Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,676
- 20,697
Wanaitwaje samaki wenye mifupa imekaa hivi? Wanapatikana wapi hapa Tz?
Sio mbasa huyo wa ziwa Nyasa!Wanaitwaje samaki wenye mifupa imekaa hivi? Wanapatikana wapi hapa Tz?
View attachment 3636855
Shukrani. Nimemsearch naona wanafanania.Sio mbasa huyo wa ziwa Nyasa!
Ziwa Nyasa, ila samaki unuapo utajua kama ni wa Marekani au Mahenge.Wanaitwaje samaki wenye mifupa imekaa hivi? Wanapatikana wapi hapa Tz?
View attachment 3636855