kavulata

    Je, ni lazima nahodha wa Taifa Stars awe ni Mbwana Samatta?

    Mchango wa Mbwana kwenye timu ya Taifa lazima uvae miwani ili kuuona, Nini kinamfanya awe ndiye captain wake siku zote na Mara zote?
  6. Petro E. Mselewa

    Nimeridhika kabisa: Mbwana Samatta hakuwa msaada kwa Aston Villa, Watkins ameonesha utofauti mkubwa

    Kwa kiwango chake, ufungaji wake, kazi yake, umakini wake na mchango wake kwa timu mchezaji mpya wa Aston Villa Ollie Watkins amedhihirisha kuwa mshambuliaji Mbwana Samatta hakuwa msaada wowote kwa timu hiyo. Watkins ambaye amefunga mabao matatu katika kipigo cha mbwakoko alichokipata Liverpool...
  7. Forgotten

    Samatta kafungua akaunti ya magoli Fenerbahce

    Ndiyo! Kunako dakika ya 24 ya mchezo alioanza katika first XI, Samatta hajawaangusha kocha na mashabiki zake kaingia kambani na katimiza kazi aliyopewa. Hii ni hatua nzuri ya kuzidi kuaminika na kocha na kupewa nafasi zaidi. One of our own scored. 🇹🇿 Mwisho wa msimu tunarudi zetu Aston Villa...
  8. D

    Mbwana Samatta Akitambulishwa Mazoezini

    Mbwana Samatta Akitambulishwa Mazoezini Tazama link: Mbwana Samatta ilk idmanına çıktı! İşte o anlar...
  9. kavulata

    Samatta kwenda Uturuki tumpe Hongera au Pole?

    Kuna wanaosema ni bora aende Uturuki akapate nafasi ya kucheza na kuna wanaosema kutokana na umri wake kiwango chake kimeshuka na kinakwenda kushuka zaidi huko Uturuki bora angebaki tu EPL. Ukweli ni upi? Kwani ligi ya Uturuki na ile ya Ubelgiji alikokuwa ni bora ipi?
  10. my name is my name

    Mbwana Samatta asajiliwa Fenerbahce ya Uturuki

    Mtanzania aliekuwa anachezea Aston villa (AVC) ya England sasa amesajiliwa na timu ya Fenerbahce ya Uturuki. ====== Mshambuliaji wa kitanzania aliyekuwa anakipiga ligi kuu ya Uingereza, Mbwana Sammata sasa ni rasmi Fernabache ya Uturuki akitoka Aston Villa. Kabla Samatta alicheza vilabu vya...
  11. Cannabis

    Jaji Samatta: Tumeshuhudia ongezeko la uvunjifu wa Haki za Binadamu hivi sasa kuliko vipindi vingine vyote

    Jaji Mkuu mstaafu Mh. Barnabas Albert Samatta ameongelea ongezeko la uvunjifu wa haki za msingi za binadamu nchini Tanzania kuliko kipindi kingine chochote. Amesema kuwa hivi sasa imekuwa ni kawaida kuona mtu akikamatwa na vyombo vya ulinzi na kuhukumiwa kwa tuhuma zisizokuwa na hoja yoyote ya...
  12. southern boy

    Mbwana Samatta na App ya SamaPay - Haya ni mapungufu niliyoyaona

    Habari za humu!! Kipindi cha siku mbili zilizopita nimeona matangazo na baadhi ya video za youtube zikielezea kuhusu hii app ya SamaPay ambayo imeanzishwa na mchezaji wa mpira wa miguu Mbwana Ali Samatta. Kwanza ningependa kutoa hongera kwa uamuzi wake huo wa kufikiria na kufanya kitu...
  13. M

    Mbwana Samatta apewe Shahada ya Udaktari wa Heshima

    Napendekeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimtunuku Mbwana Samatta shahada ya udaktari ya heshima (Honoris Causa) kutokana na mchango wake mkubwa katika tasnia ya mchezo wa soka. Mchango wake unatokana na mambo yafuatayo:- 1. Amekuwa mtanzania wa kwanza kucheza kwenye ligi ya daraja la kwanza ya...
  14. Miss Zomboko

    Aliyefanikisha usajili wa Samatta atupiwa virago nje

    Klabu ya Aston Villa imemfuta kazi mkurugenzi wake wa michezo , Jesus Garcia Pitarch baada ya kukosoa sera za usajili za klabu hiyo. Mshambuliaji wa klabu ya AstoNVilla, Mbwana Samatta akimzunguka mlinzi wa Leicester City, John Evance katika mechi ya EPL. Pitarch aliondoka klabuni hapo siku ya...
  15. Kibosho1

    Uamuzi wa Makonda hauna tofauti na wa Samatta, watajuta sana

    Habari wana jamvi!??. Uamuzi wa Samatta kila mtu anaujua sihitaji kuuelezea kwa upana. Astoni Villa ipo kwenye hatari ya kushuka daraja, Samatta alicheza UEFA Champions League msimu uliopita lakini sasa anaenda kucheza Championship. Makonda alikua mkuu wa mkoa wa Dar anaenda kuomba kugombea...
  16. Babu Kijiwe

    Maoni yangu: Mbwana Samatta ndiyo basi tena

    Siku nilivyosikia ndugu yetu anaenda Aston Villa FC nikajua ana wakati mgumu sana kwasababu kubwa mbili: 1. Muda ulikuwa umesonga sana, angeenda mwanzo wa msimu angeweza kuonesha makali yake hata timu ingeshuka yeye kama mchezaji huenda angeonekana na kusajiliwa na timu nyingine za ligi kuu...
  17. hiram

    Angalia hapa:Watanzania tunamuabisha Samatta na kuiaibisha nchi

    Haya mambo ndo yanaiweka nchi kwenye lowest IQ countries sasa hebu Soma hii post ya cafonline eti wabongo wamejibu "Samattaa"
  18. Tindikali

    Samatta asugulishwa benchi tena. Mtangazaji anauliza Samatta yuko wapi?

    Mdogo wetu mambo si mambo Aston Villa vs. Chelsea dakika ya 15, bila bila Ally Samatta hayumo Mtangazaji kasema namba yake imechukuliwa na Keinan Davis, in case you are wondering where he is
  19. Tindikali

    Aston Villa yafungua lockdown, Samatta apigwa benchi

    Mpira unaendelea mechi ya kwanza baada ya lockdown; Mbwana Samatta anasugua! Dalili mbaya kwa Samatta. Aston Villa 0 Sheffield United 0 Dakika ya 35
  20. M

    Mbwana Samatta awa mshindi wa goli la mwaka Genk

    Fuatilia link hii kupata taarifa zaidi.
Back
Top Bottom