Aston Villa yafungua lockdown, Samatta apigwa benchi

Tindikali

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
2,014
2,664
Mpira unaendelea mechi ya kwanza baada ya lockdown; Mbwana Samatta anasugua! Dalili mbaya kwa Samatta.

Aston Villa 0
Sheffield United 0

Dakika ya 35
 
Mapumziko. Bila bila.

Aston wanabebwa na refa, watangazaji wanalalamika mwanzo mwisho

Shaffield wamenyimwa goli la wazi kipa wa Villa kadakia mpira nyavuni nyuma ya mligoti. Refa kapeta.
 
dakika ya 65

wachezaji watatu wa Villa wanapasha, sijui kama mlengwa ni Samatta

kupigwa benchi mechi nzima haitakuwa njema kwake
 
Mapumziko. Bila bila.

Aston wanabebwa na refa, watangazaji wanalalamika mwanzo mwisho

Shaffield wamenyimwa goli la wazi kipa wa Villa kadakia mpira nyavuni nyuma ya mligoti. Refa kapeta.
Saa ya mwamuzi haiku vibrate. Unataka afayeje??
 
Samatta yuko peke yake mbele, anasubiri mipira, na hakuna midfielder wa kumkumbuka kumpelekea mipira

na yeye mwenyewe hajiongezi kulazimisha kushuka
 
Mapumziko. Bila bila.

Aston wanabebwa na refa, watangazaji wanalalamika mwanzo mwisho

Shaffield wamenyimwa goli la wazi kipa wa Villa kadakia mpira nyavuni nyuma ya mligoti. Refa kapeta.
Wewe jamaa utakuwa kiazi, tena kile kiazi kitamu
 
Alienda kufanya nini Aston?Wanarukaruka hawana mpira wowote.Tena walikuwa wamefungwa goli safi
Mpira unaendelea mechi ya kwanza baada ya lockdown; Mbwana Samatta anasugua! Dalili mbaya kwa Samatta.

Aston Villa 0
Sheffield United 0

Dakika ya 35
 
Aston Villa ni kitimu cha kawaida tu kama hii timu anayochezea Lamine Moro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom