Samatta, Samatta gooooal!

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,586
20,739
Kijana wetu katupia goal lake la kwanza, naona anaimbwa na wakoloni uwanjani.

Kocha Smith kamuamini kucheza dakika zote 90' đź‘Ź
Screenshot_20200201-193146.jpg


Hata kama wamefungwa tulitaka hili litokee goooooal

Screenshot_20200201-195252.jpg
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom