George Betram

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
3,265
2,000
Kwa kiwango alichoonesha leo, basi Samatta ajiandae kukalia "ubao", pia nimesikia jamaa (Aston Villa) wanamtaka Sturridge.
Kama ataendelea kupuyanga uwanjani kwa mtindo huu wa leo basi atakalia "ubao" mpaka makalio yatawaka moto.
Ila bado nina imani naye, aendelee kupambana tu.
 

Last Seen

Senior Member
Jun 7, 2013
124
250
Mechi ya kwanza ya Mbwana Samatta na Timu yake ya Aston Villa dhidi ya Leicester imemalizika kwa 2-1 hivyo kutinga hatua ya fainali huku wakimsubiri mshindi kati ya Man City na Man u. Samatta Amecheza kwa dakika 66 huku akikosa magoli kadhaa.

MAONI YAKO,RATE KIWANGO CHAKE LEO, Je, ataiweza mikiki mikiki ya ligi kuu England
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom