Watanzania tunamharibia Mbwana Samatta.

Maelau

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
1,366
1,341
Hii tabia ya kujifanya tunaujua mpira saaaaana hadi kwenda kuchafua page ya Aston villa na wachezaji, hakika tunamharibia kijana wetu tunayempenda saana. Atakosa ushirikiano kwenye timu na mwisho aonekane tu hafai. Jifunzeni kutoka kwa wenzenu, wanakosoa na kutoa ushauri bila kutukana matusi. Sasa hadi waingereza wameshaitafsiri message ya Samatta kwa watanzania . Hii ni aibu. Fuata link hii.

Aston Villa striker Mbwana Samatta has taken to social media to issue a cryptic message to his Tanzanian supporters.

Fans back in his native Tanzania, a country of almost 60 million people, have taken great pride in Samatta's move to the Premier League.

He joined Villa from Genk in January for around £8m after head coach Dean Smith turned to the 27-year-old to help boost his side's chances of staying in the Premier League.

Samatta scored on his first Premier League appearance on Saturday, a consolation in the 2-1 defeat at relegation rivals AFC Bournemouth, reacting quickest to a ricochet from Keinan Davis' effort to head home.

Taking to Twitter on Monday morning, he posted the following message in Swahili, translated into English by Goal Africa: “All fans from Tanzania I understand that all of you love me because I am your son.

"I also know that you would like to see me perform well with my new team but, here, I am making a request in a very humble way; stop criticising or abusing my fellow teammates or the team."

“Personally, I am not happy with that at all.”
Samatta's message could be assumed to be directed at those who are criticising other players, possibly Jack Grealish, as has been suggested on social media.".

NAWASILISHA.
 
Wabongo kwa ujuaji wetu mwisho tunamharibia akirudi kitaa apeche alolo tunaanza kumnanga kuwa alichezea fursa. Hiyo yote ni roho ya kimaskini. Kila mtu anatamani Samata awe mwanawe, kaka yake, mjomba wake, n.k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu waache ujinga. Kuna posta pia zimo humu jukwaani zingine zinamtukana sakata, zingine huyo sijui Grealish.

Nimejaribu kupambana na watu humu lakini nimegundua asilimia kubwa ni viazi kabisa.

Mtu hata mpira wa makaratasi lakini domo refu kama la Mwajuma Kandambili.

Waliomtukana Grealish mpaka mama yake unashindwa kuelewa hivi huyu mtu ana maisha kweli? Wengine wanasema samata hajitumi, unajua kocha alimpa task gani uwanjani, au inadhaniwa ni kuufukuza mpira kila unapoenda? Wakina Ronado wamecheza mechi ngapi Italia kabla ya kuingia kwenye chemistry ya timu?

Acheni ujinga, umaskini wa akili huo. Mtanzania, Ya kwako yanakushinda unataka kuongoza cha mwingine tena kwa lugha ya dharau na kejeli.

Inaleta sana.!

Yaani haujasaza kitu kabisa mkuu. Hii tabia inatakiwa ikome kabisa. Mijitu imekalia kutukana utafikiri yenyewe ndio yalimpeleka huko. Sasa yanamharibia kijana wa watu. Inauma saan yaaani.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom